Elvis Legacy
JF-Expert Member
- Aug 10, 2017
- 3,984
- 5,820
Wewe mwenezi wa CDM unamkataa mwanachama wako.Uwache kuwafuata fuata wana cdm na upunzani kwa ujumla wewe ni ccm .
Ndio maana CCM inawapiga bao maana hata chizi na taira hawamkatai wanampa kadi na kofia ya CCM mwisho wa siku mnalialia mtandaoni mmeibiwa kura.