Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Ugaidi ya Mbowe na wenzake: Kesi imeahirishwa hadi 28/01/2022, Luteni Denis Urio kuendelea na ushahidi wake

Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Ugaidi ya Mbowe na wenzake: Kesi imeahirishwa hadi 28/01/2022, Luteni Denis Urio kuendelea na ushahidi wake

Luteni ni Nani Jeshini? Nini Kilimfanya Urio Aende Moja kwa Moja Kwa DCI na Si Mwingine yeyote? Nini kilimfanya Afikirie kwamba Mtu wa Kwanza ni DCI
Kwa sheria za kijeshi nijuavyo mimi,ukiwa mazingira ya kambini hutakiwi kutoka na ikitokea kutoka kuna kitabu unaandika mahala unapoendana ukirudi ni ivyoivyo,kosa lake Urio alitakiwa palepale mwanzo alivyopigiwa simu na mbowe angeijulisha mamlaka yake kama mkuu wa kikosa ama kiongozi mkuu wa zamu wa siku iyo,usiri wake hata uko kumtafutia mbowe walinzi ni kosa kubwa sana kwake.

Nakumbuka kuna siku nipo mwenge stand ikapita pikipiki kwa kasi ikamgonga mjeda mkono kwa mbali damu zikawa zinamtoka,mjeda yule ikabidi amuite trafiki,akampa maelezo aende kituoni kisha apewe p3 ya kutibiwa ila alitoa sababu kutibiwa kwake yule mjeda lazima aende kambini kwake kutibiwa,akasema sheria zao mjeda akitaka kutibiwa kuwe na sababu iliyomfanya kutibiwa pale,so akatoka nae pale bodaboda mpaka kituoni,kisha akatoka nae tena hapo kituoni hadi kambini kwae kutibiwa...mpaka hapo ndio nikajua sheria za jeshi ni ngumu sana
 
Gaidi hakusema mbowe kafanya ugaidi.bali alikuwa anapanga mipango ya kutekeleza ugaidi.
Shahid anasema mbowe alimtuma awatafutie vijana .
Shahidi hajasema hizo hela alizotumiwa ni kwa ajili ya kufanyia ugaidi.bali NI usafiri wa vijana wa mbowe ambao walitakiwa kwenda kufanya ugaidi.
Mbona kamanda urio ameeleza vizuri tu.kwenye ushahidi wake
Hujaaoma vizuri. Endelea kufuatilia
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] alipata div 3 ya 25, 4 inaanzia 28, mwaka 1999, yaan huyu URIO anatoa comedy hadi bas, lol
Eti hizo point 26 na 27 ni division gani
 
Wewe ndiyo taahira. Kwa hiyo unataka kusema tungeona mwili wa marehemu Sabaya ndiyo ungeamini? Gaidi nu kumzuia asiue, akishaua tayari upelelezi wako hauna faida tenalabda kwa revenge. Na magaidi mara nyinginao hufa kwa kujitoa mhanga. Lt Urio succeeded 100%.
Sabaya kafungwa kwa ujambazi sasa
 
Kama MAELEZO yote niliyoyatoa haujaelewa Hilo sio kosa langu.
nimeuliza swali chats, calls na miamala ya fedha ya mbowe viliingia vipi kwenye simu ya kamanda urio.
Je mbowe anamjua kamanda urio na walisha wahi kukaa vikao?
mbowe anashutumiwa kupanga mipango ya kutekeleza ugaidi.
HAKUFANYA UGAIDI
Ila Kuna mipango ambayo huyo aliyepanga nae aliitilia shaka.ndo maana akaenda kumchoma
Sasa kabla mbowe hajatekeleza hayo matukio tayari polisi walikuwa wameshajua na kwenda kuwakamata watuhumiwa waliotumwa.
Mtaelimika lini nyie watu?
Na katika akili ya kawaida hauwezi kufanya mipango ya ulinzi kwa kumtumia mwanajeshi wakati wewe ni kiongozi wa upinzani na unajua KABISA UNAWINDWA.
vipi Kama urio angepeleka mamluki wa polisi si wangemdhuru mbowe?
Unaona zina ushahidi wa kuthibitisha ugaidi au uhalifu wowote? Una uwezo mdogo sana kichwani.
 
Ulitaka awaambie kuwa wanaenda kufanya ugaidi? Au Mbowe kweli atakubali kwenye mahojiano kuwa aliwaita kwa ugaidi? Of course atasema ni kwa ulinzi, na CHADEMA wenyewe hadi leo wanasema ni walinzi. Lakini deepdown yeye Urio na Mbowe kila mmoja alijua kuwa ni lwa kazi za kigaidi. There is no contradiction there.

Wewe ndiyo taahira. Kwa hiyo unataka kusema tungeona mwili wa marehemu Sabaya ndiyo ungeamini? Gaidi nu kumzuia asiue, akishaua tayari upelelezi wako hauna faida tenalabda kwa revenge. Na magaidi mara nyinginao hufa kwa kujitoa mhanga. Lt Urio succeeded 100%.
Ushahidi muhimu
 
Nikwambie kitu.
Wafuasi wa mbowe hamna AKILI.
Hamjipi kazi ya kujiuliza.
Kitu ambacho mnatakiwa mjadili.
Chat za mbowe ziliingia vipi kwenye simu ya kamanda urio.?
Je ninkweli walifanya vikao mikocheni.
Je NI kweli mbowe alikuwa anamtumia hela kamanda urio.
Hapa ndipo tuhuma za kupanga mipango ya kigaidi .
Ndipo zilipo.
Wenzenu wanawabana kwenye chat,na vikao na hyo miamala ya fedha.
MTAAMKA LINI?
Kwani si kila kitu kimewekwa wazi walikuwa wanampango wa kuajiri walinzi,urio amsaidie kupata watu wenye uwezo ndo maana ya mawasiliano na kutumumiana pesa.Shida iko wapi? Tumia vizuri kichwa chako au mwenzetu una boga?Kwani mm na wewe tukiwasiliana na kutumiana pesa unitafutie house girl kuna shida?Nina mashaka Sana na kilicho ndani ya kichwa chako

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Chadema mnajipa moyo lakini wengi ni mazuzu wa sheria.

Point mnazochukua nyinyi sio point anazochukuwa Jaji kwenye maelezo anayouatoa shahidi.

Kwenye mahakama ya Maria Sarungi Mbowe yuko huru,ila kwenye mahakama ya serikali Mbowe anaweza kuiepuka kesi au hatia ya ugaidi lakini sio kukwepa tuhuma zote.

Ile tu kuajiri au kitendo cha kula njama na askari aliyefukuzwa.

Ukataka kumpa majukumu yako mapya bila mamlaka husika kujua,inathibitisha nia ovu.

Kama Mbowe alitaka walinzi binafsi basi kuna taratibu zake halali za kufuatwa na sio hii ya kuwakusanya kina Adamoo.

Kwenye kesi mtuhumuwa hutiwa hatiani na kipengele kidogo sana.

Nyinyi mawakili wa kichaga endeleeni na hii mahakama yenu huku JF.

Lakini msiingilie ile mahakama halali.
Ati kwa hiyo wewe unajua point za jaji?

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Gaidi hakusema mbowe kafanya ugaidi.bali alikuwa anapanga mipango ya kutekeleza ugaidi.
Shahid anasema mbowe alimtuma awatafutie vijana .
Shahidi hajasema hizo hela alizotumiwa ni kwa ajili ya kufanyia ugaidi.bali NI usafiri wa vijana wa mbowe ambao walitakiwa kwenda kufanya ugaidi.
Mbona kamanda urio ameeleza vizuri tu.kwenye ushahidi wake
Wakati huo huo charge sheet inadai hizo ndizo zilikuwa pesa za ugaidi. Mwenzetu bado huoni kuna tatizo...!?
 
Ulitaka awaambie kuwa wanaenda kufanya ugaidi? Au Mbowe kweli atakubali kwenye mahojiano kuwa aliwaita kwa ugaidi? Of course atasema ni kwa ulinzi, na CHADEMA wenyewe hadi leo wanasema ni walinzi. Lakini deepdown yeye Urio na Mbowe kila mmoja alijua kuwa ni lwa kazi za kigaidi. There is no contradiction there.
Halafu unamalizia kiinglish damn shit! Huna hata chembe ya analysis we kilaza. Wengi mlimpa yule jahili bongo zenu eti eh! Ona unavyokunya ovyo!
 
Kwahiyo sasa hivi mimi nikimtumia mtu hela, kuchat naye na kufanya naye kikao nikienda kufungua kesi ya ugaidi anafungwa. Sio bure viongozi wa CCM wanawatumia kwa Mambo ya kihanithi iwapo akili zenu ndio hizi.
Ni kweli mkuu ujinga wao ndo mtaji wa kutumika na hao viongozi wa😵na Sasa urio anaumbuka wakati wanaotumaga wanaendelea na maisha yao

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom