Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Ugaidi ya Mbowe na wenzake: Kesi imeahirishwa hadi 28/01/2022, Luteni Denis Urio kuendelea na ushahidi wake

Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Ugaidi ya Mbowe na wenzake: Kesi imeahirishwa hadi 28/01/2022, Luteni Denis Urio kuendelea na ushahidi wake

Kuna course wanasheria hua wanaisoma inaitwa Evidence Law. Huko utakutana na kitu kinaitwa "accomplince" in the comission of a crime. Kama unapenda udadisi soma uyakua umepata jibu la hoja yako
Course inaitwa Evidence Law?
 
Hizo telegram chat na simu walizopigiana hauziamini?
Na nimekuuliza Ina maana kamanda urio anamsingizia mbowe?

Kingai nilikuambia ww ni zoba fulani, na sasa unaanza kuelewa. Maafisa wengi wa vyombo vya dola ni vilaza ndio maana huwa wanatumia mabavu hata sehemu isiyohitaji nguvu. Matokeo yake watawala wa CCM wameshajua ni vilaza hivyo wanawatumia kwenye siasa chafu. Sasa wanasiasa wa CCM wamewatumia Mmebaki wenyewe mahakamani ukilaza wenu ukianikwa.
 
Komandoo alafu ni Luteni alafu hana akili aisee kumbe jeshi ndo linaajiri vilazaa kiasi hiki

Yaani katika ushahidi komandoo mzima anajipiga kidole alafu ananusa, hii ni aibu kwa jeshi
We ulifikiri kuwa komandoo lazima uwe na Masters? Au PhD?
 
Kwahiyo wale vijana kina Adamoo wameteswa, wamepigwa na kuumizwa ilhali inajulikana kabisa hawana kosa ila kwa akili yako ni creativity kumkamatisha Mbowe?

Na unaandika confidently kabisa kama ni kitu kizuri
Wakati mwingine washtakiwa hua wanafunguliwa shtaka fulani kwa pamoja mf. hilo la "ugaidi" kimkakati tu ila mlengwa hapo ni mmoja tu kati yao. Na upande wa mashtaka wanakua wanajua kabisa kwenye hili kosa atakayepatika na hatia ni mmoja tu kati ya washtakiwa wote. Wanafanya hivi ili ku accomplish lile jukumu lao zito la ku-prove kesi yao "beyond all reasonable doubt". Jukumu hili ni zito sana kwao na ili kulitimiza inabidi kuw creative sana... Kujua haya mambo nakushauri usiishie tu kufuatilia hii kesi ya FAM pekee. Itakapoisha uwe interested na kesi zingine za jinai itakusaidia kujua ujanja/akili ya prosecutors kwenye kesi za jinai
 
Denis Urio, Kupitia Wewe Nimejifunza Mengi Sana. Nilikuwa Najiuliza Kuwa kwanini Wanao enda kulinda Amani Nje ya Nchi Huwa Wanashindwa Kutekeleza Majukumu yao na kuwafanya Magaidi Kuendelea na Mipango yao hakika leo Nimejua. Kumbe wanaopelekwa huko Ni hawana Akili za Ki inteleginsia. Kama Aina Ya Kina Denis Urio Ndio Watu wanao enda Basi SUDAN hakuwezi kuja kuwa na AMANI [emoji28]

Lakini Kwa Upande Mwingine, Namuelewa Denis Urio. Denis Urio Ametishiwa na Serikali ikiwa ni Pamoja Na Kufukuzwa Kazi au kupotezwa kama Hata kuwa Upande wa Serikali. Ndio Maana Amelazimika Kubadirisha Gia Angani ya Ushahidi wake, Lakini Maswali yanamuumbua. Kilichotokea ni hiki, Baada Ya Denis Urio kuitwa na Mamlaka Kuelimishwa kuhusu Ushahidi wake akajazwa kuwa wakikuuliza Maswali Magumu wewe sema kuwa Huruhusiwi kusema kwasababu Ya JESHI [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] Wakasahau Kumpanga Jaji. Jaji Kaja Katibua Mchongo Jamaa anatakiwa kujibu anacho ulizwa.

Jamaa yeye mwenyewe anashangaa kwanini Bwire kakamatwa [emoji28][emoji28], Kawalagai wenzie, Kawadanganya Wenzie, kawadanganya Wapelelezi na Leo anakuja kuidanganya mahakama. Alikuwa Wa Kwanza Kumshauri Mbowe kuwa Simu siyo salama na Atumie simu za watu wengine, Je kama ni Kweli ulikuwa kwenye Tactical nini sijui, Unaweza kumshauri Threat wako Kutumia Simu zingine na sio za Kwake? Yaani Ujiongezee ugumu Wa Kazi?, Bado Akaendelea Kumshauri Mh Mbowe kuwa, Hata hizo Simu sio Salama Bali wakutane Ana kwa Ana Na Kuzungumza anaendelea kutengeneza Ugumu wa Mazingira Ya Kazi… Je huyu Alikuwa na Nia Ya Kureport haya Yote Serikalini? Kwanini kuwe na Uwekaji wa mazingira kuwa magumu?…..[emoji28][emoji28][emoji28] Haya umewaambia Wenzio kuna kufanya Ulinzi wameenda Kweli wanafanya Ulinzi, Unaulizwa kufanya Ulinzi Ni Kosa unasema sio Kosa. Sasa kosa Liko wapi?

Huyu Denis Urio Kesho Ndio Atapotezwa kabisaaa na Kibatala Kama Nashon Tuu kampoteza Hivyooo kwa Kibatala Kesho Ndio Kabisaaa Amekwisha.
 
..labda Lijenje ni shahidi wa upande wa serikali.

..labda ataibuka mahakamani hivi karibuni kuwakandamiza wenzake.

Kumbuka Lijenje Hakuwa Informer wa Urio. Aliyekuwa Informer wa Urio ni Bwana Bwire na Bwire yupo mahakamani, Ambako Hata Yeye Urio Anashangaa Kwanini Bwire alikamatwa.

Sasa Lijenje atakuja mahakamani akitokea wapi? Kwa Kingai? Kwa Urio? Kwa Swila? Au kwa Nani? Na huko Kafikaje? Kwamba Alimgeuka Bwana Luteni Mpekua Mafaili?
 
Anyways defense wana maswali mepesi mno.
ni kama mpira wa miguu, ukiwa nje unaona ni rahisi na unaweza ukosoe..

lengo la hicho unacho kiona chepesi ni kumchosha kiakili kwanza muulizwaji hapo mwanzoni, halafu mwishoni yanakuja maswali magumu pale wakili wa mwsho katika jopo la utetezi anapokuja kumalizia
 
Komandoo alafu ni Luteni alafu hana akili aisee kumbe jeshi ndo linaajiri vilazaa kiasi hiki

Yaani katika ushahidi komandoo mzima anajipiga kidole alafu ananusa, hii ni aibu kwa jeshi

Kuna siku kuna CCM mmoja Mtaani Aliniambia kuwa, CCM wamejitahidi sana Kuzuia Ugaidi si kama Kenya na Nchi Zingine. Nilicho Mjibu nilimjibu kuwa Hawajaamua Kuja Tanzania wakiamua kuja watakuja muda wowote na Hakuna Wakuwazuia. Hakunielewa Leo Baada ya Hii kesi Ananiambia Aise ulichokuwa unasema Ni sahihi, Magaidi wakiamua Wanatupiga Tukio Muda wowote. Nikaona Akili zimeanza Kumkaa sawa.

Aina Ya Watu kama Kina Denis Urio ndio wazuie wale Al-Shababu kufanya Matukio vile wale Jamaa wako Smart? Wanaweza kuingia Kwenye Nchi wakaanza kumuandaa mtu akiwa na miaka 9 kuja kutekeleza Shambulio akiwa na Miaka 30….. Akija Denis Urio kwa Hizi Akili wanaweza Kujua Hayo Kweli [emoji28][emoji28][emoji28]

Ndio Maana Nashon Alimwambia mwanzo kabisa kuwa hii kesi inaweza kumfanya Awe Shudaa Au Awe kituko.

Kachagua kuwa Kituko [emoji28][emoji28]
 
Jopo lote la mawakili wa utetezi hawana uwezo wa kumyumbisha shahidi URIO

Urio Angekuwa Na Akili, Angewachukua Wanajeshi Walio kazini [emoji28][emoji28] kwenda Kufanya Hiyo Kazi Maalumu Yeye ameita Tactical Nini Sijui….. hiyo Inge sound Good kuwa Jamaa Alikuwa Smart, Later on Mbowe angestuka Kuwa Anafanya kazi Na wana Jeshi ambao Wako kikosini na Hawajafukuzwa Kazi.

Sasa, Yeye kaenda kuwatafuta walio Fukuzwa kazi ambao Wanasota Mtaani kwa ugumu wa Maisha, ambao wanakuwa Rahisi sana Kuwa rubuniwa na Kumgeuka kwa marengo yake kama kweli aliwaambia. Pesa ni haramu, Huwezi kumwambia Mtu asiye lipwa na serikali au kusaidia chochote na serikali by the way serikali ndio imemfanya awe anasota Mtaani etiii Kumbukeni Kiapo Mlicho Kula [emoji28][emoji28][emoji28] where? When? Which? Who? How? Whom? [emoji28][emoji28]

Sasa Urio, Uliwatafuta Makomandoo wa 4 ukawawekea Mtego kuwa chochote watakacho Ona Sio Sawa Wakuambie, Ni kama Walikuwa Informer wako kama Wewe ulivyokuwa Informer wa Kingai…. kwa maana Hiyo Urio Unajua kabisa Ile Bastola A ngapi sijui unajua ilitoka wapi?, Unajua yale Madawa ya Kulevya walioshikwa nayo yaliyoka wapi, hata visu vya jeshi sijui Uniform Urio Unajua Vilitoka wapi…. Kwasababu hawa si ndio walikuwa Informer wako? Na Ukaona baada yao kukamatwa ukajua Kazi Imeisha Na Ulilotaka Lilikuwa Limetimia [emoji28][emoji28][emoji28] Chukua Sasa Vifaa Ulivyo wapa virudi pahala Pake.

Urio Ulikosa kabisa Akili ya kuchukua Wanajeshi walio Kazini? Maana Tanzania Hamna Vita, So wanajeshi wanakula Bata tuuu, Hii ingekuwa moja Ya Kazi yao na Mbowe Angekamatwa na Kufungwa mchana Kweupeeeee [emoji28][emoji28][emoji28] nini Kilikufanya Uwachukue walio Fukuzwa kazi Tena kwa Kuonewa. Labda tusubiri wakati wakujitetea watasema wao ni wanajeshi Kamili na bado wako kazini walikuja kwa Mbowe kwa Kazi Maalumu.
 
Good observation and point- big up Kidando
Mheshimiwa Jaji Maswala ya namna hii, labda yawe yanapelekea Ku Injure character ya witness basi Shahidi anaweza Kulazimishwa Kuyajibu. Kinyume na hapo Shahidi hawezi Kulazimishwa

Imeishia wapi hii [emoji28][emoji28]
 
Kumbuka Lijenje Hakuwa Informer wa Urio. Aliyekuwa Informer wa Urio ni Bwana Bwire na Bwire yupo mahakamani, Ambako Hata Yeye Urio Anashangaa Kwanini Bwire alikamatwa.

Sasa Lijenje atakuja mahakamani akitokea wapi? Kwa Kingai? Kwa Urio? Kwa Swila? Au kwa Nani? Na huko Kafikaje? Kwamba Alimgeuka Bwana Luteni Mpekua Mafaili?

..anything is possible.

..lakini walichofanyiwa hawa vijana ni kitu kibaya sana.

..kumtoa mtu kwenye kazi yake ya halali, na kumlengesha kwenye ugaidi, halafu kumkamata sio sahihi hata kidogo.

..hawa vijana waachiwe mara moja.
 
Sasa maswali mnatoa makomando wangapi zinahusiana vipi na kesi hyo?
Mawakili wa utetezi wanatafuta malumbano yasiyokuwa na maana
Wewe ni kilaza huwezi kuelewa!Mantiki ya swali hili ilikuwa kujua uhaba wa makomando mpaka watumie waliofukuzwa kwenye issue nyeti kama hiyo na kwamba kwanini asingetumia walioko kazini kumaliza utata.
 
Back
Top Bottom