Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Ugaidi ya Mbowe na wenzake: Kesi imeahirishwa hadi 28/01/2022, Luteni Denis Urio kuendelea na ushahidi wake

Nimecheka kweli, yule jamaa hayupo sawa kwenye brain anatakiwa kupimwa akili

Shahidi: Naomba Unitumie Nauli niweze Kuwa Mobilise Tukutane Morogoro

Nashon: hiyo Meseji ya nani

Shahidi: Ya Kwangu Mimi

Nashon: kwa hiyo Wewe ulikuwa Una mobilise Magaidi

Shahidi: Hapana Siyo Mimi ni Mbowe

Nashon: Freeman Mbowe ndiyo alikutana nao Morogoro?

Shahidi: Hapana ni mimi nilikutana nao Morogoro

Nashon: Kwa hiyo ulienda hadi Morogoro kukutana na magaidi nakuwa Mobilise wafanye ugaidi?

Shahidi: HAPANA SIYO MAGAIDI

Mahakama: Kicheko
 
Kwa hiyo naye aliteswa na kina Kingai .... This country!! Only GOD knows.
 
Kwa hiyo naye aliteswa na kina Kingai .... This country!! Only GOD knows.
Lazima aliogopa kufukuzwa kazi baada ya kupelekwa “Marshall court”, maana kukubali kumtafutia Mbowe walinzi, jambo ambalo kina Kingai waligunduwa pengine kwa kutumia udukuzi, lingepelekea yeye kufukuzwa kazi.

Lakini process nzima lazima walimpa “torture” ya kutosha na kumtisha hadi akalainika.

Hata huu ushahidi anautoa tu lakini kuna shida kubwa pia siyo “competent” hata kidogo.
 
Halafu ndio aliaminika eti ni Mastermind wa ishu nzima,na mwenye ushahidi mzito,hovyo kabisa
onaaaaaa



Martin Maranja Masese
@IAMartin_
·
1h

Nashon: Freeman Mbowe ndiyo alikutana nao Morogoro?
Shahidi: Hapana ni mimi nilikutana nao Morogoro
Nashon: Kwa hiyo ulienda hadi Morogoro kukutana na magaidi nakuwa Mobilise wafanye ugaidi?
Shahidi: HAPANA SIYO MAGAIDI
Mahakama:
 
He has a treason case to answer kwenye court marshal ya kijeshi. He chose not to disclose to his army superiors of impending terrorist activities and to recruit ex army members to participate. Kikubwa ni kutotoa taarifa jeshini.
 
Apunguze Komedi Urio majibu ya ndio mm hapana sio mm mwenye close ended questions
 
amezingilwa na hofu na mashaka tu.. anabadilisha history ya maisha yake.. na kuwa history nyonge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…