Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Ugaidi ya Mbowe na wenzake: Kesi imeahirishwa hadi 28/01/2022, Luteni Denis Urio kuendelea na ushahidi wake

Kwani wewe chati zako ziliingi vipi kwa mumeo?
 
[emoji23][emoji23][emoji23] usiniambie mimi proove beyond reasonable doubt kwa jaji kuwa mbowe na urio walipanga ugaidi.
 
hadithi vikao vya mikocheni?
hadithi unamwambia mtu akutafutie vijana?
Hadithi una chat nae ?
Hadithi una mtumia mtu hela?
nitakuwa wapumbavu mpaka mnakufa.
Akili mnazo Ila hamtaki kuzitumia.
Wewe ndiyo huna.

Hizo charts na miamala haina tatizo mpaka sasa.
 
Huu ni msiba, hivi una elimu gani?
 
Ukabila wa nini, mbona hujengi hoja ?!.
 

Kwa huo utoto unaondelea hapo mahakamani toka kwa mashahidi wa serekali, sishangai wazungu kuendelea kutuita manyani. Na kwakuwa ww ni muumini wa siasa chafu, hili hitimisho lako ni sawa kabisa.
 

Uza ubongo huo Kingai maana unakaa nao kwa hasara. Toka lini kukaa kikao na kutuma hela ikawa kosa? Au kila aliyekaa kikao na Urio na kumtumia hela alikuwa anapanga ugaidi? Huu upuuzi umeongea hapa nimecheka kwa dhihaka kwa mtu mzima kama we kuusema.
 
Ushajidi unajikanganya Sana. Hapa Haji naye ataibuka shujaa atakapo TOA hukumu. Maana kuna vioja. Ndio maana nikaifuta NI hadithi tamu Sana hata kupita Ile ya KARUDI BABA MMOJA TOKA SAFARI YAMBALI,KAVIMBA YOTE MAPAJA NA KUTETEMEKA MWILI
 
Baada ya kuona amekuwa mwenyekiti wa kudumu Mboe aliamua kukigeuza chama kama kampuni yake binafsi na kuanza kukitumia chama kama kichaka cha kupanga mipango ya kihalifu dhidi ya Serikli/nchi.

tulimshauri mara kadhaa ang'atuke lkn aliye diriki kugombea nafasi hiyo aligeuka kuwa adui wake!! kumbe alikuwa na agenda za kimafia dhidi ya serikali.
sasa yamemkuta.
 
Sasa nimeelewa kwanini mama yangu alilia na kujilaani nilipopata ajira jeshini. Na namshukuru Mungu nilivyotoka jeshini salama na mambo yangu yanaendelea vizuri....

Cc: mchepuko wangu cocastic
 
Huwa naheshimu sana maafisa kuanzia nyota moja kuendelea kumbe ndio wajinga hivi.

Mkuu acha tu, ukiwaona wanapita huko mabarabarani utadhani wana maana, kumbe maboga ni ya kutosha. Si bure profesa Assad alisema kwenye taasisi za umma 60% ya watumishi hawajui lolote. Hii kesi ni uthibitisho tosha kwa maafisa wa umma waliotoa ushahidi mpaka sasa.
 
Hapa ni kuwa urio alishiriki kutenda uhalifu Ili kubaini uhalifu, ndo maana hii kesi ni ngumu

je baada ya kubaini vijana wake watatumikishwa kwenye ugaidi tofauti na lengo la awali kwanini hakuwapigia simu Ili waondoke wasikamatwe

Je ni lini alibaini kuwa wanaenda kutumika kwenye ugaidi baada ya kukamatwa au kabla ya kukamatwa
 
Urio jana umekula za uso sasa bado kibatala leo lazima ujikojolee au uombe ruhusa ya kwenda chooni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…