Yaliyojiri Mahakamani katika kesi ya Freeman Mbowe na wenzake, Januari 13, 2022. Kesi imeahirishwa hadi Januari 14 2022

maza alitoa kauli ya hovyo kuwahi kutokea nchini ni kweli kwakusema vile amejawa na roho ya yule ibilisi,shetani na joka mkuu
 
Kamilisha muendelezo wa kesi hii
 
Hahaa umeongea point kubwa sana. Hicho kisimu cha Lt lazima kimepokea pesa nyingi kutoka kwa akina ACP et al
 
Nyendo anapiga kazi iliyotukuka; shukrani sana kwa hilo ila kama unavyosema anachelewa kutoa updates ukizingatia hili ndio tukio muhimu zaidi nchini kwa sasa.
Vyovyote iwavyo hii ni kazi nzuri sana wanafanya
 
Hahaa umeongea point kubwa sana. Hicho kisimu cha Lt lazima kimepokea pesa nyingi kutoka kwa akina ACP et al
... kama kungekuwa na vyombo huru mambo yakawekwa hadharani hakika "jambo lingezua jambo" tena jambo kweli kweli sio mzaha. Halafu huwa najiuliza, ni kwa kuwa Mbowe kwa nafas yake katika jamii anao uwezo wa kuweka mawakili ma-guru; sisi makapuku sijui inakuwaje ukisingiziwa kesi kama hizi (ugaidi, et. al.); huna uwezo wa kujiwekea wakili; wala hufahamiki kokote! Daaah! inauma sana.
 
Kwamba uwaite waliokuwa makomandoo toka mikoa ya mbali na kisha uwalipe elfu themanini ajili ya ugaidi?

 
Una haki na maoni yako- ukweli unabaki palepale Mbowe anashitakiwa kwa ugaidi na atafungwa kwa ushahidi usio na mashaka.
Ndiyo maana wakili msomi Kiba kamuingiza J4 kuonyesha kikosi kilivyo pandishwa vyeo baada ya kubambikia kesi ya kisiasa
Hivyo hata yule wa BBC ataitwa aje atoe ufafanuzi mbona Mkapa aliitwa kesi ya balozi Muhilu!!
Taratibu haki inaanza kuonekana
Ukitaka kuona nyeti ya kuku subiri upepo uvume!!!
 
Ugaidi hata Tshs.5,000/= inafanya! Toa akili yako ndogo hapa! Kwani lita moja ya petroleum ni shilingi ngapi na kiberiti kimoja ni shilingi ngapi?
Hoja isiwe kiasi cha pesa,hoja iwe Mbowe alitenda vitendo ambavyo vina amount kwenye ugaidi au la, basi!
Hatutaki kelele za kijinga hapa muache due process ichukue mkondo wake.
Kama hakutenda basi Mahakama itam-acquit.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…