Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake. Shahidi wa 12 Luteni Urio kuendelea kutoa ushahidi Januari 31, 2022

Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake. Shahidi wa 12 Luteni Urio kuendelea kutoa ushahidi Januari 31, 2022

Mwanzo nilijaribu kujilazimisha kuona kuwa una uelewa kumbe laa ni bure kabisa

Ila tunashukuru kuwa sasa aibu imekuandama na umeanza kuchomoa kidogokidogo...
Maana angaonge kwa sabbu hujui labda leteni orio ndo mfungwa mtarajiwa maana anadhalilisha jeshi kwa uong anaoongea hapo
 
shahidi ana kesi ya kujibu? wakati hata kushitakiwa hajashitakiwa? na wanaoweza kuamua ashitakiwe au la ni wale waliomwita kama shahidi, na hapohapo unaamini una akili? mnafikiri kwa kutumia kamasi aisee.
huyo shaidi ni rafiki wa mbowe tangu mwaka 2008 hadi 2020.urafiki wao ni wa miaka 8.kwa maelezo ya shaidi urafiki wao ulikuwa mzuri .na luteni ni cheo cha kati siyo cheo kikubwa jeshini.kama mbowe alitaka kuchukua nchi kwa nini hakufanya mawasiano na wanajeshi wenye vyeo vikubwa?je maaskari 3 au 4 aliotafutiwa mbowe wangeza kutekeleza vitendo vya ugaidi nchi nzima kwa kutunia bastola ya risasi 3?

Au wangekuwa na mashoka mengi kiasi gani au chensooo za kuangusha miti mchi nzima? Huyu shaidi alikuwa mtu mwema sana kwa mbowe.lakini ni kwa nini alikuja kumbadilikia ghafla? je mahusiano yake na mbowe ndiyo yamemuingiza kwenye huu mtego? na iyo simu iliyoharibikwa ina nini ndani? na mbona inaonekana michongo yote ilikuwa inapitia kwake?
 
Huu ni upuuzi ,kupoteza muda na kupoteza Kodi za watanzania.Hakuna ushahidi wa kucorroborate na ushahidi wa maneno ya bwana Urio.Ni ujinga mtupu.Hii kesi haiweza kuwa prima facie labda kwa mchongo tu.Facts za hii kitu ni fabricated kabisa.Hata confessions kama kweli zipo ni product ya torture na si vinginevyo.
 
Kibatala: Unafahamu Kwamba Kwa DCI Kuna Askari Kwa ajili ya Kimsindikiza Wanaenda Kwa DCI

Shahidi: Sikumwambia Jaji

Kibatala: Ulimwambia Mheshimiwa Jaji Kwamba Kuna Askari Wa Kukusindikiza Mpaka Kwa PS wa DCI

Shahidi: Sikumwambia

Kibatala: Waiting Area ya Ofisi za DCI Makochi ni Rangi gani

Shahidi: Ya Brown

Kibatala: Unauhakika Kwamba Siyo Mekundu?

Shahidi: Kimyaaaaaaaaaa
 
Walivyokutana mikocheni ndio aliambwambia amtafutie vijana wakufanya nchi kuwa katika taharuki, kuchoma vituo vya mafuta na masoko pamoja na kukata miti pembezoni mwa barabara, sasa Wale vijana waliofukuzwa jeshini ndio wanaujasiri wa kufanya hayo yoote. Na pia ni watu wenye mafunzo na nilichokiona hapa Urio angewaambia moja kwa moja ni kazi gani wangesita au angevujisha siri.

Kama ni hivyo hao makomandoo wamekamatwa kwa nini?. Maana hao walienda kufanya kazi ya ulinzi na sio ugaidi. Sasa nani mbaya hapo?. Na hakuna sehemu walikaa kupanga ugaidi. Hapo wameonewa Sana.
 
Mh. Jaji kwa mamlaka uliyonayo maliza hii kesi - hamna kesi humu ni kupotezeana muda na kulighalimu taifa.

Matata: Freeman Mbowe akikataa leo hakusema, ni ushahidi gani unao mbele ya Mahakama Kwamba Mbowe alisema hayo maneno uliyosema...
Majibu ya mjingamimi haya
 
Huu ni upuuzi ,kupoteza muda na kupoteza Kodi za watanzania.Hakuna ushahidi wa kucorroborate na ushahidi wa maneno ya bwana Urio.Ni ujinga mtupu.Hii kesi haiweza kuwa prima facie labda kwa mchongo tu.Facts za hii kitu ni fabricated kabisa.Hata confessions kama kweli zipo ni product ya torture na si vinginevyo.
I second you,nchi imejaa majambazi na wauaji tu
 
Dah.. hata kama ni mimi ningeomba kwenda kunya kwanza.. .. UNAJUA UONGO MWISHO WAKE UBAYA.
 
huyo shaidi ni rafiki wa mbowe tangu mwaka 2008 hadi 2020.urafiki wao ni wa miaka 8.kwa maelezo ya shaidi urafiki wao ulikuwa mzuri .na luteni ni cheo cha kati siyo cheo kikubwa jeshini...
Walikuwa rafiki, na ndio maana mbowe alimwamini kumtolea siri ya kutaka kufanya aliyotaka kufanya. bila kujua kwamba pamoja na kwamba mwenzake ni rafiki yake na mchaga mwenzake, ni comandoo aliyekula kiapo. hata mamake mzazi anaweza kumgeuka, ndio kiapo chao. upo?
 
Kibatala: Unafahamu Kwamba Kwa DCI Kuna Askari Kwa ajili ya Kimsindikiza Wanaenda Kwa DCI

Shahidi: Sikumwambia Jaj...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyu shahidi mbna ana drama hivi khaaaah.
 
Mwanzo nilijaribu kujilazimisha kuona kuwa una uelewa kumbe laa ni bure kabisa

Ila tunashukuru kuwa sasa aibu imekuandama na umeanza kuchomoa kidogokidogo...
Urio siye peke yake anayeweza kunasa sauti- serikali ni dude pana sana- wewe tulia kesi iendelee
 
Naskia jamaa kaona yuko mbali kapiga simu ofisini kwa secretary wake aue mchongo

giphy (24).gif
 
walikuwa rafiki, na ndio maana mbowe alimwamini kumtolea siri ya kutaka kufanya aliyotaka kufanya. bila kujua kwamba pamoja na kwamba mwenzake ni rafiki yake na mchaga mwenzake, ni comandoo aliyekula kiapo. hata mamake mzazi anaweza kumgeuka, ndio kiapo chao. upo?
Pamoja na "unaa" wako,

Haya sasa mwambie huyo Mr michongo Urio athibitishe hizo siri alizoambiwa na Mbowe,

Mbona hata simu yenye hizo siri kaipasua anaogopa nini?
 
Back
Top Bottom