Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Ugaidi ya Mbowe na wenzake: Kesi imeahirishwa hadi 28/01/2022, Luteni Denis Urio kuendelea na ushahidi wake

Na wewe umeng'ang'ana na hiyo mikocheni lete ushahidi bas sio maneno matupu. Mikocheni mikocheni baada ya kuona ya telegram yamebuma
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan mie niko hoi namshangaa kakazania mno, wakati Urio mwenyewe kashaweka wazi sio suala la ugaidi n ulinzi. Wooiiiiiiiiiiih
 
Ndioo.
Ndo maana nashauri mngesoma kwanza ushahidi aliouleta urio.
Hapo kwa urio kuchomoka NI ngumu.
NI sawa na Mimi na wewe hatujuani alafu chat na calls zangu ziwe katika simu yako.
Mpaka miamala ya fedha iwe katika simu yako.
Ndo maana nasema wafuasi wa mbowe kabla ya kulalamika kuwa kesi imetengenezwa wajiulize hivyo vitu vimefika vipi kwenye simu ya kamanda urio?
maana huyu kamanda urio ndo anasema walikaa kikao na mbowe kule mikocheni na mbowe ndiye aliyemuita.
Kesi nzito hii.
Kwani wamekutana mikocheni tu?
 
Nilitamani nikujibu kwa hoja...nikagundua umejiita (mjinga wewe)
 
We nae umekazania mno, kwanza kwa muenendo huu, inabidi URIO awe mtuhumiwa au mshitakiwa na sio shahidi tena, kashajikanyaga kweupeeeee.
 
Hivi kuna ugaidi unaweza kufanyika kwa hela ya mboga,,tutumie akili bana. Huo ni uzandiki mtupu.laki tano ifanye kweli ugaidi.Na kwanini Luteni wajeshi aende kwa DCI badala ya hata kwa mkuu wa majeshi,,Hii ni mipango.hata jaji anayesikiliza kesi hii na walio pembeni,wanaona kuna uwongomkubwa sana.
 
Kwani wewe ndio mwenye kujua kusoma peke yako? Hata mimi najua kusoma na nimesoma kua walikutana na mbowe akiwa na pop na yeye akamwambia kaka unaonewa sana. Mbona hiyo huisemi utafikiri ulikuwepo hapo mikocheni wakipanga huo ugaidi. Au kwa vile ndio ushajiita mjinga hutaki kua mwerevu [emoji6][emoji6][emoji23][emoji23]
 
Comedy show kwa court [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Una akili sana
Nashangaa na nitashangaa km huyu URIO hatakuwa mtuhumuwa au mshitakiwa, sababu ameshakiri wazi kuwa m1 wa miongoni mwao.
Na alipotaka kujinasua hapo ktk kuficha masuala ya jeshi na usalama wa taifa, ndo maan wakili wa utetezi wakalazimisha lazima ajibu ili ajichome mwenyewe.

Na kashaingia kwa line, tena ningekua mie jaji jana ile ile ningebadilisha nafas ya URIO ktk hii case, kutoka kua shahidi hadi kua mtuhumiwa au mshitakiwa.
 

Kingai ww ulienda kutoa ushahidi ukaishia kuongea utoto, huyu muhuni mwenzio uliyepanga naye ndio alikuwa roho kwenye ujinga mliomlisha rais mpaka akijitokeza kusema ushahidi upo. Sasa umeamua kushinda hapa jf kuokoa kibarua chako kwa kulazimisha yasiyokuwepo. Huyo muhuni mwenzio amepigwa maswali mpaka anasema hao akina Adamoo sio magaidi. Anatakiwa asome hizo sms zake uchwara zinazotaja neno ugaidi hata kwa bahati mbaya hana.

Still unashinda hapa jukwaani kuaminisha watu matamanio yako. Hicho kibarua kilichokuwa kinakupa kiburi sasa kinaingia mchanga. Hapo ndio utajua kutumikia siasa chafu sio issue. Hizo nyumba ndogo ulizikuwa unapelekea mikuku na smart phone za rushwa ndio inafikia tamati. Na yule muhuni mwingine aliyetumika kama wewe hadi akamtolea Nape bastola, naye kapandishwa mahakamani. Bado wewe lazima yakukute.
 
Kumekuchaaaaaaaah.
 
Sasa si ndio walikuwa wanapeleleza hicho, au uliotaka walete matukio ya 2022? Watu wengine bwana ni km panzi yaan hawaelewi hata wanachokitetea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…