Sheria na iheshimiweHabari Wakuu,
Leo tena shahidi wa 12 Denis Urio anaendelea kutoa ushahidi wake kwenye kesi inayomkabili Mbowe na wenzake 3.
Kujua Kesi ilipoishia fungua kiungo hiki: Yaliyojiri katika kesi ya Mbowe 26 Jan 2022. Shahidi wa 12 Luteni Denis Urio kuendelea kutoa ushahidi wake Jan 27, 2022
...
Kesi ya kijinga sana na imechongwa na wajinga ili kulinda heshima ya chief Hangai aliepotoshwa.
Badala ya kushughulikia waliomdanganya Rais mnashughulikia watu wasio na hatia,mnatuletea mikosi tu ktk taifa kwa uonevu wa raia
kalainika ameanza kujielezaShahidi: Mheshimiwa Jaji Kwa Sababu nipo Chini ya Kiapo Cha Mwajiri Wangu, Mafunzo ya Kijeshi itakuwa ni Shida Kwangu, Naomba Mwajiri Wangu, Nisije kutoka hapa Nikapelekwa Court Marshal...
Mkuu hauna marinda wewe!!Huyu Gaidi Mboe
ha ha ha, sasa umekuja kutoa ushahidi upi - Mawakili wa utetezi watoe hoja ya kuukataa utetezi wa huyu jamaa. URIO unataka kumfunga mwenzako miaka 30 au maisha then unagoma kutoa ushahidi ? kweli ?Shahidi: Mheshimiwa Jaji Kwa Sababu nipo Chini ya Kiapo Cha Mwajiri Wangu, Mafunzo ya Kijeshi itakuwa ni Shida Kwangu, Naomba Mwajiri Wangu, Nisije kutoka hapa Nikapelekwa Court Marshall
AminaAdd Joving Journalist, Suley,Erythrocytes
Hawa wameshabarikiwa wao na vizazi vyao.
Amina.
pevu...... Jamaa kagoma - sasa wacha tuone MAHAKAMA KUU vs LUTENI WA JESHI anayeogopa kibarua chake kisiote nyasi ila ANATAKA mshitakiwa afungwe miaka 30 au Maisha ILA ushahidi wake usihojiwe, uchukuliwe kama ulivyo.Shahidi: Mheshimiwa Jaji Kwa Sababu nipo Chini ya Kiapo Cha Mwajiri Wangu, Mafunzo ya Kijeshi itakuwa ni Shida Kwangu, Naomba Mwajiri Wangu, Nisije kutoka hapa Nikapelekwa Court Marshal...
Nina uhakika, swali hilo hilo, akiulizwa na wakili wa utetezi, atakataa kulijibu, kwani ANA KIAPO!Shahidi alienda Sudan mwenyewe maana hakumbuki hata mtanzania moja waliye enda nae
Sent from my Lenovo TB-7305X using JamiiForums mobile app
Jaji anachezewa. Hiyo ni CONTEMPT OF COURT ...... Amuweke ndani mpaka J3. Akitoka huko atajibu maswali yote bila kujali hicho kiapo chakeShahidi: Mheshimiwa Jaji Kwa Sababu nipo Chini ya Kiapo Cha Mwajiri Wangu, Mafunzo ya Kijeshi itakuwa ni Shida Kwangu, Naomba Mwajiri Wangu, Nisije kutoka hapa Nikapelekwa Court Marshall
KAZI IPO
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
SHAHIDI hajui kwa nini aliapishwa kabla ya kuanza kutoa ushahidi wake - maana yake viapo vingine vinafutika kwa muda na kinachosimama wakati huo ni KIAPO cha Mahakama KUU.Jaji anachezewa. Hiyo ni CONTEMPT OF COURT ...... Amuweke ndani mpaka J3. Akitoka huko atajibu maswali yote bila kujali hicho kiapo chake
Kwa hiyo platoon inakuwa na askari 30? Huyu mwanajeshi wa wawapi,mpakani au fire? Kama section 1 inakuwa na askari 9 na kila platoon inakuwa na section 3 hiyo idadi ya askari 30 ametoa wapi?Mkuu, umefuatilia kesi hii toka jana? Wakili wa serikali alimuuliza, kwa cheo chake Urio, anaongoza askari wangapi, alijibu 30. Pia, koplo anaongoza 9.Haya maswali ya wakili wa utetezi, yana tofauti gani na hayo aliyoulizwa jana?
FUSO unamjibu nini huyu kuku maji mpige banhujui na hutakaa ujue msingi wa swali kama hili - kaa chini ndugu.
Jamaa anadai alikuwa kwenye operation Sudan lakini hakumbuki mu yeyote waliyekuwa naye huko .... Seriously?ha ha ha, sasa umekuja kutoa ushahidi upi - Mawakili wa utetezi watoe hoja ya kuukataa utetezi wa huyu jamaa. URIO unataka kumfunga mwenzako miaka 30 au maisha then unagoma kutoa ushahidi ? kweli ?
Yaan kwa akili yako ndogo km ya kuku ukadhani ukwel kumbuka kaamua tuu kutojibu kwa kiburi wala sio kwamba ajui kwani utamfanya niniShahidi alienda Sudan mwenyewe maana hakumbuki hata mtanzania moja waliye enda nae
Sent from my Lenovo TB-7305X using JamiiForums mobile app