Frustration
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,134
- 4,124
Muundo wa majeshi yetu ni copy na past ya marekani na ipo hivyo section 9,platoon 27, Combania 54 overUsikariri Bro. Kwenye Organization ni kweli kuna idadi tajwa lakini haimlazimishi mtu kuifuata. Ndio maana kuna - or +. Unaweza kutengeneza Organization itakayo fit hitajio lako.