voicer
JF-Expert Member
- Jul 13, 2020
- 5,545
- 11,935
Mnapewa ukweli nyie ndezi wa Mbowe.Akili yako inaendana kabisa na jina lako. Pole sana
Acheni ujuaji wa kwenye Mbege.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnapewa ukweli nyie ndezi wa Mbowe.Akili yako inaendana kabisa na jina lako. Pole sana
Kwani wewe chati zako ziliingi vipi kwa mumeo?Nikwambie kitu.
Wafuasi wa mbowe hamna AKILI.
Hamjipi kazi ya kujiuliza.
Kitu ambacho mnatakiwa mjadili.
Chat za mbowe ziliingia vipi kwenye simu ya kamanda urio.?
Je ninkweli walifanya vikao mikocheni.
Je NI kweli mbowe alikuwa anamtumia hela kamanda urio.
Hapa ndipo tuhuma za kupanga mipango ya kigaidi .
Ndipo zilipo.
Wenzenu wanawabana kwenye chat,na vikao na hyo miamala ya fedha.
MTAAMKA LINI?
[emoji23][emoji23][emoji23] usiniambie mimi proove beyond reasonable doubt kwa jaji kuwa mbowe na urio walipanga ugaidi.Ulitaka awaambie kuwa wanaenda kufanya ugaidi? Au Mbowe kweli atakubali kwenye mahojiano kuwa aliwaita kwa ugaidi? Of course atasema ni kwa ulinzi, na CHADEMA wenyewe hadi leo wanasema ni walinzi. Lakini deepdown yeye Urio na Mbowe kila mmoja alijua kuwa ni lwa kazi za kigaidi. There is no contradiction there.
Upumbavu nao kipaji vilevile. Ongera zakoMnapewa ukweli nyie ndezi wa Mbowe.
Acheni ujuaji wa kwenye Mbege.
ambazo umeshindwa kuzitaja?Point mnazochukua nyinyi sio point anazochukuwa Jaji kwenye maelezo anayouatoa shahidi.
Kwenye kesi mtuhumuwa hutiwa hatiani na kipengele kidogo sana.
hapa umeonyesha upumbavu wakoNyinyi mawakili wa kichaga endeleeni na hii mahakama yenu huku JF.
Wewe ndiyo huna.hadithi vikao vya mikocheni?
hadithi unamwambia mtu akutafutie vijana?
Hadithi una chat nae ?
Hadithi una mtumia mtu hela?
nitakuwa wapumbavu mpaka mnakufa.
Akili mnazo Ila hamtaki kuzitumia.
Huu ni msiba, hivi una elimu gani?Chadema mnajipa moyo lakini wengi ni mazuzu wa sheria.
Point mnazochukua nyinyi sio point anazochukuwa Jaji kwenye maelezo anayouatoa shahidi.
Kwenye mahakama ya Maria Sarungi Mbowe yuko huru,ila kwenye mahakama ya serikali Mbowe anaweza kuiepuka kesi au hatia ya ugaidi lakini sio kukwepa tuhuma zote.
Ile tu kuajiri au kitendo cha kula njama na askari aliyefukuzwa.
Ukataka kumpa majukumu yako mapya bila mamlaka husika kujua,inathibitisha nia ovu.
Kama Mbowe alitaka walinzi binafsi basi kuna taratibu zake halali za kufuatwa na sio hii ya kuwakusanya kina Adamoo.
Kwenye kesi mtuhumuwa hutiwa hatiani na kipengele kidogo sana.
Nyinyi mawakili wa kichaga endeleeni na hii mahakama yenu huku JF.
Lakini msiingilie ile mahakama halali.
Ukabila wa nini, mbona hujengi hoja ?!.Chadema mnajipa moyo lakini wengi ni mazuzu wa sheria.
Point mnazochukua nyinyi sio point anazochukuwa Jaji kwenye maelezo anayouatoa shahidi.
Kwenye mahakama ya Maria Sarungi Mbowe yuko huru,ila kwenye mahakama ya serikali Mbowe anaweza kuiepuka kesi au hatia ya ugaidi lakini sio kukwepa tuhuma zote.
Ile tu kuajiri au kitendo cha kula njama na askari aliyefukuzwa.
Ukataka kumpa majukumu yako mapya bila mamlaka husika kujua,inathibitisha nia ovu.
Kama Mbowe alitaka walinzi binafsi basi kuna taratibu zake halali za kufuatwa na sio hii ya kuwakusanya kina Adamoo.
Kwenye kesi mtuhumuwa hutiwa hatiani na kipengele kidogo sana.
Nyinyi mawakili wa kichaga endeleeni na hii mahakama yenu huku JF.
Lakini msiingilie ile mahakama halali.
Hoja za ccm ni matusi, kejeli na bunduki...wameishiwaUkabila wa nini, mbona hujengi hoja ?!.
Wewe ndiyo taahira. Kwa hiyo unataka kusema tungeona mwili wa marehemu Sabaya ndiyo ungeamini? Gaidi nu kumzuia asiue, akishaua tayari upelelezi wako hauna faida tenalabda kwa revenge. Na magaidi mara nyinginao hufa kwa kujitoa mhanga. Lt Urio succeeded 100%.
Nikwambie kitu.
Wafuasi wa mbowe hamna AKILI.
Hamjipi kazi ya kujiuliza.
Kitu ambacho mnatakiwa mjadili.
Chat za mbowe ziliingia vipi kwenye simu ya kamanda urio.?
Je ninkweli walifanya vikao mikocheni.
Je NI kweli mbowe alikuwa anamtumia hela kamanda urio.
Hapa ndipo tuhuma za kupanga mipango ya kigaidi .
Ndipo zilipo.
Wenzenu wanawabana kwenye chat,na vikao na hyo miamala ya fedha.
MTAAMKA LINI?
Ushajidi unajikanganya Sana. Hapa Haji naye ataibuka shujaa atakapo TOA hukumu. Maana kuna vioja. Ndio maana nikaifuta NI hadithi tamu Sana hata kupita Ile ya KARUDI BABA MMOJA TOKA SAFARI YAMBALI,KAVIMBA YOTE MAPAJA NA KUTETEMEKA MWILIShahidi Urio ameeleza mahakama kwamba alikabidhi simu zake kama vielelezo kwa ajili ya investigation.Lkn kumbuka kuna shahidi mtaalamu wa forensic ambaye alikwishatoa ushahidi wake kwamba ktk investigation hakupata text wala video kwenye vile vielelezo alivyofanyia kazi.
Leo shadidi anaeleza mahakamani kuwa kuna txt za telegram za mawasiliano kati yake na Mbowe.
Huyu sio Said NI utopoloKwa huo utoto unaondelea hapo mahakamani toka kwa mashahidi wa serekali, sishangai wazungu kuendelea kutuita manyani. Na kwakuwa ww ni muumini wa siasa chafu, hili hitimisho lako ni sawa kabisa.
Huwa naheshimu sana maafisa kuanzia nyota moja kuendelea kumbe ndio wajinga hivi.
Hapa ni kuwa urio alishiriki kutenda uhalifu Ili kubaini uhalifu, ndo maana hii kesi ni ngumuUrio Angekuwa Na Akili, Angewachukua Wanajeshi Walio kazini [emoji28][emoji28] kwenda Kufanya Hiyo Kazi Maalumu Yeye ameita Tactical Nini Sijui….. hiyo Inge sound Good kuwa Jamaa Alikuwa Smart, Later on Mbowe angestuka Kuwa Anafanya kazi Na wana Jeshi ambao Wako kikosini na Hawajafukuzwa Kazi.
Sasa, Yeye kaenda kuwatafuta walio Fukuzwa kazi ambao Wanasota Mtaani kwa ugumu wa Maisha, ambao wanakuwa Rahisi sana Kuwa rubuniwa na Kumgeuka kwa marengo yake kama kweli aliwaambia. Pesa ni haramu, Huwezi kumwambia Mtu asiye lipwa na serikali au kusaidia chochote na serikali by the way serikali ndio imemfanya awe anasota Mtaani etiii Kumbukeni Kiapo Mlicho Kula [emoji28][emoji28][emoji28] where? When? Which? Who? How? Whom? [emoji28][emoji28]
Sasa Urio, Uliwatafuta Makomandoo wa 4 ukawawekea Mtego kuwa chochote watakacho Ona Sio Sawa Wakuambie, Ni kama Walikuwa Informer wako kama Wewe ulivyokuwa Informer wa Kingai…. kwa maana Hiyo Urio Unajua kabisa Ile Bastola A ngapi sijui unajua ilitoka wapi?, Unajua yale Madawa ya Kulevya walioshikwa nayo yaliyoka wapi, hata visu vya jeshi sijui Uniform Urio Unajua Vilitoka wapi…. Kwasababu hawa si ndio walikuwa Informer wako? Na Ukaona baada yao kukamatwa ukajua Kazi Imeisha Na Ulilotaka Lilikuwa Limetimia [emoji28][emoji28][emoji28] Chukua Sasa Vifaa Ulivyo wapa virudi pahala Pake.
Urio Ulikosa kabisa Akili ya kuchukua Wanajeshi walio Kazini? Maana Tanzania Hamna Vita, So wanajeshi wanakula Bata tuuu, Hii ingekuwa moja Ya Kazi yao na Mbowe Angekamatwa na Kufungwa mchana Kweupeeeee [emoji28][emoji28][emoji28] nini Kilikufanya Uwachukue walio Fukuzwa kazi Tena kwa Kuonewa. Labda tusubiri wakati wakujitetea watasema wao ni wanajeshi Kamili na bado wako kazini walikuja kwa Mbowe kwa Kazi Maalumu.
Urio jana umekula za uso sasa bado kibatala leo lazima ujikojolee au uombe ruhusa ya kwenda chooniChadema mnajipa moyo lakini wengi ni mazuzu wa sheria.
Point mnazochukua nyinyi sio point anazochukuwa Jaji kwenye maelezo anayouatoa shahidi.
Kwenye mahakama ya Maria Sarungi Mbowe yuko huru,ila kwenye mahakama ya serikali Mbowe anaweza kuiepuka kesi au hatia ya ugaidi lakini sio kukwepa tuhuma zote.
Ile tu kuajiri au kitendo cha kula njama na askari aliyefukuzwa.
Ukataka kumpa majukumu yako mapya bila mamlaka husika kujua,inathibitisha nia ovu.
Kama Mbowe alitaka walinzi binafsi basi kuna taratibu zake halali za kufuatwa na sio hii ya kuwakusanya kina Adamoo.
Kwenye kesi mtuhumuwa hutiwa hatiani na kipengele kidogo sana.
Nyinyi mawakili wa kichaga endeleeni na hii mahakama yenu huku JF.
Lakini msiingilie ile mahakama halali.
Ndio ilikuwa imebaki janja yao ya mwisho ni kuijificha humo kwa kutumia kivuli cha siri za kiusalama na kijeshi.. uzuri muoshwa huoshwaa 😀😀😀Nadhani walimpanga ajifiche kwenye siri za jeshi, usalama wa taifa etc...jaji akammaliza kabisa...😁😁😁