Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Ugaidi ya Mbowe na wenzake: Kesi imeahirishwa hadi 28/01/2022, Luteni Denis Urio kuendelea na ushahidi wake

Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Ugaidi ya Mbowe na wenzake: Kesi imeahirishwa hadi 28/01/2022, Luteni Denis Urio kuendelea na ushahidi wake

Ewaah .Sasa hapo inategemea umemtumia hela kwa malengo gani.
Haiwezekani mbowe hamjui kamanda urio alafu chat za mbowe na calls na miamala ya fedha vionekane katika simu ya kamanda urio.
Ndo maana nasema mbowe Kuna sehemu AMEKOSEA.
Sasa ili urio aonekane MUONGO inabidi aje AMKANE urio kuwa hamfahamu na Wala hawajawahi kukutana Wala kupigiana simu Wala kumkutumia hela.
Hapo kesi ndipo ilipo.
Wewe Tumia UBONGO,Mbowe kuwasiliana na Urio hakuna kosa au kama lipo liseme ni lip?Sasa Mbowe kwa nini akane kuwa amfahamu?Au huo ujinga wako unakuambia ukane kila kitu?

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Ndioo.
Ndo maana nashauri mngesoma kwanza ushahidi aliouleta urio.
Hapo kwa urio kuchomoka NI ngumu.
NI sawa na Mimi na wewe hatujuani alafu chat na calls zangu ziwe katika simu yako.
Mpaka miamala ya fedha iwe katika simu yako.
Ndo maana nasema wafuasi wa mbowe kabla ya kulalamika kuwa kesi imetengenezwa wajiulize hivyo vitu vimefika vipi kwenye simu ya kamanda urio?
maana huyu kamanda urio ndo anasema walikaa kikao na mbowe kule mikocheni na mbowe ndiye aliyemuita.
Kesi nzito hii.
Kwani Mbowe kakuambia hajuani na Urio?Au Urio hawajuani na Mbowe?Kesi siyo nzito wewe ndo mzuto kielewa

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Ulishawahi kumuona Nani anamtuma mwanajeshi amtafutie walinzi?
Kwani si kila kitu kimewekwa wazi walikuwa wanampango wa kuajiri walinzi,urio amsaidie kupata watu wenye uwezo ndo maana ya mawasiliano na kutumumiana pesa.Shida iko wapi? Tumia vizuri kichwa chako au mwenzetu una boga?Kwani mm na wewe tukiwasiliana na kutumiana pesa unitafutie house girl kuna shida?Nina mashaka Sana na kilicho ndani ya kichwa chako

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Pesa za ugai si zimetumika kusafirishia vijana wa kwenda kufanya ugaidi?
Au hauoni Kuna tatizo hapo?
Wakati huo huo charge sheet inadai hizo ndizo zilikuwa pesa za ugaidi. Mwenzetu bado huoni kuna tatizo...!?
 
[emoji16][emoji16][emoji16].kwanza nikwambie kitu kimoja Mimi hata mafunzo ya mgambo sijawahi kupitia.
Pili Mimi nakoment kulingana na ushahidi wa kamanda urio alioutoa.

Ebu tumalizane ubishi.
Naomba uniambie chats,calls na miamala ya fedha ya mbowe viliingia vipi kwenye simu ya kamanda urio?
Kwa kuwasiliana.Na wana haki kiwasiliana .kuna tatizo mjinga?

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
pesa za ugai si zimetumika kusafirishia vijana wa kwenda kufanya ugaidi?
Au hauoni Kuna tatizo hapo?
Hayo ni maneno ya Urio. Vilevile zinaweza kuitwa za kusafirishia Walinzi. It's his word against Mbowe's word.

Halafu mpaka sasa hajasema zile laki 2 amezifanyia nini. Inawezekana amezila mwenyewe.....!!
 
Yote yanawezakana lakini nikuulize swali dogo tu.
Umeshawahi kuona au kusikia mtu anamtumia mwanajeshi amtafutie walinzi?
Hayo ni maneno ya Urio. Vilevile zinaweza kuitwa za kusafirishia Walinzi. It's his word against Mbowe's word.

Halafu mpaka sasa hajasema zile laki 2 amezifanyia nini. Inawezekana amezila mwenyewe.....!!
 
pesa za ugai si zimetumika kusafirishia vijana wa kwenda kufanya ugaidi?
Au hauoni Kuna tatizo hapo?

..nilidhani wakati Lt.Urio anawasafirisha vijana walikuwa hawajawa magaidi.

..baada ya kufika kwa Mbowe na " kubadilishiwa kazi " ndipo tunapoweza kusema walikuwa magaidi.

..according to shahidi / Lt.Urio vijana walikuwa walinzi ila walipofika mikononi kwa Mbowe wakatumwa kumdhuru Sabaya / ugaidi.

..ukisema vijana walikuwa magaidi toka mwanzo utakuwa unamtia hatiani hata Lt.Urio.

..Kosa lake litakuwa kusafirisha / ku mobilize magaidi. Tena anaweza kupata adhabu mbaya kuliko ya Mbowe kwasababu ataonekana yeye ndio mtu wa field.
 
Kwani aliyekwenda kumchoma Mbowe ni Nani?

Mwambie huyo mjingamimi Lt Leo Urio keshamsafisha Mbowe na Makomandoo washtakiwa kuwa sio Magaidi Screenshot_20220129-192701.png
 
Kwani aliyekwenda kumchoma mbowe ni Nani?

..Ni Lt.Urio.

..lakini kumbuka maelezo ya Lt.Urio kwamba vijana walipofika kwa Mbowe " walibadilishiwa kazi. "

..kesi imeegemea kwenye madai ya " kubadilishiwa kazi. "

..Kutafuta walinzi, hata kama ni ex-jwtz, haina tatizo kisheria.
 
Back
Top Bottom