Jaji mwenyewe pia wa mchongo.Hivi wakina Kibatala wangemaliza leo, upande wa mashtaka wasingeweza kuleta shahidi mwingine kesho? Ningekuwa Jaji ningewalazimisha wanipe schedule ya mashahidi na uthibitisho kuwa wamewasiliana nao na wako standby kuja wakati wowote watakapohitajika. Unashindwaje kupata polisi ambae anawajibika kutii amri ya mamlaka? Kuna haja ya kuwa serious na maisha ya wenzao. Au lengo ni kuwaweka watuhumiwa mahabusu kwa muda mrefu inavyowezekana? Jaji lazima awe mkali kwenye hili.
Amandla...