Yaliyojiri Mahakamani katika kesi ya Freeman Mbowe na wenzake, Januari 13, 2022. Kesi imeahirishwa hadi Januari 14 2022

Uwache kuwafuata fuata wana cdm na upunzani kwa ujumla wewe ni ccm .
Wewe mwenezi wa CDM unamkataa mwanachama wako.

Ndio maana CCM inawapiga bao maana hata chizi na taira hawamkatai wanampa kadi na kofia ya CCM mwisho wa siku mnalialia mtandaoni mmeibiwa kura.
 
Kashfa za nini tunapaswa kueleweshana. Weka na vifungu vya sheria basi.
 
Wewe mwenezi wa CDM unamkataa mwanachama wako.

Ndio maana CCM inawapiga bao maana hata chizi na taira hawamkatai wanampa kadi na kofia ya CCM mwisho wa siku mnalialia mtandaoni mmeibiwa kura.
Siyo kila mwana jf hapa mnamuona kama muokota makopo lazima mjue kuwa hapa jukwaani baadhi tunajuana .

Huyo anayejiita Kamanda asiyechoka namfahamu vizuri maana alikuwa cdm akatoka kwa nyodo kwenda kuunga mkono kisa yeye ni msukuma.

Bila kubanwa na sheria za jukwaa ningeweza hata kumtaja kwa jina lake na shughuli anazo fanya kuendesha maisha na mkakati wake juu ya upinzani hasa wa hapa jukwaani.
 
Hata shillingi mia ya kununulia kiberiti inatosha. Kwenye hiyo elfu themanini unaweza teketeza Africa Mashariki na Kati πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
We unaliwa
Haikusaidii kitu bali watanzania tunashukuru kuwa tumekubaini na nia yako hovu kwa upinzani.

Nikuahidi tu kuwa labda ubadilishe ID yako ndiyo utafanikiwa kufanya siasa za maji taka dhidi ya cdm.

Vinginevyo hatutakuwacha kufanya huu unafiki wako kisiasa kwa malipo kiduchu .
 
Kwani ukiolewa na mimi utapata faida gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…