Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,743
Nimecheka kweli, yule jamaa hayupo sawa kwenye brain anatakiwa kupimwa akiliHuyu shahidi Urio inaonekana hayuko “stable mentally”
Halafu jana alisema aliambiwa na “administrator” kuwa wale kina Bwire, Lijenje na Adamoo walifukuzwa. Leo anasema alifahamu kwa kutizama mafaili!
Pia anaonyesha uwezo wake wa kufanya maamuzi sahihi ni mdogo sana. Ndiyo maana hata akaulizwa kama alikiwa “sober”, wakati anakubali kushirikiana ugaidi, akasema hafahamu “sober” ni wapi!🤦🏾♂️
Pia issue ya ugaidi ni hatari kwa Taifa, alitakiwa aripoti hilo suala kwa intelligence officer wa jeshi na wao ndiyo waamuwe hatua za kuchukuwa.
Nadhani huyu alilazimishwa na kina Kingai baada ya wao kumtisha kuwa atafukuzwa jeshi ama kupelekwa kwenye “marshal court”. Ikabidi akubaliane na mchongo.
Hata leo ameonyesha wasiwasi huo na ndiyo maana kina Kingai waka “take advantage of his insecurities”. Matokeo yake ili kulinda kibarua, wakamalizana na kina Kingai kimyakimya huku akiwadanganya “superiors” wake kule jeshini kuhusu “story” nzima.
Kina Adamoo the alimuona akiteswa kule TAZARA. Nadhani alilainika.
Shahidi: Naomba Unitumie Nauli niweze Kuwa Mobilise Tukutane Morogoro
Nashon: hiyo Meseji ya nani
Shahidi: Ya Kwangu Mimi
Nashon: kwa hiyo Wewe ulikuwa Una mobilise Magaidi
Shahidi: Hapana Siyo Mimi ni Mbowe
Nashon: Freeman Mbowe ndiyo alikutana nao Morogoro?
Shahidi: Hapana ni mimi nilikutana nao Morogoro
Nashon: Kwa hiyo ulienda hadi Morogoro kukutana na magaidi nakuwa Mobilise wafanye ugaidi?
Shahidi: HAPANA SIYO MAGAIDI
Mahakama: Kicheko
