Yaliyojiri Mahakamani kesi ya Mbowe na wenzake 3: Shahidi wa 13, Tumaini Swila ashindwa kufika mahakamani. Kesi imeahirishwa hadi Februari 14, 2022

Yaliyojiri Mahakamani kesi ya Mbowe na wenzake 3: Shahidi wa 13, Tumaini Swila ashindwa kufika mahakamani. Kesi imeahirishwa hadi Februari 14, 2022

Hivi wakina Kibatala wangemaliza leo, upande wa mashtaka wasingeweza kuleta shahidi mwingine kesho? Ningekuwa Jaji ningewalazimisha wanipe schedule ya mashahidi na uthibitisho kuwa wamewasiliana nao na wako standby kuja wakati wowote watakapohitajika. Unashindwaje kupata polisi ambae anawajibika kutii amri ya mamlaka? Kuna haja ya kuwa serious na maisha ya wenzao. Au lengo ni kuwaweka watuhumiwa mahabusu kwa muda mrefu inavyowezekana? Jaji lazima awe mkali kwenye hili.

Amandla...
Jaji mwenyewe pia wa mchongo.
 
Serikali haijajipanga katika hii kesi.

Walidhani same cover Kila angle matokeo yake wanapigwa matobo Hadi wanatafuta visingizio vya TMJ. Polisi Wana hosp Yao nzuri Sana kule Kilwa road, kwanini sense TMJ?

Angeanzia Kilwa road then Kama no rufaa angeletwa Muhimbili kuliko na vifaa na madaktari wa uhakika. Hata Marais, Mimi mwenywe na mawaziri wakuu wanatibiwa Muhimbili.

Who goes to TMJ these days?

MNH is fully stocked.

Sio new case scenario, huyu ana kliniki yake TMJ siku nyingi.
 
... keshaingia mitini tayari; hajapona wanavyodai. Wanaomba ahirisho hadi Jumatatu kama atakuwa hajapona waje na shahidi mwingine! Serikali inafanya utoto mwingi sana kwenye hili shauri muhimu walilolianzisha wenyewe! CCM walaaniwe.
Huko wanatiana vidole vya macho kwa nini hawakuiondoa hii kesi mapema,yaani wako kwenye dilemma kubwa kwani picha halisi imeshajichora kwa rangi zake halisi kuwa hii kesi ni tamthiliya ambayo kuanzia mwandishi,mpiga picha na waigizaji wote wamepoteana. Kuiondoa katika steji hii ni aibu na kuendelea nayo ni aibu zaidi. Napata raha sana hawa mafedhuli wanapojivua nguo hadharani.
 
Hivi wakina Kibatala wangemaliza leo, upande wa mashtaka wasingeweza kuleta shahidi mwingine kesho? Ningekuwa Jaji ningewalazimisha wanipe schedule ya mashahidi na uthibitisho kuwa wamewasiliana nao na wako standby kuja wakati wowote watakapohitajika. Unashindwaje kupata polisi ambae anawajibika kutii amri ya mamlaka? Kuna haja ya kuwa serious na maisha ya wenzao. Au lengo ni kuwaweka watuhumiwa mahabusu kwa muda mrefu inavyowezekana? Jaji lazima awe mkali kwenye hili.

Amandla...
Jaji Wa Mchongo hawezi Kua mkali
 
Updates:

Jaji ameingia Mahakamani Muda huu...........
Wakili wa Serikali Nasorro Katuga: Shahidi Tulikuwa tunaona hapa tangu Mwanzo Kila Muda alikuwa anaomba Kwenda Msalani Huko Ndipo alipo kuwa anatibiwa kupitia Daktari Wake
Kumbe huko msalani kulikuwa na mtu!! Je alikuwa daktari au mwenye majibu ya maswali! Inatia shaka
 
Huko wanatiana vidole vya macho kwa nini hawakuiondoa hii kesi mapema,yaani wako kwenye dilemma kubwa kwani picha halisi imeshajichora kwa rangi zake halisi kuwa hii kesi ni tamthiliya ambayo kuanzia mwandishi,mpiga picha na waigizaji wote wamepoteana. Kuiondoa katika steji hii ni aibu na kuendelea nayo ni aibu zaidi. Napata raha sana hawa mafedhuli wanapojivua nguo hadharani.
... wanajilisha kinyesi chao wenyewe! Washenzi wakubwa.
 
Suala la tukishindwa Kuleta Shahidi huyu, tulete shahidi Mwingine nalo tumelichukua Suala la Shahidi Kuleta Cheti cha Hospitali ya Serikali, Shahidi Tulikuwa tunaona hapa tangu Mwanzo Kila Muda alikuwa anaomba Kwenda Msalani Huko Ndipo alipo kuwa anatibiwa kupitia Daktari Wake[emoji3064][emoji15][emoji15][emoji848][emoji2827]

Hivi mahakama hazina vyumba vya dharura na vya huduma ya kwanza mpaka mtu akatibiwe chooni na 'daktari' wake? Ni matibabu gani hayo ya kila baada ya muda mchache?
 
Shahidi anapatwa na tumbo la kuharisha kifikilia maswali ya kibatala kwenye kesi hii ya kutunga
 
Dah hii ni aibu kwa kweli,
Duniani huko tunaonekana vipi katika kesi hii? Kuna ulazima gani wa kung'ang'ania ''kabiha'' kama hii?
Siamini kama nchi hii inakosa wazee wenye busara zao wa kuweza kushauri vema kwenye mamlaka ili kuondosha uozo kama huu.

President mama Samia, waambie wanaohusika waondoshe hii takataka kwa sababu hadi leo hakuna ushahidi clear wa kumtia hatiani Mbowe kwa kesi husika wakati idadi ya mashahidi wa jamhuri inaendelea kupungua (Na Urio ambae main content ashamaliza kutoa ushahidi wake). Kuendelea na kesi hii siyo tu inatushushia heshima kama nchi bali pia tunaonekana ni watu wa hovyohovyo na wapenda MICHONGO.
 
FB_IMG_1644481876355.jpg
 
TMJ

Daktari: vipimo vinaonesha hunatatizo
Afande swila: sawa ila nahisi kichwa hakipo sawa

Daktari: sababu ya msongo wa mawazo, hakikisha unapata muda wa kupumzika
Afande swila: asante, naruhusiwa kumeza madesa, na kupata lecture kwa siku nzima

Daktari: hapana, hali yako itakuwa mbaya zaidi.
Afande swila: sa itakuwaje🤔, basi niandikie tu ninatatizo la maliwato aka fistula (niendelee kupata lecture kidogo kidogo via maliwatoni 🤨..)

Daktari: utakuja kufa 🐕 wewe
 
Back
Top Bottom