theboygamba
Member
- Oct 21, 2021
- 13
- 8
Maana angaonge kwa sabbu hujui labda leteni orio ndo mfungwa mtarajiwa maana anadhalilisha jeshi kwa uong anaoongea hapoMwanzo nilijaribu kujilazimisha kuona kuwa una uelewa kumbe laa ni bure kabisa
Ila tunashukuru kuwa sasa aibu imekuandama na umeanza kuchomoa kidogokidogo...
huyo shaidi ni rafiki wa mbowe tangu mwaka 2008 hadi 2020.urafiki wao ni wa miaka 8.kwa maelezo ya shaidi urafiki wao ulikuwa mzuri .na luteni ni cheo cha kati siyo cheo kikubwa jeshini.kama mbowe alitaka kuchukua nchi kwa nini hakufanya mawasiano na wanajeshi wenye vyeo vikubwa?je maaskari 3 au 4 aliotafutiwa mbowe wangeza kutekeleza vitendo vya ugaidi nchi nzima kwa kutunia bastola ya risasi 3?shahidi ana kesi ya kujibu? wakati hata kushitakiwa hajashitakiwa? na wanaoweza kuamua ashitakiwe au la ni wale waliomwita kama shahidi, na hapohapo unaamini una akili? mnafikiri kwa kutumia kamasi aisee.
Matokeo yake ametia aibuMzee wa nimekula kiapo leo atapata tabu sana, huyu ni shahidi wa Jamhuri aliyevuta hisia za wengi wanaofuatilia kesi.
Tena Mbowe ana ndugu jeshini wakubwa kabisa tofauti na huyu chizihuyo shaidi ni rafiki wa mbowe tangu mwaka 2008 hadi 2020.urafiki wao ni wa miaka 8.kwa maelezo ya shaidi urafiki wao ulikuwa mzuri .na luteni ni cheo cha kati siyo cheo kikubwa jeshini...
Walivyokutana mikocheni ndio aliambwambia amtafutie vijana wakufanya nchi kuwa katika taharuki, kuchoma vituo vya mafuta na masoko pamoja na kukata miti pembezoni mwa barabara, sasa Wale vijana waliofukuzwa jeshini ndio wanaujasiri wa kufanya hayo yoote. Na pia ni watu wenye mafunzo na nilichokiona hapa Urio angewaambia moja kwa moja ni kazi gani wangesita au angevujisha siri.
DCI atakuwa anatoa makochi sahiviKibatala: Unafahamu Kwamba Kwa DCI Kuna Askari Kwa ajili ya Kimsindikiza Wanaenda Kwa DCI
Shahidi: Sikumwambia Jaj...
Utawala katili sn huuKama ni hivyo hao makomandoo wamekamatwa kwa nini?. Maana hao walienda kufanya kazi ya ulinzi na sio ugaidi. Sasa nani mbaya hapo?. Na hakuna sehemu walikaa kupanga ugaidi. Hapo wameonewa Sana.
Majibu ya mjingamimi hayaMh. Jaji kwa mamlaka uliyonayo maliza hii kesi - hamna kesi humu ni kupotezeana muda na kulighalimu taifa.
Matata: Freeman Mbowe akikataa leo hakusema, ni ushahidi gani unao mbele ya Mahakama Kwamba Mbowe alisema hayo maneno uliyosema...
Kufuta ushahidiDCI atakuwa anatoa makochi sahivi
YapKufuta ushahidi
I second you,nchi imejaa majambazi na wauaji tuHuu ni upuuzi ,kupoteza muda na kupoteza Kodi za watanzania.Hakuna ushahidi wa kucorroborate na ushahidi wa maneno ya bwana Urio.Ni ujinga mtupu.Hii kesi haiweza kuwa prima facie labda kwa mchongo tu.Facts za hii kitu ni fabricated kabisa.Hata confessions kama kweli zipo ni product ya torture na si vinginevyo.
Walikuwa rafiki, na ndio maana mbowe alimwamini kumtolea siri ya kutaka kufanya aliyotaka kufanya. bila kujua kwamba pamoja na kwamba mwenzake ni rafiki yake na mchaga mwenzake, ni comandoo aliyekula kiapo. hata mamake mzazi anaweza kumgeuka, ndio kiapo chao. upo?huyo shaidi ni rafiki wa mbowe tangu mwaka 2008 hadi 2020.urafiki wao ni wa miaka 8.kwa maelezo ya shaidi urafiki wao ulikuwa mzuri .na luteni ni cheo cha kati siyo cheo kikubwa jeshini...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyu shahidi mbna ana drama hivi khaaaah.Kibatala: Unafahamu Kwamba Kwa DCI Kuna Askari Kwa ajili ya Kimsindikiza Wanaenda Kwa DCI
Shahidi: Sikumwambia Jaj...
Urio siye peke yake anayeweza kunasa sauti- serikali ni dude pana sana- wewe tulia kesi iendeleeMwanzo nilijaribu kujilazimisha kuona kuwa una uelewa kumbe laa ni bure kabisa
Ila tunashukuru kuwa sasa aibu imekuandama na umeanza kuchomoa kidogokidogo...
Jamaa ameliaibisha jeshiHabari Wakuu,
Leo tena shahidi wa 12 Denis Urio anaendelea kutoa ushahidi wake kwenye kesi inayomkabili Mbowe na wenzake 3.
Kujua Kesi ilipoishia fungua kiungo hiki: Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Ugaidi ya Mbowe na wenzake: Kesi imeahirishwa hadi 28/01/2022, Luteni Denis Urio kuendelea na ushahidi wake...
Naskia jamaa kaona yuko mbali kapiga simu ofisini kwa secretary wake aue mchongo
Pamoja na "unaa" wako,walikuwa rafiki, na ndio maana mbowe alimwamini kumtolea siri ya kutaka kufanya aliyotaka kufanya. bila kujua kwamba pamoja na kwamba mwenzake ni rafiki yake na mchaga mwenzake, ni comandoo aliyekula kiapo. hata mamake mzazi anaweza kumgeuka, ndio kiapo chao. upo?