Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Ugaidi ya Mbowe na wenzake: Kesi imeahirishwa hadi 28/01/2022, Luteni Denis Urio kuendelea na ushahidi wake

Wale waliokuwa wanadanganyana kwenye kitchen Party ya akina maria na fatuma kuwa urio ,urio hayupo sasa huyo hapo anafunguka na maushahidi mazito ta telegram, huyu shahidi ndio anawamaliza kabisa
Kam anawamaliza mbona kagoma kujbu maswali anasingizia kiapo chajeshi na hapo bado maswali mengi maana kayaganyaga
 
Sitashangaa kama Jaji akiailisha kutoa uamuazi mpaka kesho ili wapate muda wa kumcoach Urio ....!!
Yale maswali angeweza kusema tu hajui, maana yeye concern yake ni comando 30, walio chini yake
 
Katiba mpya ndio "solution to all this mess".
 
Homeboy aliekuja kutoa ushahidi pengine sio Homeboy Original.

Mawakili wa utetezi wana haki ya kumdodosa ili kujua weledi wake kikazi ndio watagundua kuwa huyu ni Urio wa ukweli sio pandikizi la mtu mwingine kwa lengo kutoa ushahidi wanaoutaka wao.
Ngoja tuone,, maswali hayo ni irrelevant and immaterial
 
Jaman shahid amesema mbowe ni mweusi mlioko hapo karb na mbowe tuambieni saiv amekuwa mweusi
 
Wewe nawe ni kilaza kwel. Kwan hizo msg na text za telegram leo ndio unazisikia. Ushaidi wa mwanzo alieleza kila kitu sema mwandishi aliruka ilo eneo, na uzi ukaja huku ukilaumu kwanini aliruka. Pitia mwananchi online utaona
 
Sawa mkuu.
 
Hakika huyu ni muungwana aliteleza tu..

johnthebaptist
Hebu ongea ukweli wa Kimungu na sio kichama.
Hii kesi unaionaje?
Weka kando itikadi
Hahahaaaa...... sasa kama kiongozi mwenyewe aliyetaka kugaidiwa ni Ole sabaya aliyefungwa miaka 30 jela kwa ujambazi na unyang'anyi wa kutumia silaha, kuna kesi kweli hapo?

Mungu wa mbinguni atuhurumie kwa kweli!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…