Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Ugaidi ya Mbowe na wenzake: Kesi imeahirishwa hadi 28/01/2022, Luteni Denis Urio kuendelea na ushahidi wake

..Ni Lt.Urio.

..lakini kumbuka maelezo ya Lt.Urio kwamba vijana walipofika kwa Mbowe " walibadilishiwa kazi. "

..kesi imeegemea kwenye madai ya " kubadilishiwa kazi. "

..Kutafuta walinzi, hata kama ni ex-jwtz, haina tatizo kisheria.
Huo ushahidi wa kubadilishiwa kazi uko wapi.... Huo wa Urio!?
 
..tusubiri tuone jinsi upande wa mashtaka utakavyothibitisha madai yao.

..Lt.Urio ni shahidi wa 12 na jamhuri wamesema wanao mashahidi 24.
 
Kaka hauwezi kutafuta walinzi wa kukulinda maisha yako kiongozi wa upinzani kwa kumtumia mwanajeshi aliyepo kazini na unajua KABISA hao watu hawapo upande wako..
Kama kamanda urio alivyosema wanajeshi Hawana chama lakini wanawajibika kwa rais aliyepo madarakani.
Hivi kweli KABISA mbowe anamtafuta mwanajeshi amtafutie walinzi wa kulinda maisha yake.
Vipi Kama kamanda urio amemuwekea mamluki wa polisi wakamdhuru?
..Ni Lt.Urio.

..lakini kumbuka maelezo ya Lt.Urio kwamba vijana walipofika kwa Mbowe " walibadilishiwa kazi. "

..kesi imeegemea kwenye madai ya " kubadilishiwa kazi. "

..Kutafuta walinzi, hata kama ni ex-jwtz, haina tatizo kisheria.
 
Kaka hauwezi kutafuta walinzi wa kukulinda maisha yako kiongozi wa upinzani kwa kumtumia mwanajeshi aliyepo kazini na unajua KABISA hao watu hawapo upande wako..
Kama kamanda urio alivyosema wanajeshi Hawana chama lakini wanawajibika kwa rais aliyepo madarakani.
Hivi kweli KABISA mbowe anamtafuta mwanajeshi amtafutie walinzi wa kulinda maisha yake.
Vipi Kama kamanda urio amemuwekea mamluki wa polisi wakamdhuru?

..binafsi sioni tatizo.

..wanajeshi kuwa loyal kwa SERIKALI haimaanishi kwamba ni maadui wa viongozi au wafuasi wa vyama vya upinzani.

..jukumu la jeshi ni kulinda RAIA WOTE na ndio maana tunaambiwa wanajeshi hawana chama. Maana yake wao sio sawa na green guard au chipukizi.

..Mbowe kumshirikisha mwanajeshi kumtafutia ulinzi sio kosa, na sio jambo la ajabu.

..Na kwasababu ya heshima ya jeshi letu, kuwa ni jeshi la WANANCHI, basi askari wake ni watu sahihi wa kukimbiliwa na kutegemewa kutoa msaada na ushirikiano kwa Watanzania wote bila kujali itikadi za vyama.
 
Ulishawahi kumsikia kiongozi gani wa upinzani akamtumia mwanajeshi amtafutie walinzi wa kulinda maisha yake?
Unaona mbowe alivyosalitiwa?
Utasemaje HAKUNA tatizo wakati mbowe tayari aneshachomwa na kesi ya ugaidi amepewa?

..Ni jeshi la wananchi wa Tanzania.

..mimi bado sijasikia kama limeacha kuwa jeshi kwa ajili ya Watanzania wote.
 
Mpaka sasa hakuna ushahidi wowote uliotolewa wenye kuonyesha ugaidi, dhana ya ugaidi imebakia kuwa ni kitu cha kufirika tu na kulazimishwa kiwepo katika hii kesi.

Mashahidi wote walioletwa mpaka sasa wameshikiria kusema kuwa; hawana ushahidi wowote wanaoweza kuuthibitisha mbele ya mahakama kuwa Mbowe alifanya ugaidi au alipanga kufanya ugaidi lakini wanahisi tu Mbowe alikuwa na mipango ya kufanya ugaidi.
 
Wewe ndiyo taahira. Kwa hiyo unataka kusema tungeona mwili wa marehemu Sabaya ndiyo ungeamini? Gaidi nu kumzuia asiue, akishaua tayari upelelezi wako hauna faida tenalabda kwa revenge. Na magaidi mara nyinginao hufa kwa kujitoa mhanga. Lt Urio succeeded 100%.
Jambazi Sabaya sio tu aliiba ndio akaonekana. Bali mipango yake yoote ilikuwa recorded kwenye Flashi Disc.

Hakuna namna angechomoka Kama kweli mahakama zipo.
 
Ulishawahi kumsikia kiongozi gani wa upinzani akamtumia mwanajeshi amtafutie walinzi wa kulinda maisha yake?
Unaona mbowe alivyosalitiwa?
Utasemaje HAKUNA tatizo wakati mbowe tayari aneshachomwa na kesi ya ugaidi amepewa?
We jamaa basi hata kama wewe ni mwanaccm ndio na akili umefuta kabisa kwenye fuvu lako?

Wanajeshi ni ndugu zetu, kaka zetu, wajomba na wengine ni mapacha zetu Tunafanya nao mambo mengi ya kijamii na kifamilia zaidi ya hilo la ulinzi na wala halijawahi kuwa kosa mahali popote.

Ndio maana Urio alipotaka kugoma kwa kisingizio cha kutoa siri z jeshi mahakama imemlazimisha ajibu maswali yote bila kuathiri Ajira yake. Na maisha yako hivyo.
 
Mpaka sasa hakuna ushahidi wowote uliotolewa wenye kuonyesha ugaidi, dhana ya ugaidi imebakia kuwa ni kitu cha kufirika tu na kulazimishwa kiwepo katika hii kesi.

Mashahidi wote walioletwa mpaka sasa wameshikiria kusema kuwa; hawana ushahidi wowote wanaoweza kuuthibitisha mbele ya mahakama kuwa Mbowe alifanya ugaidi au alipanga kufanya ugaidi lakini wanahisi tu Mbowe alikuwa na mipango ya kufanya ugaidi.
Hearsays ya akina Urio.

Wakati wa Mahita na Kingai walisema aliyewatonya kila kitu ni Afande Lt Urio.

Tulijua Urio atakuj na Nondo za kufa mtu🤣🤣
 
Kuhusu kukata miti barabarani kwenye mikoa mbalimbali:
Je,
1.Hao wanne wangekata miti mingapi?
2.Wangetumia muda gani kukata miti ya kutosha kuleta taharuki
3.Wangegawana mikoa?
4.Wangekata miti kwa muda gani kabla ya kukamatwa.

What is the average IQ of Tanzanians?
very low
 
Mbowe Ana ndugu wanajeshi kwanini hakuwatumia hao ndugu zake kumtafutia walinzi?
We jamaa basi hata kama wewe ni mwanaccm ndio na akili umefuta kabisa kwenye fuvu lako?

Wanajeshi ni ndugu zetu, kaka zetu, wajomba na wengine ni mapacha zetu Tunafanya nao mambo mengi ya kijamii na kifamilia zaidi ya hilo la ulinzi na wala halijawahi kuwa kosa mahali popote.

Ndio maana Urio alipotaka kugoma kwa kisingizio cha kutoa siri z jeshi mahakama imemlazimisha ajibu maswali yote bila kuathiri Ajira yake. Na maisha yako hivyo.
 
Matumizi mabaya ya Kodi zetu hapa chenga tupu kila leo kutuona poyoyo tumechoka
 
Hapo ndipo mnakosea
Mambo ya ulinzi kamanda urio ndo aliwadanganya wale makomando.
Lakini malengo ya mbowe hayakuwa hayo.ila urio aliwadanganya wale makomando maana angewaanbia ukweli wangekataa.
Ila kikao walichokaa kule mikocheni mbowe alimpa malengo tofauti.
Mbona haya Mambo yapo humu jwanini usijisomee badala ya kukoment tu?
Okay, kama wale vijana walidanganywa wanafanya nini ndani hadi muda huu??
Unafahamu mashaidi kumi na moja waliotangulia walisema wale vijana ni magaidi?
Kwa hiyo hadi muda huu mashaidi 11 wote ni waongo maana wameshuhudia uongo uliotungwa na Urio
Sasa tuseme Mbowe alikua anapanga ugaidi na nani kama makomandoo ni watu wema kabisa kwa ushahidi wa Urio
 
Mawakili wa utetezi muwe makini sana

Tundu Lissu alivyowashinda kwa hoja wakampiga risasi 38 un professional kabisa
20220130_101433.jpg
 
Back
Top Bottom