Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Ugaidi ya Mbowe na wenzake: Kesi imeahirishwa hadi 28/01/2022, Luteni Denis Urio kuendelea na ushahidi wake

Urio hata kama alienda kuripoti kwa dci, kama alikuwa kuna uhalifu unaenda kutendeka aka ufacikitate ni kosa naye aunganishwe kwenye kesi,

Yaaani unawezesha uhalifu kutendeka alafu unajipeleka polisi alafu BADO uko mtaani unadunda, huyu DCI naye bogus tu.

Baada ya kugundua mbowe ana nia ovu ya kutafuta walinzi na kwenda kuripoti kwa dci baadaye alitakiwa kumujiweka mbali na mbowe, hata kama aliombwa na DCI kuendelea kupanga uhalifu kea nia ya kubaini uhalifu, alitakiwa kukataa kwa kuwa hana taaluma ya upelelezi
 

Luteni ni Nani Jeshini? Nini Kilimfanya Urio Aende Moja kwa Moja Kwa DCI na Si Mwingine yeyote? Nini kilimfanya Afikirie kwamba Mtu wa Kwanza ni DCI
 
Huyu urio aligundua uhalifu lini?

Je ni pale alipoambiwa na mbowe kuwa anataka kuchukua nchi KWA njia yoyote

je Ni pale alipoombwa amtafutie walinzi
Je ni pale alipotumiwa miamala

Je ni pale alipoambiwa na bwire kaxi imebadilika

Au ni pale vijana wake walipokamatwa na kufunguliwa mashitaka
 
Ukiisha kuripoti polisi si unawaachia wao wahangaike, ni vipi polisi wakutwishe zigo ambalo huna taaluma nalo
 
Sasa haya ndo Mambo mnatakiwa mjiulize.
Mbowe alikuwa anamtumia hela kamanda urio za kazi gani?
sio kulalamika tu
 
kAKA SIJUI UNAONGELEA NINI,,HEBU CHUJA YAKUONGEA.MARA ZOTE MWENYE HEKIMA,HAROPOKI,UKIONA ANAROPOKA,SIO MTU MWEMA.HEBUWA NDANI YA WAJA WEMA.
 
Sasa hayo ndo maswali mnatakiwa mjiulize.
Mbowe alikuwa na ishu gani na kamanda urio MPAKA amtumie hela.
Wenzenu wanawabana kwenye hayo MAELEZO.
Na hapo ndipo kesi yenyewe ilipo.
Kwani Mbowe akiwasiliana na mtu ndo ugaidi? Kwani Mbowe akimtumia mtu pesa ndo ugaidi? Kumbe wanaposema akili ni ndogo,kumbe ni kweli.Sijaona popote ambapo hata huyo Urio anapokiri kwamba alikuwa a organize watu kwa ajili ya ugaidi.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787].ndo majibu yake hayo?
hii kesi mbowe anaenda kufungwa.
Maana Ana wafuasi vichwa tope.
Hamjiulizi chat za mbowe ziliingia vipi kwenye simu ya kamanda urio,
Hamjiulizi Kama mbowe anafahamiana na kamanda urio, hamjiulizi Kama mbowe alikuwa Ana chat na kamanda urio.
Wenzenu Wana Jenga hoja kwenye hayo maeneo.
Mtaelimika lini nyie watu
Akili yako inaendana kabisa na jina lako. Pole sana
 
Dada uko kwenye siku zako punguza mihemko
 
Yaani chadema wanatia aibu Sana.
Hata Mimi nilikuwa namtetea Sana mbowe.
Ila kwa taarifa za huyu shahidi kamanda urio zinanifanya nikuulize Mara mbili NDIVYO mtu mwenye AKILI anatakiwa afanye.
Kamanda urio anasema alikutana na mbowe,akasema akampa mipango amtafutie vijana ,akasema wakawa wanachat, na hela akamtumia.
Wanachotakiwa kujiuliza watu wa chadema he hizo chat ni za mbowe?
Je mbowe na urio wanafahamiana vipi?lakini kulalamika tu haisaidii.
Kuna sehemu mwenyekiti amejichanganya.
Mnapewa ukweli nyie ndezi wa Mbowe.
Acheni ujuaji wa kwenye Mbege.
 
Aisee hawa jamaa ni wajinga kupitiliza.
 
Mbowe ANATUHUMIWA kupanga mipango ya kufanya ugaidi.
Na huo mpango alimshirikisha kamanda urio.
Na kamanda urio ndiye aliyemchoma mbowe hii Ina maana Kama kamanda urio asingemchoma mbowe huo ugaidi ungefanyika Ila tayari polisi walikuwa na taarifa kutoka kwa kamanda urio wakazuia kwa kuwakamata vijana wake mbowe
Kwa hyo hapa mbaya wenu NI kamanda urio ndie aliyemchoma mbowe.
Sasa ukweli anaujua mbowe na kamanda urio.
Hii kesi mkiacha kuiangalia kiushabiki wa vyama uenda mkapata mwanga.
Na ndo mana kamanda urio amepeleka ushahidi wa vikao walivyokaa mikocheni,chat,calls na miamala ya fedha.
Sasa hapa inatakiwa AMKANE URIO.Kwamba hajawahi kuchat nae Wala kumpigia Simu,Wala kumtumia hela.
Wewe ndiyo huna.

Hizo charts na miamala haina tatizo mpaka sasa.
 
Kutuma hela sio kosa.
Tatizo Yule uliyemtumia ndo amegeuza kuwa kosa.
Hatujui urio na mbowe Wana biashara gani.
Ila kitendo Cha chat za mbowe,calls za mbowe na miamala ya fedha kuingia kwenye simu ya kamanda urio.inatia mashaka.ziliingia vipi?
Na urio anasema mbowe alikuwa anafanya mipango ya kutekeleza ugaidi?
Mbona NYIE wagumu kuelewa?
Mwenyekiti Kuna sehemu AMEKOSEA.
Wenzake wanambana kwenye hayo Mambo 3.
Uza ubongo huo Kingai maana unakaa nao kwa hasara. Toka lini kukaa kikao na kutuma hela ikawa kosa? Au kila aliyekaa kikao na Urio na kumtumia hela alikuwa anapanga ugaidi? Huu upuuzi umeongea hapa nimecheka kwa dhihaka kwa mtu mzima kama we kuusema.
 
we jamaa ni empty set kabisa yaani mweupe peee upstairs ingekua kishule shule basi ungekua una buruza mkia tuu
 
[emoji16][emoji16][emoji16].ili ndo tatizo lenu
Hamna AKILI za kufikiri.
Mlitakiwa mkatae kuwa hizo chat,calls na miamala ya fedha sio za mbowe hapo kidogo mngekuwa mmeanza kujenga hoja
we jamaa ni empty set kabisa yaani mweupe peee upstairs ingekua kishule shule basi ungekua una buruza mkia tuu
 
Urio jana amekalia kili cha moto....

Nafikiri ndio shahidi wa hovyo kuliko wote.... Na msingi wa hii kesi ni ushahidi wa huyu jamaa vile yeye anahusika kutokea mwanzo wa kesi.

-Acha inyeshe-
 
Vipi hao manyani wa serikali wamekuja na porojo gani leo!?
 
Kesi ya michongo na wachangiaji wa michongo wapo wengi sana kwenye huu uzi mpaka unajijuliza huyu amekalia vein moja ikapelekea ubongo kukosa oksijeni ya kutosha ndo maana uwezo wa ufikiri wake umepungua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…