Yaliyojiri Mahakamani kesi ya Mbowe na wenzake 3: Shahidi wa 13, Tumaini Swila ashindwa kufika mahakamani. Kesi imeahirishwa hadi Februari 14, 2022

ANGALIZO: Huyo kitengo X leo avishwe pampas kabisa jamani huko maliwatoni kuna siri gani?
... keshaingia mitini tayari; hajapona wanavyodai. Wanaomba ahirisho hadi Jumatatu kama atakuwa hajapona waje na shahidi mwingine! Serikali inafanya utoto mwingi sana kwenye hili shauri muhimu walilolianzisha wenyewe! CCM walaaniwe.
 
Nilijua tu hili litatokea. Yaani unaweza kudhani wao ndio wanashtakiwa. Kila siku Udhuru wao tu.
Mashahidi karibu wote upande wa Jamhuri ni mapolisi, wanashindwaje kuwapanga kufika mahakamani? Hawakumjulisha shahidi anaefuata baada ya Swila kuwa standby na hasa baada ya kuona hali ya afya ya Swila kuwa si nzuri? Itakuwa vema kuanzia sasa kuwajulisha mashahidi kuwa akimaliza H au akishindwa kumaliza kwa sababu yoyote ile atafuata J.
 
Mungu wa mbinguni awabariki sana!

Zamani wakati wa mtihani tulikuwa tunakwenda kusoma " nyenzo" chooni.

Baadae chooni akawekwa mlinzi ili kutia hofu wapiga chabo.

Labda vyoo vya mahakama zifungwe camera ili kesi hii iende haraka na iishe.
Mkuu kuna muda unakuwa Na akili Kuna muda zinayeyuka tu kama icecream,

kweli kabisa kuwe Na camera huko maliwatoni maana haiwezekana mtu kila akibanwa mbavu akimbilie choon
 
Wale mawakili waandamizi leo hawapo, wana mpika jamaa..
Yaani serikali ita pata shida sana kwenye hii kesi. Hata wamloweke kwenye mafuta hawezi kuongea waliyo sema wenzake.
Halafu hii kesi niya muda mrefu kwanini mashahidi ni wakuokota??
Bora afe ili haki ipatikane.
Sala yangu kwa Mungu, kila anae dhihaki neno lake ampatilize hapa hapa duniani.
 
Mashahidi lazima waandaliwe!
 
Mtambulisha jopo la mawakili wa serikali bwana kidando naona kuanzia weekend hii atakuwa na semina na mashahidi wote ili kuwamezesha ya kusema. Ingawa tatizo lipo kwenye kuapa ukishashika tu vitabu vitakatifu tu na kuapa kwa jina la Mungu kuwa utasema ukweli mambo yanabadilika lazima ujikanyage na hapo ndipo Mzee wa "ikikupendeza Mh jaji" anawakimbiza maliwatoni kila muda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…