cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Urio jana umekula za uso sasa bado kibatala leo lazima ujikojolee au uombe ruhusa ya kwenda chooni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Urio jana umekula za uso sasa bado kibatala leo lazima ujikojolee au uombe ruhusa ya kwenda chooni
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nakuona.Ndio ilikuwa imebaki janja yao ya mwisho ni kuijificha humo kwa kutumia kivuli cha siri za kiusalama na kijeshi.. uzuri muoshwa huoshwaa [emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan mie niko hoi namshangaa kakazania mno, wakati Urio mwenyewe kashaweka wazi sio suala la ugaidi n ulinzi. WooiiiiiiiiiiihNa wewe umeng'ang'ana na hiyo mikocheni lete ushahidi bas sio maneno matupu. Mikocheni mikocheni baada ya kuona ya telegram yamebuma
Kwani wamekutana mikocheni tu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huna picha ya Urio, nimuone jaman. Mweeeeeeh[emoji8][emoji8][emoji8]
Nilitamani nikujibu kwa hoja...nikagundua umejiita (mjinga wewe)Ndioo.
Ndo maana nashauri mngesoma kwanza ushahidi aliouleta urio.
Hapo kwa urio kuchomoka NI ngumu.
NI sawa na Mimi na wewe hatujuani alafu chat na calls zangu ziwe katika simu yako.
Mpaka miamala ya fedha iwe katika simu yako.
Ndo maana nasema wafuasi wa mbowe kabla ya kulalamika kuwa kesi imetengenezwa wajiulize hivyo vitu vimefika vipi kwenye simu ya kamanda urio?
maana huyu kamanda urio ndo anasema walikaa kikao na mbowe kule mikocheni na mbowe ndiye aliyemuita.
Kesi nzito hii.
We nae umekazania mno, kwanza kwa muenendo huu, inabidi URIO awe mtuhumiwa au mshitakiwa na sio shahidi tena, kashajikanyaga kweupeeeee.Ndioo.
Ndo maana nashauri mngesoma kwanza ushahidi aliouleta urio.
Hapo kwa urio kuchomoka NI ngumu.
NI sawa na Mimi na wewe hatujuani alafu chat na calls zangu ziwe katika simu yako.
Mpaka miamala ya fedha iwe katika simu yako.
Ndo maana nasema wafuasi wa mbowe kabla ya kulalamika kuwa kesi imetengenezwa wajiulize hivyo vitu vimefika vipi kwenye simu ya kamanda urio?
maana huyu kamanda urio ndo anasema walikaa kikao na mbowe kule mikocheni na mbowe ndiye aliyemuita.
Kesi nzito hii.
Hivi kuna ugaidi unaweza kufanyika kwa hela ya mboga,,tutumie akili bana. Huo ni uzandiki mtupu.laki tano ifanye kweli ugaidi.Na kwanini Luteni wajeshi aende kwa DCI badala ya hata kwa mkuu wa majeshi,,Hii ni mipango.hata jaji anayesikiliza kesi hii na walio pembeni,wanaona kuna uwongomkubwa sana.[emoji1787][emoji1787][emoji1787].ndo majibu yake hayo?
hii kesi mbowe anaenda kufungwa.
Maana Ana wafuasi vichwa tope.
Hamjiulizi chat za mbowe ziliingia vipi kwenye simu ya kamanda urio,
Hamjiulizi Kama mbowe anafahamiana na kamanda urio, hamjiulizi Kama mbowe alikuwa Ana chat na kamanda urio.
Wenzenu Wana Jenga hoja kwenye hayo maeneo.
Mtaelimika lini nyie watuView attachment 2098097
Huyu hapa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huna picha ya Urio, nimuone jaman. Mweeeeeeh
Una akili sanaWe nae umekazania mno, kwanza kwa muenendo huu, inabidi URIO awe mtuhumiwa au mshitakiwa na sio shahidi tena, kashajikanyaga kweupeeeee.
Kwani wewe ndio mwenye kujua kusoma peke yako? Hata mimi najua kusoma na nimesoma kua walikutana na mbowe akiwa na pop na yeye akamwambia kaka unaonewa sana. Mbona hiyo huisemi utafikiri ulikuwepo hapo mikocheni wakipanga huo ugaidi. Au kwa vile ndio ushajiita mjinga hutaki kua mwerevu [emoji6][emoji6][emoji23][emoji23]Ndioo.
Ndo maana nashauri mngesoma kwanza ushahidi aliouleta urio.
Hapo kwa urio kuchomoka NI ngumu.
NI sawa na Mimi na wewe hatujuani alafu chat na calls zangu ziwe katika simu yako.
Mpaka miamala ya fedha iwe katika simu yako.
Ndo maana nasema wafuasi wa mbowe kabla ya kulalamika kuwa kesi imetengenezwa wajiulize hivyo vitu vimefika vipi kwenye simu ya kamanda urio?
maana huyu kamanda urio ndo anasema walikaa kikao na mbowe kule mikocheni na mbowe ndiye aliyemuita.
Kesi nzito hii.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbna hafanani kabisa na anavyoelezewa humu, khaaaaaah.
Hata wewe huna a.k.a kiaziHuna akili
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] luteni wa watu mpolee na mkimya mwenyewe
Nashangaa na nitashangaa km huyu URIO hatakuwa mtuhumuwa au mshitakiwa, sababu ameshakiri wazi kuwa m1 wa miongoni mwao.Una akili sana
Hapo ndipo mnakosea
Mambo ya ulinzi kamanda urio ndo aliwadanganya wale makomando.
Lakini malengo ya mbowe hayakuwa hayo.ila urio aliwadanganya wale makomando maana angewaanbia ukweli wangekataa.
Ila kikao walichokaa kule mikocheni mbowe alimpa malengo tofauti.
Mbona haya Mambo yapo humu jwanini usijisomee badala ya kukoment tu?
Kumekuchaaaaaaaah.Kingai ww ulienda kutoa ushahidi ukaishia kuongea utoto, huyu muhuni mwenzio uliyepanga naye ndio alikuwa roho kwenye ujinga mliomlisha rais mpaka akijitokeza kusema ushahidi upo. Sasa umeamua kushinda hapa jf kuokoa kibarua chako kwa kulazimisha yasiyokuwepo. Huyo muhuni mwenzio amepigwa maswali mpaka anasema hao akina Adamoo sio magaidi. Anatakiwa asome hizo sms zake uchwara zinazotaja neno ugaidi hata kwa bahati mbaya hana.
Still unashinda hapa jukwaani kuaminisha watu matamanio yako. Hicho kibarua kilichokuwa kinakupa kiburi sasa kinaingia mchanga. Hapo ndio utajua kutumikia siasa chafu sio issue. Hizo nyumba ndogo ulizikuwa unapelekea mikuku na smart phone za rushwa ndio inafikia tamati. Na yule muhuni mwingine aliyetumika kama wewe hadi akamtolea Nape bastola, naye kapandishwa mahakamani. Bado wewe lazima yakukute.
Sasa si ndio walikuwa wanapeleleza hicho, au uliotaka walete matukio ya 2022? Watu wengine bwana ni km panzi yaan hawaelewi hata wanachokiteteaHii kesi hadi sasa Bado inaonekana ni ya kisiasa na sababu ya FAM kukamatwa ni kongamano LA Katiba mpya, kwanini?
Police wanadai walishindwa kumkamata FAM kwa kipindi chote baada ya kuwakamata kina Adamoo kwa sababu uchunguzi wao ulikua haujakamilika kumtia hatiani, lakini ukiangalia hadi sasa ushahidi wote unaotolewa dhidi ya FAM ni wa kabla ya kukamata kina Adamoo, meaning kwamba hakuna chochote kipya walichopata...
Nilitamani nikujibu kwa hoja...nikagundua umejiita (mjinga wewe)