Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Ugaidi ya Mbowe na wenzake: Kesi imeahirishwa hadi 28/01/2022, Luteni Denis Urio kuendelea na ushahidi wake

Usikariri Bro. Kwenye Organization ni kweli kuna idadi tajwa lakini haimlazimishi mtu kuifuata. Ndio maana kuna - or +. Unaweza kutengeneza Organization itakayo fit hitajio lako.
Muundo wa majeshi yetu ni copy na past ya marekani na ipo hivyo section 9,platoon 27, Combania 54 over
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]Shahidi: Ilikuwa Kwenye Mgahawa siyo Sober, Sijui Kama Palikuwa panaitwa sober
 
Kuna tofauti kubwa kati ya maswali yanayoulizwa wakati wa EXAMINATION IN CHIEF na CROSS EXAMINATION
Hajui unamaanisha nini labda aje umfafanulie.. wamekaririshwa pale Lumumba basi wote ni wanasheria siku hizi.
 
duh jamaa yupo kwenye wakati mgumu sana, na inaonekana uelewa wake ni mdogo.
 
Usikariri Bro. Kwenye Organization ni kweli kuna idadi tajwa lakini haimlazimishi mtu kuifuata. Ndio maana kuna - or +. Unaweza kutengeneza Organization itakayo fit hitajio lako.
Ni kweli 9 kila section kiongozi wake koplo anakuwa wa kumi na Luteni anakuwa kiongozi wa platoon ya watu 30 yeye ni wa 31 unaweza kuona hili kwenye gwaride ukipenda!
 
Vumilia Vurumai la Vumvi(VVV)... Luteni Ni watu wadogo Sana jeshini. Kama ingelikuwa Polisi, then Nyota mbili is somehow something.
 
Kwani aliyetafuta X-Makomandoo ni nani?
Aliyekutana X-Makomondoo Morogoro ni nani?
Nina aliyetafakari kwa umakini kukubali kutafuta vijana wa Vp protection na Huku akijua ni kwenda kutekeleza Ugaidi ni Nina?
 
Kwani aliyetafuta X-Makomandoo ni nani?
Aliyekutana X-Makomondoo Morogoro ni nani?
Nina aliyetafakari kwa umakini kukubali kutafuta vijana wa Vp protection na Huku akijua ni kwenda kutekeleza Ugaidi ni Nina?
eti VIP Protection,

Mboe alikuwa anatafuta watu ambao walikuwa tayari kufanya vitendo vya kihalifu.
Hata ndani ya chama inafahamika kwani mara nyingi alikuwa anawahimiza red brigedi kuwa tayari kwa lolote na haswa kutekeleza vitendo vya kihalifu pale inapo bidi.
 
Kiukweli kunashida kubwa elimu na uelewa kwenye majesh yetu yoote tanzania.

Mtu mwenye lank ya ruteni anaulizwa uliandika kwenye mapokez ya ofice aliyoingia ,heti anajivunia kitambulisho tu..!!

Yaan askari hajui hata umuhimu wa kuandika kwenye kitabu...
Anajigamba mm mwanajeshi bwana...!!
Hovyo kabisa.
 
Nashon: Wewe na mpelelezi wako hamkuona umuhimu wa kuweka simu Moja Chini ya Surveillance, kuweza kurekodi pindi Mbowe atakapopiga

Shahidi: hapakuwa na umuhimu

Nashon:
sasa shahidi umetoa hapa meseji, Je unaweza kutoa meseji hata moja yenye mwelekeo wa kupanga UGAIDI??

Shahidi: hakuna meseji ya neno GAIDI
 
Jitie dole halafu nusa waweza punguza hasira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…