The Khoisan
JF-Expert Member
- Jun 5, 2007
- 16,434
- 14,547
Kama majibu rahisi huyaelewi majibu magu utayaelewa kweli.....!!?Kwa hyo Hilo ndo jibu?
mbowe anaongoza nyumbu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama majibu rahisi huyaelewi majibu magu utayaelewa kweli.....!!?Kwa hyo Hilo ndo jibu?
mbowe anaongoza nyumbu
Huo ushahidi wa kubadilishiwa kazi uko wapi.... Huo wa Urio!?..Ni Lt.Urio.
..lakini kumbuka maelezo ya Lt.Urio kwamba vijana walipofika kwa Mbowe " walibadilishiwa kazi. "
..kesi imeegemea kwenye madai ya " kubadilishiwa kazi. "
..Kutafuta walinzi, hata kama ni ex-jwtz, haina tatizo kisheria.
Ushahidi kama upi vile, ngeu ya Sabaya?Huo ushahidi wa kubadilishiwa kazi uko wapi.... Huo wa Urio!?
Huo ushahidi wa kubadilishiwa kazi uko wapi.... Huo wa Urio!?
..Ni Lt.Urio.
..lakini kumbuka maelezo ya Lt.Urio kwamba vijana walipofika kwa Mbowe " walibadilishiwa kazi. "
..kesi imeegemea kwenye madai ya " kubadilishiwa kazi. "
..Kutafuta walinzi, hata kama ni ex-jwtz, haina tatizo kisheria.
Kaka hauwezi kutafuta walinzi wa kukulinda maisha yako kiongozi wa upinzani kwa kumtumia mwanajeshi aliyepo kazini na unajua KABISA hao watu hawapo upande wako..
Kama kamanda urio alivyosema wanajeshi Hawana chama lakini wanawajibika kwa rais aliyepo madarakani.
Hivi kweli KABISA mbowe anamtafuta mwanajeshi amtafutie walinzi wa kulinda maisha yake.
Vipi Kama kamanda urio amemuwekea mamluki wa polisi wakamdhuru?
..binafsi sioni tatizo.
..wanajeshi kuwa loyal kwa SERIKALI haimaanishi kwamba ni maadui wa viongozi au wafuasi wa vyama vya upinzani.
..jukumu la jeshi ni kulinda RAIA WOTE na ndio maana tunaambiwa wanajeshi hawana chama. Maana yake wao sio sawa na green guard au chipukizi.
..Mbowe kumshirikisha mwanajeshi kumtafutia ulinzi sio kosa, na sio jambo la ajabu.
..Na kwasababu ya heshima ya jeshi letu, kuwa ni jeshi la WANANCHI, basi askari wake ni watu sahihi wa kukimbiliwa na kutegemewa kutoa msaada na ushirikiano kwa Watanzania wote bila kujali itikadi za vyama.
Ulishawahi kumsikia kiongozi gani wa upinzani akamtumia mwanajeshi amtafutie walinzi wa kulinda maisha yake?
Unaona mbowe alivyosalitiwa?
Utasemaje HAKUNA tatizo wakati mbowe tayari aneshachomwa na kesi ya ugaidi amepewa?
Jambazi Sabaya sio tu aliiba ndio akaonekana. Bali mipango yake yoote ilikuwa recorded kwenye Flashi Disc.Wewe ndiyo taahira. Kwa hiyo unataka kusema tungeona mwili wa marehemu Sabaya ndiyo ungeamini? Gaidi nu kumzuia asiue, akishaua tayari upelelezi wako hauna faida tenalabda kwa revenge. Na magaidi mara nyinginao hufa kwa kujitoa mhanga. Lt Urio succeeded 100%.
We jamaa basi hata kama wewe ni mwanaccm ndio na akili umefuta kabisa kwenye fuvu lako?Ulishawahi kumsikia kiongozi gani wa upinzani akamtumia mwanajeshi amtafutie walinzi wa kulinda maisha yake?
Unaona mbowe alivyosalitiwa?
Utasemaje HAKUNA tatizo wakati mbowe tayari aneshachomwa na kesi ya ugaidi amepewa?
Hearsays ya akina Urio.Mpaka sasa hakuna ushahidi wowote uliotolewa wenye kuonyesha ugaidi, dhana ya ugaidi imebakia kuwa ni kitu cha kufirika tu na kulazimishwa kiwepo katika hii kesi.
Mashahidi wote walioletwa mpaka sasa wameshikiria kusema kuwa; hawana ushahidi wowote wanaoweza kuuthibitisha mbele ya mahakama kuwa Mbowe alifanya ugaidi au alipanga kufanya ugaidi lakini wanahisi tu Mbowe alikuwa na mipango ya kufanya ugaidi.
very lowKuhusu kukata miti barabarani kwenye mikoa mbalimbali:
Je,
1.Hao wanne wangekata miti mingapi?
2.Wangetumia muda gani kukata miti ya kutosha kuleta taharuki
3.Wangegawana mikoa?
4.Wangekata miti kwa muda gani kabla ya kukamatwa.
What is the average IQ of Tanzanians?
Mtu tatu au nne ni muhimu sana.🤣🤣🤣Haya toa huo ushaidi wa Mboe kutaka kumuua Sabaya
Naweza kukubaliana na wewe. Hii kesi ilisukwa chini ya Hayati. Inawawia ngumu sana kuiendeleza akiwa hayupo.URIO hana roho mbaya ni kichapo cha kina kingai kimemfanya awe hivi.
Inafikirisha sana.Tuna safari ndefu sana kama hata kufanya simple operations za kupata ushahidi ni shida tutaweza kupambana na magaidi original
We jamaa basi hata kama wewe ni mwanaccm ndio na akili umefuta kabisa kwenye fuvu lako?
Wanajeshi ni ndugu zetu, kaka zetu, wajomba na wengine ni mapacha zetu Tunafanya nao mambo mengi ya kijamii na kifamilia zaidi ya hilo la ulinzi na wala halijawahi kuwa kosa mahali popote.
Ndio maana Urio alipotaka kugoma kwa kisingizio cha kutoa siri z jeshi mahakama imemlazimisha ajibu maswali yote bila kuathiri Ajira yake. Na maisha yako hivyo.
Okay, kama wale vijana walidanganywa wanafanya nini ndani hadi muda huu??Hapo ndipo mnakosea
Mambo ya ulinzi kamanda urio ndo aliwadanganya wale makomando.
Lakini malengo ya mbowe hayakuwa hayo.ila urio aliwadanganya wale makomando maana angewaanbia ukweli wangekataa.
Ila kikao walichokaa kule mikocheni mbowe alimpa malengo tofauti.
Mbona haya Mambo yapo humu jwanini usijisomee badala ya kukoment tu?