Bome-e
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 17,179
- 26,188
Mkuu weka chuki zako binafsi pembeni na angalia uhalisia!Hayo mambo ukiyaweka sana moyoni unaweza jisababishia matatizo ya kiafya!Huyu Gaidi Mboe aliwarubuni hao jamaa, mipango yake ilikuwa kuvuruga amani ya nchi na sio kumlinda.
eti bila aibu linadai walikuwa walinzi!!!
jambazi mkubwa huyu.
Huyu Gaidi alikuwa na mtandao ndani kwa ndani yaani alikuwa na vibaraka wengi ambao walikuwa wanamsaidia jinsi ya kuihujumu serikali. huyu lazima achezee miaka ya kutosha.
Subiri kesi ifike mwisho utajua mbivu na mbichi,usihukumu kwani hiyo sio nafasi Yako!
Ukizingatia hayo basi Hukumu yoyote itayotoka haitakutesa nafsi Yako!
Duniani tunapita tu!