Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Ugaidi ya Mbowe na wenzake: Kesi imeahirishwa hadi 28/01/2022, Luteni Denis Urio kuendelea na ushahidi wake

Because, obviously, walisiginwa na kuguyuguzwa na kitu kizito kichwani jana; so, leo wanatarajia kuona kama watafutwa machozi. Nawatahadharisha isije kuwa kama jana kwenye mechi ya Simba SC vs. Kagera Sugar!
Jamaa unapenda kujipa matumaini sana
 
Wanaongea Kiswahili au Kiingereza?
Una taka watu wasiende kutoa ushahidi pale wakitumia hiyo lugha ya malkia?

Karibu mawasiliano ushuhudie trip za kwenda toilet kua nying kulinganisha na majibu watakayo kua wana yajibu hawa mashahidi wa mchongo
 
Jamaa unapenda kujipa matumaini sana
Hapana Pythagoras na pythagoras jr . Mimi ni miongoni mwa wale wanaotafuta ukweli wa kweli wa jambo lenyewe. Because, FM na members wote wa CHADEMA wamekiri hakuna kosa la ugaidi.

Maswali na hoja na viulizo ni kawaida sana kama hatujui kila kitu. Nakuhakikishia, iwapo itathibitishwa vinginevyo mahakamani, mimi n'takuwa wa kwanza kukuungeni mkono sawa na hukumu ya mahakama!
 
Na sisi tunasema wacha ibaki hivyo kama nyaraka ya utambuzi.
 

Hizo kesi zilizotangazwa kufutwa, nao ulikuwa mchongo tu!

Zilianza upya pale pale baada ya kutangazwa kufutwa kwenye magazeti

Nenda Kisut pale usipozikuta na zinapigwa tarehe kila siku, mashahidi hawatokei!
 
Urio anatupotezea muda. Mbona mawasiliano ya telegram ya kawaida Sana. Hakuna sehemu inayoonesha njama au utekelezaji wa ugaidi. Zaidi ya mgonjwa anaendeleaje, nipo kwenye kamati kuu, nimetuma laki tano na security Ni muhimu wasije wakatelekezwa. Mimi nilitegemea message za and a vijana watano kukata miti, au nadhani vilipuzi vipo tayari au mashine za kukata miti zimewasili?.

Kama mawasiliano yao yalikuwa hivyo sidhani na hakuna mawasiliano mengine sidhani Kama kutakuwa na jipya.
 
Kwenye hizo sms alizozisoma Bro URIO sijaona Ugaidi hapo hata mmoja - labda nyie wenzangu,.

Hata Mimi. Sijaona mipango ya ugaidi kwenye hayo mawasiliano ya telegram.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…