Yaliyojiri Mahakamani kesi ya Mbowe na wenzake 3: Shahidi wa 13, Tumaini Swila ashindwa kufika mahakamani. Kesi imeahirishwa hadi Februari 14, 2022

Niko Kilimanjaro wilaya ya Moshi vijijini jimbo la Vunjo tarafa ya mamba kata ya mamba kaskazini kijiji cha kokirie kitongoji cha Kokirie Koram iko tayar kusikilizia hyo kesi.ni presha inawasumbua upande wa mashtaka
Kaka Koramu leo jamaa wamezingua.
 
Daktari wa wapi? TMJ isije ikaingia kwenye msala usioihusu
 
Jaji mwenyewe nae ni mmoja wa mawakili wa serikali
 
Mwamakula piga maombi baba wapigwe na uharo hadi waishiwe maji mwilini na watubu wamrudie muumba kwa toba na kutufahamisha kila kitu. Ona sasa hata watuhumiwa wa mauaji ya ajabu ajabu wanaanza kujulikana. Ninaamini kipindi cha ukweli na mapatano kimefika. Ee Mola endelea na kazi uliyoianza March 2021
 
Na ile tar 14 July wataipatia majibu?? Vipi kukosa Form ya kujaza Mali za Urio tar 13 august 2020?
Kwa hakika hayo ni mambo yatakayowekwa kwenye submissions. Sitarajii 14/07 kujibiwa japo imetajwa. Mkuu, hawa watu hawajali ukweli kwa sababu sheria zetu zikataza uongo kupitia kiapo lakini kuanzia juu kabisa mpaka chini hatufanyi sawa na viapo! They will get away with all lies!!
 
Ana ugonjwa wa ajabu sana,yaani akipush lile gogo tu anapona !!!!
 
Nafurahi sana jopo la mawakili wakiongozwa na Kibatala wapo "smart and bold".
Mtobesya amerejea.

Tuwe na subra, wapenda haki.

"upepo unazidi kuvuma kwa kasi sio muda uchi wa kuku utaonekana"
Yaani shahidi alipoona spana imebana kaenda kuchukua ED. Huu mwaka mpaka maji wayaite mma.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Dah jamaa alikuwa na nguvu kweli ama afya ilikuwa mgogoro sana..yaani anatoka kizimbani anaenda chooni anatibiwa na daktari wake kisha anarejea tena kizimbani mara kadhaa kwa kujirudiarudia
Akiwa kizimbani Huwa anaishiwa nguvu,
akienda sehemusehemu anachomwa sindano ya kuongeza nguvu,
Kisha anarudi,baada ya muda anaishiwa nguvu tena,
Kisha anaenda sehemusehemu Tena.
mwendo ndo huo.
nahisi TU lakini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…