Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Ugaidi ya Mbowe na wenzake: Kesi imeahirishwa hadi 28/01/2022, Luteni Denis Urio kuendelea na ushahidi wake

Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Ugaidi ya Mbowe na wenzake: Kesi imeahirishwa hadi 28/01/2022, Luteni Denis Urio kuendelea na ushahidi wake

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤦🏾‍♂️🤦🏾‍♂️🤦🏾‍♂️

Malya: Je ni Vibaya Mtu Kutafuta Ulinzi Kwa ajili yake

Shahidi: Sijui Kama Ni Kosa au Siyo Kosa

Malya: Lakini wewe Uliwatafuta Vijana Ukawaambia Waende kwa Mbowe Kufanya nini

Shahidi: Kuambatana kazi ya Ulinzi

Malya: Kwa hiyo Mtu Kuwa na Walinzi ni Kosa siyo Kosa

Shahidi: Sijui Kama Siyo Kosa

Malya: Kwa hiyo wewe wakati unawatafuta hawa akina Khalfani Bwire unawapa pesa au unawapeleka kwa Mbowe kuwa walinzi, hujui kuwa kosa siyo kosa?

Shahidi: SIYO KOSA

Mahakama: Kicheko

Malya: Sasa Kutafuta hawa Vijana Wanne Kwa ajili ya Ulinzi Kuna Kosa gani

Shahidi: Shida siyo Vijana... Inategemea Wanaenda Kufanya Kazi gani

Malya: Kwani Wewe Uliwatafuta Vijana Wanne Kwa ajili ya Nini

Shahidi: Hakuna Sehemu ambayo amesema Walinzi

Malya: Soma hapa Shahidi anasoma Kielelezo

Shahidi: Kaka Wale Watu watatu au wanne Ni Muhimu sana

Malya: hao Vijana sio Ndiyo hawa

Shahidi: Ndiyo

Malya: Wakati Unawatafuta Ulisema Kwamba Unawatafuta kwa kazi gani

Shahidi: Ya Ulinzi

Mahakama: Kicheko
 
Siku pekee ambayo shahidi Urio anakumbuka kuanzia mwaka, mwezi, tarehe na hata saa ya tukio 🤦🏾‍♂️

Nashon: Unasema Kwamba Khalfani Bwire Alikwambia Kazi Imebadilika, Je ilikuwa ni Lini

Shahidi: Asubuhi ya Tarehe 4 August 2020, Saa 2 Asubuhi
Bila shaka mwandishi wa script alitumia uzoefu wa Bongo movie.
Hii kesi inatudharaulisha sana...!
 
Siwezi kuwatelekeza nitaambatana nao Kila mahali....!
Yaani wakikata miti Mbowe yupo, wakilipua kituo cha mafuta Mbowe yupo, wakisimamisha magari Mbowe yupo?
Wamfunge tu kama ni hivyo.
Hahahahahahahahahahqhahahah.......
 
Imagine eti mtu wa cheo cha luteni hajui maana ya neno 'sober' [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huyu Luteni ni smart sana. Maswali mengine anatoa majibu kumdistort Wakili. Tazama hiyo flow utakua alikua wakati fulani anakua superior kwa Wakili.

Najifunza siyo Kila anayefell form four ni mjinga. Na siyo Kila Wakili ni smart kwa mbele ya wikili
IMG_7keprc.jpg

Sent from my Lenovo L38111 using JamiiForums mobile app
 
Sawa kama ni hivyo jibu swali hili;

1.Kwa nini kama hao makomandoo hawakuwa magaidi waliwafungulia mashtaka ya ugaidi? Na Hadi sasa wako ndani?

2. Kwa nini DCI alikubali kufungua mashtaka yasiyo na vielelezo vya ushahidi usio na shaka?

Kwa Urio ndiye aliye chonga michango hii Jeshi lichukue hatua za kinidhamu dhidi yake kwa kulivua nguo.
Wakati mwingine washtakiwa hua wanafunguliwa shtaka fulani kwa pamoja mf. hilo la "ugaidi" kimkakati tu ila mlengwa hapo ni mmoja tu kati yao. Na upande wa mashtaka wanakua wanajua kabisa kwenye hili kosa atakayepatika na hatia ni mmoja tu kati ya washtakiwa wote. Wanafanya hivi ili ku accomplish lile jukumu lao zito la ku-prove kesi yao "beyond all reasonable doubt". Jukumu hili ni zito sana kwao na ili kulitimiza inabidi kuw creative sana... Kujua haya mambo nakushauri usiishie tu kufuatilia hii kesi ya FAM pekee. Itakapoisha uwe interested na kesi zingine za jinai itakusaidia kujua ujanja/akili ya prosecutors kwenye kesi za jinai
 
Huyu Luteni ni smart sana. Maswali mengine anatoa majibu kumdistort Wakili. Tazama hiyo flow utakua alikua wakati fulani anakua superior kwa Wakili.

Najifunza siyo Kila anayefell form four ni mjinga. Na siyo Kila Wakili ni smart kwa mbele ya wikiliView attachment 2097525

Sent from my Lenovo L38111 using JamiiForums mobile app
Hahaha mkuu vaa miwani usome vizuri utagundua urio ametoa uharo mtupu.

Hicho kipande ulichoweka hapo kina uwezo wowote wa kuonyesha umakini wa urio???

Aisee tutafute pesa ili tuwasomeshe watoto wetu kwenye shule za maana kujiepusha na aibu kama hizi.
 
Nashon: Unafahamu ya kwamba Baada ya Kesi hii Unaweza Kutoka Kama shujaa au Mtu asiye na Thamani Duniani
Shahidi: Ndiyo nafahamu
Nashon: Unafahamu Msemo unaosema Kuwa ni Heri Kufa Jasiri Kuliko Kuishi Katika Utumwa, Unafahamu Kwamba Kesi hii Inafuatiliwa Nchini na Duniani Kote
Shahidi: Ndiyo nafahamu
Nashon: Unafahamu Kwamba Ukieleza Ukweli yaliyo Nyuma ya Pazia, Hata Jeshi Litakulinda
Shahidi: Ndiyo
 
Kwa ufupi police wameonyesha kuwakomoa wanajeshi kwa ajili ya ushamba wao.
Yeye.alivyomjinga kaenda kupeleka umbea police,police kwavile sio washamba wameanza na yeye wakaanza kumchunguza kupitia simu zake.
Police hawajaishia hapo wakawachukua wanaowaita makomandoo wakawabinya..

Mimi najua jeshini kuna kikosi cha usala na kinafanya kazi za ukachelo.kuliko vitengo vyote vya usalama wa nchi.(TMI) kwanini hajawaambia wakamshugulikia wenyewe hata kwa kumuonya tu.
Kua kwanini anatafuta vijana ambao hata jeshi limewashindwa labda.
Kina kingai wamelizalilisha jeshi kupitia huyo waluwalu urio.

Ni ujinga mtupu.
 
Wakati mwingine washtakiwa hua wanafunguliwa shtaka fulani kwa pamoja mf. hilo la "ugaidi" kimkakati tu ila mlengwa hapo ni mmoja tu kati yao. Na upande wa mashtaka wanakua wanajua kabisa kwenye hili kosa atakayepatika na hatia ni mmoja tu kati ya washtakiwa wote. Wanafanya hivi ili ku accomplish lile jukumu lao zito la ku-prove kesi yao "beyond all reasonable doubt". Jukumu hili ni zito sana kwao na ili kulitimiza inabidi kuw creative sana... Kujua haya mambo nakushauri usiishie tu kufuatilia hii kesi ya FAM pekee. Itakapoisha uwe interested na kesi zingine za jinai itakusaidia kujua ujanja/akili ya prosecutors kwenye kesi za jinai
Je, unajua ingridients za makosa ya ugaidi???
Je, mtu anaweza kutenda makosa ya kula njama za ugaidi bila kuwa na washirika wengine???
Je, unajua iliishia wapi ile kesi ya ugaidi wa mchongo waliompa Rwakatare ??
 
Huyu shahidi jana alisema Mbowe alikua anatumia namba tofauti tofauti, Leo kwenye chatting za telegram yeye ndo alikua anamtahadharisha Mbowe, afu kama alikua kwenye mission na kina Kingai kwanini amtahadharishe target man? Au ndo sababu ya yeye pia kuteswa kama kweli aliteswa.... Anyway kesi hakuna hapa tufanye shughuli zingine za maendeleo
Ngoja hukumu itakayotoka tuione,ndio tuendelee na majukumu yetu ya ujenzi wa taifa
 
Nilitegemea.komando.urio angekua na kila kitu kichwani kwa kukumbuka.

Urio.anaulizwa.kua tukio hili muhimu la kwenda kwa DCI heti.hakumbuki.inaonakana hata intake yake huyu.jamaa hakumbuki kweli mwanzoni tulisema police wahovyo kwenye kujieleza lakini huyu jamaa ndio bule kabisa.
 
Shahidi anakataa kujibu maswali anayoulizwa halafu mawakili wake wanamtetea. Kumbe ukiwa kizimbani unaweza kataa kujibu maswali bila shida yoyote
Majibu yenyewe anayo sasa.kwahiyo lazima kukingiana kifua kuwe kwingi ili kupunguza aibu.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Kumlazimisha
Kwa ufupi police wameonyesha kuwakomoa wanajeshi kwa ajili ya ushamba wao.
Yeye.alivyomjinga kaenda kupeleka umbea police,police kwavile sio washamba wameanza na yeye wakaanza kumchunguza kupitia simu zake.
Police hawajaishia hapo wakawachukua wanaowaita makomandoo wakawabinya..

Mimi najua jeshini kuna kikosi cha usala na kinafanya kazi za ukachelo.kuliko vitengo vyote vya usalama wa nchi.(TMI) kwanini hajawaambia wakamshugulikia wenyewe hata kwa kumuonya tu.
Kua kwanini anatafuta vijana ambao hata jeshi limewashindwa labda.
Kina kingai wamelizalilisha jeshi kupitia huyo waluwalu urio.

Ni ujinga mtupu.
Lakini uhalisia wa mambo ni tofauti mkuu! Huyu aliteswa na akakaririshwa anachosema! Anasema kwa sababu ametishiwa maisha!
 
Back
Top Bottom