betty marandu
JF-Expert Member
- Apr 4, 2011
- 1,163
- 722
Wewe Tumia UBONGO,Mbowe kuwasiliana na Urio hakuna kosa au kama lipo liseme ni lip?Sasa Mbowe kwa nini akane kuwa amfahamu?Au huo ujinga wako unakuambia ukane kila kitu?Ewaah .Sasa hapo inategemea umemtumia hela kwa malengo gani.
Haiwezekani mbowe hamjui kamanda urio alafu chat za mbowe na calls na miamala ya fedha vionekane katika simu ya kamanda urio.
Ndo maana nasema mbowe Kuna sehemu AMEKOSEA.
Sasa ili urio aonekane MUONGO inabidi aje AMKANE urio kuwa hamfahamu na Wala hawajawahi kukutana Wala kupigiana simu Wala kumkutumia hela.
Hapo kesi ndipo ilipo.
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
