Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Ugaidi ya Mbowe na wenzake: Kesi imeahirishwa hadi 28/01/2022, Luteni Denis Urio kuendelea na ushahidi wake

Wewe Tumia UBONGO,Mbowe kuwasiliana na Urio hakuna kosa au kama lipo liseme ni lip?Sasa Mbowe kwa nini akane kuwa amfahamu?Au huo ujinga wako unakuambia ukane kila kitu?

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Kwani Mbowe kakuambia hajuani na Urio?Au Urio hawajuani na Mbowe?Kesi siyo nzito wewe ndo mzuto kielewa

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Ulishawahi kumuona Nani anamtuma mwanajeshi amtafutie walinzi?
 
Pesa za ugai si zimetumika kusafirishia vijana wa kwenda kufanya ugaidi?
Au hauoni Kuna tatizo hapo?
Wakati huo huo charge sheet inadai hizo ndizo zilikuwa pesa za ugaidi. Mwenzetu bado huoni kuna tatizo...!?
 
Kwa kuwasiliana.Na wana haki kiwasiliana .kuna tatizo mjinga?

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
pesa za ugai si zimetumika kusafirishia vijana wa kwenda kufanya ugaidi?
Au hauoni Kuna tatizo hapo?
Hayo ni maneno ya Urio. Vilevile zinaweza kuitwa za kusafirishia Walinzi. It's his word against Mbowe's word.

Halafu mpaka sasa hajasema zile laki 2 amezifanyia nini. Inawezekana amezila mwenyewe.....!!
 
Yote yanawezakana lakini nikuulize swali dogo tu.
Umeshawahi kuona au kusikia mtu anamtumia mwanajeshi amtafutie walinzi?
Hayo ni maneno ya Urio. Vilevile zinaweza kuitwa za kusafirishia Walinzi. It's his word against Mbowe's word.

Halafu mpaka sasa hajasema zile laki 2 amezifanyia nini. Inawezekana amezila mwenyewe.....!!
 
pesa za ugai si zimetumika kusafirishia vijana wa kwenda kufanya ugaidi?
Au hauoni Kuna tatizo hapo?

..nilidhani wakati Lt.Urio anawasafirisha vijana walikuwa hawajawa magaidi.

..baada ya kufika kwa Mbowe na " kubadilishiwa kazi " ndipo tunapoweza kusema walikuwa magaidi.

..according to shahidi / Lt.Urio vijana walikuwa walinzi ila walipofika mikononi kwa Mbowe wakatumwa kumdhuru Sabaya / ugaidi.

..ukisema vijana walikuwa magaidi toka mwanzo utakuwa unamtia hatiani hata Lt.Urio.

..Kosa lake litakuwa kusafirisha / ku mobilize magaidi. Tena anaweza kupata adhabu mbaya kuliko ya Mbowe kwasababu ataonekana yeye ndio mtu wa field.
 
Kwani aliyekwenda kumchoma Mbowe ni Nani?
 
Mwambie huyo mjingamimi Lt Leo Urio keshamsafisha Mbowe na Makomandoo washtakiwa kuwa sio Magaidi
 
Kwani aliyekwenda kumchoma mbowe ni Nani?

..Ni Lt.Urio.

..lakini kumbuka maelezo ya Lt.Urio kwamba vijana walipofika kwa Mbowe " walibadilishiwa kazi. "

..kesi imeegemea kwenye madai ya " kubadilishiwa kazi. "

..Kutafuta walinzi, hata kama ni ex-jwtz, haina tatizo kisheria.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…