Denis Urio, Kupitia Wewe Nimejifunza Mengi Sana. Nilikuwa Najiuliza Kuwa kwanini Wanao enda kulinda Amani Nje ya Nchi Huwa Wanashindwa Kutekeleza Majukumu yao na kuwafanya Magaidi Kuendelea na Mipango yao hakika leo Nimejua. Kumbe wanaopelekwa huko Ni hawana Akili za Ki inteleginsia. Kama Aina Ya Kina Denis Urio Ndio Watu wanao enda Basi SUDAN hakuwezi kuja kuwa na AMANI [emoji28]
Lakini Kwa Upande Mwingine, Namuelewa Denis Urio. Denis Urio Ametishiwa na Serikali ikiwa ni Pamoja Na Kufukuzwa Kazi au kupotezwa kama Hata kuwa Upande wa Serikali. Ndio Maana Amelazimika Kubadirisha Gia Angani ya Ushahidi wake, Lakini Maswali yanamuumbua. Kilichotokea ni hiki, Baada Ya Denis Urio kuitwa na Mamlaka Kuelimishwa kuhusu Ushahidi wake akajazwa kuwa wakikuuliza Maswali Magumu wewe sema kuwa Huruhusiwi kusema kwasababu Ya JESHI [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] Wakasahau Kumpanga Jaji. Jaji Kaja Katibua Mchongo Jamaa anatakiwa kujibu anacho ulizwa.
Jamaa yeye mwenyewe anashangaa kwanini Bwire kakamatwa [emoji28][emoji28], Kawalagai wenzie, Kawadanganya Wenzie, kawadanganya Wapelelezi na Leo anakuja kuidanganya mahakama. Alikuwa Wa Kwanza Kumshauri Mbowe kuwa Simu siyo salama na Atumie simu za watu wengine, Je kama ni Kweli ulikuwa kwenye Tactical nini sijui, Unaweza kumshauri Threat wako Kutumia Simu zingine na sio za Kwake? Yaani Ujiongezee ugumu Wa Kazi?, Bado Akaendelea Kumshauri Mh Mbowe kuwa, Hata hizo Simu sio Salama Bali wakutane Ana kwa Ana Na Kuzungumza anaendelea kutengeneza Ugumu wa Mazingira Ya Kazi… Je huyu Alikuwa na Nia Ya Kureport haya Yote Serikalini? Kwanini kuwe na Uwekaji wa mazingira kuwa magumu?…..[emoji28][emoji28][emoji28] Haya umewaambia Wenzio kuna kufanya Ulinzi wameenda Kweli wanafanya Ulinzi, Unaulizwa kufanya Ulinzi Ni Kosa unasema sio Kosa. Sasa kosa Liko wapi?
Huyu Denis Urio Kesho Ndio Atapotezwa kabisaaa na Kibatala Kama Nashon Tuu kampoteza Hivyooo kwa Kibatala Kesho Ndio Kabisaaa Amekwisha.