Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Ugaidi ya Mbowe na wenzake: Kesi imeahirishwa hadi 28/01/2022, Luteni Denis Urio kuendelea na ushahidi wake

Mkuu weka chuki zako binafsi pembeni na angalia uhalisia!Hayo mambo ukiyaweka sana moyoni unaweza jisababishia matatizo ya kiafya!
Subiri kesi ifike mwisho utajua mbivu na mbichi,usihukumu kwani hiyo sio nafasi Yako!
Ukizingatia hayo basi Hukumu yoyote itayotoka haitakutesa nafsi Yako!
Duniani tunapita tu!
 
Kuna watu humu wanafikiri Luteni ni mtu mkubwaaa, eti kila kitu SIRI, SIRI - Luteni ana siri gani za jeshi?

Cheo chenye mamlaka walau kidogo ni kuanzia MEJA kwenda juu - hawa wengine ni mambo ya kuvumilia vumbi na jua kali.
Tulikuwa na Luten 822 kj akitembea mwache atembee, operation ya miaka 50 ya uhuru. C coy
 
Mwanajeshi anayezuia uhalifu hataki kusema umahiri wake na kozi zake?? Hajui kuwa ndio kutangaza cv kwa manufaa ya baadae? Sasa kaja kutoa ushahidi wa nini?

Swali la wakili Nkungu ni muhimu sana kujua intergrity na uwezo wa Shahidi kwenye kesi
 
Hapa najiuliza uwezo wa Jaji kuendesha hii kesi ikiwa anashindwa kuamua jambo dogo kama hili mpaka akajadiliane kwa muda wa nusu saa, aisee
Ana consult kwanza Jaji Siyani anasemaje?
 
Hahahaaaa...... sasa kama kiongozi mwenyewe aliyetaka kugaidiwa ni Ole sabaya aliyefungwa miaka 30 jela kwa ujambazi na unyang'anyi wa kutumia silaha, kuna kesi kweli hapo?

Mungu wa mbinguni atuhurumie kwa kweli!
Case closed.
 
sina chuki binafsi bali nina hasira sana na mtu yeyote anaye chezea amani ya nchi hii.
huyu mboe dhamira yake ilikuwa ni kuichezea amani ya nchi huku akiwa amejificha kwenye kivuli cha uenyekiti wa chama!!
hata hivyo ashukuru sana Mungu Tanznia kuna utawala wa sheria, ingekuwa nchi zingine zisizo fuata utawala wa sheria.....hiiiiiiiiieeeee!!
 
Mawakili wa Serikali wanataka Shahidi asiulizwe maswali ya udadisi - wanamfanyia coverup nafikiri wameshajua kwamba uwezo wake ni mdogo, wakimwacha itakuwa AIBU.
 
Hahahaaaa...... sasa kama kiongozi mwenyewe aliyetaka kugaidiwa ni Ole sabaya aliyefungwa miaka 30 jela kwa ujambazi na unyang'anyi wa kutumia silaha, kuna kesi kweli hapo?

Mungu wa mbinguni atuhurumie kwa kweli!
Ningekua malaika mkubwa mkubwa ningekupigania uingie mbinguni leo[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Asante Mkuu, wafungue vichwa vilaza
 
Kwa hyo unataka kusema kamanda urio anamsingizia mbowe?
Hayo waliyoongea kama yana hoja za ugaidi alete ushahidi wa Video au Audio. Mahakamani hayapokelewi mawazo ya mtu bali ni vielelezo vyenye mashiko. Huyu aliongea na Mbowe juu ya watu wa kumuongezea ulinzi kipindi cha kampeni, hiyo habari ya kwamba wakafanye uhalifu, imetengenezwa baadaye na kina Kingai, ndiyo maana hana hata Audio aliyo record.
 
Leo birthday ya Samia nenda kacheze Nate makirikiri umkumbushe kwamba laana ya kumbambikia kesi Mbowe kumtesa kumsweka ndani miezi sita itamfuata mgongongoni hadi kazi chake cha tatu roho yake ya kutu haitamsaidia kitu
 
Discredited ushahidi or inadmissible ushahidi as a whole
Kwa mawakili wenye akili, wanaweza kumwomba Jaji asichukue ushahidi wowote wa shahidi kwa sababu hawezi kuisaidia mahakama kutenda haki. Na nadhani ndio kinachoenda kutokea hapa, Jaji atataka shahidi ajibu na majibu mengi yakiwa "sijui", "siwezi kujibu hilo", "sifahamu" shahidi anakuwa ameonesha incompetency. Inadmissible ushahidi is on the cards!! Na ukiangalia kuwa shahidi huyu ni muhimu, inaacha sehemu kubwa ya mashtaka uchi! Shahidi anajua anaelekea kuulizwa "kwanini uliwachagua washitakiwa hawa na wala sio wengine inactive au serving. Je ulijua ndio wanaweza kulipua? Imani yako kuwa wanaweza kulipua inatokana na mafunzo uliyowapatia wewe"??
 
Hakuna mahala popote toka kwa shahid yeyote message za telegram zikiandikwa au kuzungumzwa sasa ndio mwanzo urio kamezeshwa ushahidi anatema kama chura
Uwe unafuatilia Twitter kwa Martin (MMM). Hizo text zilishazungumzwa na shahidi kabla ya huyu, ni yule polisi mtaalamu wa forensic science.
 
Jaji: Lakini Kama utaulizwa kuhusu mitaala ya mafunzo yako au vitu ambavyo wewe siyo mhusika unaweza kusita kujibu.. Kwa maana hiyo natoa AMRI, utajibu swali uliloulizwa.
Haya URIO twende kazi.......Jibu la SIWEZI KUSEMA - hilo halipo ndugu, Mahakama ni USHAHIDI na USHAHIDI lazima uhojiwe kama ulikuwa hujui haya kazi kwako.

Cheza kwata hilo !!
 
Mkuu, umefuatilia kesi hii toka jana? Wakili wa serikali alimuuliza, kwa cheo chake Urio, anaongoza askari wangapi, alijibu 30. Pia, koplo anaongoza 9.Haya maswali ya wakili wa utetezi, yana tofauti gani na hayo aliyoulizwa jana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…