Naona na column ya Mawakili wa Serikali nayo imepungua leo, watakuwa wanammezesha madesa.Mashahidi lazima waandaliwe!
Kama wewe ungekuwa polisi ungekubali kutoa ushahidi kirahisi!Mashahidi karibu wote upande wa Jamhuri ni mapolisi, wanashindwaje kuwapanga kufika mahakamani? Hawakumjulisha shahidi anaefuata baada ya Swila kuwa standby na hasa baada ya kuona hali ya afya ya Swila kuwa si nzuri? Itakuwa vema kuanzia sasa kuwajulisha mashahidi kuwa akimaliza H au akishindwa kumaliza kwa sababu yoyote ile atafuata J.
Wana andaliwa kuna unyago? Waliona yanayo tendeka waitwe watoe ushahidi.Mashahidi lazima waandaliwe!
Yametimia! Amesha lazwa huko! Burdani ya hii movie ni mpaka wiki ijayo sasa!Atakuja na dawa zake kama yule kipa wa Misri Afcon!
Robert Kidando kaona hadi aibu kuonekana mahakamani🤣🤣Nilivyoona Column ya mawakili wa serikali wako wachache, nikawaza kabisa , leo hamna kitu.
Najua Column yetu sisi wa JF iko kama jana. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Hilo linatia shaka timu ya mawakili wa jamhuriMashahidi karibu wote upande wa Jamhuri ni mapolisi, wanashindwaje kuwapanga kufika mahakamani? Hawakumjulisha shahidi anaefuata baada ya Swila kuwa standby na hasa baada ya kuona hali ya afya ya Swila kuwa si nzuri? Itakuwa vema kuanzia sasa kuwajulisha mashahidi kuwa akimaliza H au akishindwa kumaliza kwa sababu yoyote ile atafuata J.
Mimi tangu jana, nilijiandaa kisaikolojia kwamba leo hamna kitu!Nilivyoona Column ya mawakili wa serikali wako wachache, nikawaza kabisa , leo hamna kitu.
Najua Column yetu sisi wa JF iko kama jana. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Haitasaidia Kibatala ameshamvuruga kwa asilimia 75%... wanamfanyia maandalizi shahidi wao mpumbavu!
🤣🤣🤣Mawakili wa serikali wameelemewa...
Mashahidi wote hao 11 wanakosa hata mmoja wa kuwepo kesho? Au ndio muda wa kumpanga hautoshi
Shahidi anaandaliwa nini kitu cha kusema au kubashiri maswali yatakayoulizwa?Mashahidi lazima waandaliwe!
🤣🤣🤣ndio hivi hiviDah nahisi serikal ya chichiem ikisimama kwenye tume huru ,mambo ndiyo yatakua hivi
Wanatoa ushahidi wao kimkakati, kwamba leo tumpeleke huyu akafukie shimo la yule! Tatizo kila anayeletwa anafukia shimo moja alafu anatengeneza mashimo mengine 10!Mashahidi karibu wote upande wa Jamhuri ni mapolisi, wanashindwaje kuwapanga kufika mahakamani? Hawakumjulisha shahidi anaefuata baada ya Swila kuwa standby na hasa baada ya kuona hali ya afya ya Swila kuwa si nzuri? Itakuwa vema kuanzia sasa kuwajulisha mashahidi kuwa akimaliza H au akishindwa kumaliza kwa sababu yoyote ile atafuata J.
Hii ndiyo ingekuwa rahisi kuwapataItabidi na mashahidi nao wawekwe mahabusu 😂😂
Mawakili wa serikali wameelemewa...
Mashahidi wote hao 11 wanakosa hata mmoja wa kuwepo kesho? Au ndio muda wa kumpanga hautoshi
🤣🤣🤣🤣HapikikiWale mawakili waandamizi leo hawapo, wana mpika jamaa..
Yaani serikali ita pata shida sana kwenye hii kesi. Hata wamloweke kwenye mafuta hawezi kuongea waliyo sema wenzake.
Halafu hii kesi niya muda mrefu kwanini mashahidi ni wakuokota??
Bora afe ili haki ipatikane.
Sala yangu kwa Mungu, kila anae dhihaki neno lake ampatilize hapa hapa duniani.
🤣🤣🤣🤣🤣Maninaaa 😀😀😀wanavyoogopa mahakama utahisi wa ndo washtakiwa au km vile watoto wanavyoogopa Wakiitwa kuingia chumba cha kuchomea sindano🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣Wanatoa ushahidi wao kimkakati, kwamba leo tumpeleke huyu akafukie shimo la yule! Tatizo kila anayeletwa anafukia shimo moja alafu anatengeneza mashimo mengine 10!