Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake. Shahidi wa 12 Luteni Urio kuendelea kutoa ushahidi Januari 31, 2022

comedian at best
Malya: Shahidi Wewe ni Luteni Wa Jeshi, Je una Degree?

Shahidi: Hapana

Malya: Huna Digrii lakini ni Luteni wa Jeshi

Shahidi: Ndiyo


 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
wle watatu walikuwa kazini- wanaweza kutoka wakitaka wakati watakapotoa ushahidi wao na kudodoswa na mawakili wa serikali wakati wa utetezi ILA Mbowe mfungwa mtarajiwa kutoka mahabusu
 
Huyu shahidi anadai Mbowe ndio anajua idadi ya vituo vya mafuta ambavyo anataka kulipua Halafu yeye haoneshi kwenye mawasiliano yao kama hayo walikuwa wanayapanga. Sasa tumuamini Nani. Yeye anadai Mbowe alitaka kufanya ugaidi lakini tangu wakutane hakuna sehemu wamejadilaina ugaidi na hata wale makomndoo tangu wanaletwa kwa Mbowe hawakuwa wanajua kwamba wanafanya ugaidi. Swali ni huu ugaidi ulianzia wapi?
 
hivi hawa ni mashahidi wa jamhuri kweli? Mbona kila shahidi anamtetea mbowe na wenzake? Maana waliochunguza walisema hawakuona viashiria vya ugaidi mbali na matendo yenyewe, huyu wasasa anasema vijana alioombwa nikwaajili ya ulinzi na sio ugaidi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hii case imeibua siri nyingi sana juu ya utawala huu dhalimu, hasa kupitia vyombo vya ulinzi.

Tuache inyeshe tujue inapovuja.
 
comedian at best
Malya: Shahidi Wewe ni Luteni Wa Jeshi, Je una Degree?

Shahidi: Hapana

Malya: Huna Digrii lakini ni Luteni wa Jeshi

Shahidi: Ndiyo
sidhani kama tuko pamoja- yaani wewe unaamini luteni lazima awe na degree kama huyo Comedian Mh. Malya anavyoamini? halafu unatoa THANK YOU- sijawai kuwa upande mmoja na wewe. akili zetu hazifanani
 
Matata: Freeman Mbowe akikataa leo hakusema, Ni ushahidi gani unao mbele ya Mahakama Kwamba Mbowe alisema hayo maneno uliyosema??

Shahidi: Ni ushahidi wa meseji ya kusema "muda umeisha"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan full Comedy kwa huyu shahidi, au hakujiandaa vizuri?
 
... hili bwabwa kweli! Hamna kitu kichwani! Alionywa mapema kabisa jana - ama awe shujaa au kituko; kaamua kuchagua hilo la pili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…