Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake. Shahidi wa 12 Luteni Urio kuendelea kutoa ushahidi Januari 31, 2022

Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake. Shahidi wa 12 Luteni Urio kuendelea kutoa ushahidi Januari 31, 2022

lazima watanzania wote kwa pamoja tuungane kupinga na kuondoa viashiria vyote vinavyo weza kuharibu Amani ya Nchi.

Vitendo vya kigaidi vya ndani ni chanzo kikubwa cha kuhatarisha usalama na utulivu wa nchi.

Hivyo ni lazima viashiria vyote vitokomezwe bila ajizi.
 
Urio ndiyo kabeba kesi yenyewe - na ndiyo maana alikumbushwa kwamba baada ya ushahidi wake anaweza kuwa Shujaa ama mtu wa hovyo kabisa kutokea hapa duniani...
Aliwakumbusha pia- askari hawezi kuwa raia ila raia inaweza kuwa askari- Mbowe aliingia choo cha kike
 
sijawahi ona watu wanapenda picha kama cdm. sasa mnyika kaenda hapo ili aonekane tu kwenye picha. akitoka hapo nje anaweka mkutano anawatukana majaji ati majaji wa michongo. hata heshima kwa mahakama hana, na bado anaenda hapo kila siku. kavimbisha mashavu tu kwa hela za wanachadema, na hawasaidii lolote. siku mkija kuwafahamu undani hawa viumbe, mtajua mlipoteza muda sana.
Nilidhani ungesikitika pesa za kodi za Watanzania kutumika kuwalipa mawakili wa serikali, Jaji na mashahidi kwa kesi ya kipumbavu na ya mchongo.

Badala yake unachukia Mnyika kula pesa za wanachadema wenzake, huu kama si utaahira ni nini?

Majitu majinga na mapumbavu kama wewe ndio mtaji wa ccm.
 
Mh The Sherif Ikupendeze sisi quorum yetu tuko kama jana. Tuko tayari kufuatilia na bando tumejaza.
... kangaroo court tumejipanga kweli kweli kutoa maoni yetu kwa ushauri hili la kihistoria nchini. Hope yatamfikia na kumsaidia jaji kuamua kwa haki. Mataga tupa kule!
 
Mkuu kesi Urio kesha imaliza- subirini mtu wenu aje afungwe tu
 
Mh The Sherif Ikupendeze sisi quorum yetu tuko kama jana. Tuko tayari kufuatilia na bando tumejaza.
... kangaroo court tumejipanga kweli kweli kutoa maoni yetu kwa ushauri hili la kihistoria nchini. Hope yatamfikia na kumsaidia jaji kuamua kwa haki. Mataga tupa kule!
 
Nilidhani ungesikitika pesa za kodi za Watanzania kutumika kuwalipa mawakili wa serikali, Jaji na mashahidi kwa kesi ya kipumbavu na ya mchongo.

Badala yake unachukia Mnyika kula pesa za wanachadema wenzake, huu kama si utaahira ni nini?

Majitu majinga na mapumbavu kama wewe ndio mtaji wa ccm.
na wewe soma ili ule hizo pesa mzee.
 
Mbowe anatakiwa afungwe haraka ni gaidi..ushahidi umenyooka sana..wasiendelee kuisumbua mahakama
[emoji848]
Screenshot_20220128-104101.jpg
 
Habari Wakuu,

Leo tena shahidi wa 12 Denis Urio anaendelea kutoa ushahidi wake kwenye kesi inayomkabili Mbowe na wenzake 3...
Haya ndiyo maswali, sio ule urojo wa mawakili wanao saka allowance
 
Back
Top Bottom