Wako Mtwara wanafanya ujambaziHivi siku hizi wale wa kujaza nafasi ili tusingie hawapo Tena?
Aliwakumbusha pia- askari hawezi kuwa raia ila raia inaweza kuwa askari- Mbowe aliingia choo cha kikeUrio ndiyo kabeba kesi yenyewe - na ndiyo maana alikumbushwa kwamba baada ya ushahidi wake anaweza kuwa Shujaa ama mtu wa hovyo kabisa kutokea hapa duniani...
Nilidhani ungesikitika pesa za kodi za Watanzania kutumika kuwalipa mawakili wa serikali, Jaji na mashahidi kwa kesi ya kipumbavu na ya mchongo.sijawahi ona watu wanapenda picha kama cdm. sasa mnyika kaenda hapo ili aonekane tu kwenye picha. akitoka hapo nje anaweka mkutano anawatukana majaji ati majaji wa michongo. hata heshima kwa mahakama hana, na bado anaenda hapo kila siku. kavimbisha mashavu tu kwa hela za wanachadema, na hawasaidii lolote. siku mkija kuwafahamu undani hawa viumbe, mtajua mlipoteza muda sana.
... kangaroo court tumejipanga kweli kweli kutoa maoni yetu kwa ushauri hili la kihistoria nchini. Hope yatamfikia na kumsaidia jaji kuamua kwa haki. Mataga tupa kule!Mh The Sherif Ikupendeze sisi quorum yetu tuko kama jana. Tuko tayari kufuatilia na bando tumejaza.
... kangaroo court tumejipanga kweli kweli kutoa maoni yetu kwa ushauri hili la kihistoria nchini. Hope yatamfikia na kumsaidia jaji kuamua kwa haki. Mataga tupa kule!Mh The Sherif Ikupendeze sisi quorum yetu tuko kama jana. Tuko tayari kufuatilia na bando tumejaza.
na wewe soma ili ule hizo pesa mzee.Nilidhani ungesikitika pesa za kodi za Watanzania kutumika kuwalipa mawakili wa serikali, Jaji na mashahidi kwa kesi ya kipumbavu na ya mchongo.
Badala yake unachukia Mnyika kula pesa za wanachadema wenzake, huu kama si utaahira ni nini?
Majitu majinga na mapumbavu kama wewe ndio mtaji wa ccm.
Tutamaliza na Mungu.
huwa tunawambia hawatuelewi
ujamba Wazi,Wako Mtwara wanafanya ujambazi
[emoji848]Mbowe anatakiwa afungwe haraka ni gaidi..ushahidi umenyooka sana..wasiendelee kuisumbua mahakama
Haya ndiyo maswali, sio ule urojo wa mawakili wanao saka allowanceHabari Wakuu,
Leo tena shahidi wa 12 Denis Urio anaendelea kutoa ushahidi wake kwenye kesi inayomkabili Mbowe na wenzake 3...
Acha ujinga hayo maswali kibatari haziwezi kusaidia kitu kwenye ukweli..msifanye judgement ya kisiasa kwenye hii kesi..huyu lazima ale kitazi.[emoji848]View attachment 2098227
[emoji848]Mkuu kesi Urio kesha imaliza- subirini mtu wenu aje afungwe tu