Yaliyojiri Mahakamani kesi ya Mbowe na wenzake 3: Shahidi wa 13, Tumaini Swila ashindwa kufika mahakamani. Kesi imeahirishwa hadi Februari 14, 2022

Yaliyojiri Mahakamani kesi ya Mbowe na wenzake 3: Shahidi wa 13, Tumaini Swila ashindwa kufika mahakamani. Kesi imeahirishwa hadi Februari 14, 2022

TMJ

Daktari: vipimo vinaonesha hunatatizo
Afande swila: sawa ila nahisi kichwa hakipo sawa

Daktari: sababu ya msongo wa mawazo, hakikisha unapata muda wa kupumzika
Afande swila: asante, naruhusiwa kumeza madesa, na kupata lecture kwa siku nzima

Daktari: hapana, hali yako itakuwa mbaya zaidi.
Afande swila: sa itakuwaje🤔, basi niandikie tu ninatatizo la maliwato aka fistula (niendelee kupata lecture kidogo kidogo via maliwatoni 🤨..)

Daktari: utakuja kufa 🐕 wewe
Daktari wa wapi? TMJ isije ikaingia kwenye msala usioihusu
 
Hivi wakina Kibatala wangemaliza leo, upande wa mashtaka wasingeweza kuleta shahidi mwingine kesho? Ningekuwa Jaji ningewalazimisha wanipe schedule ya mashahidi na uthibitisho kuwa wamewasiliana nao na wako standby kuja wakati wowote watakapohitajika. Unashindwaje kupata polisi ambae anawajibika kutii amri ya mamlaka? Kuna haja ya kuwa serious na maisha ya wenzao. Au lengo ni kuwaweka watuhumiwa mahabusu kwa muda mrefu inavyowezekana? Jaji lazima awe mkali kwenye hili.

Amandla...
Jaji mwenyewe nae ni mmoja wa mawakili wa serikali
 
Habari Wakuu,

Leo 10/ 02/ 2022 shahidi wa 13 anatarajiwa kuendelea kutoa ushahidi wake kwenye kesi inayomkabili Mbowe na wenzake 3. Shahidi Tumaini Swila jana Februari 9, 2022 aliomba ahirisho kwakuwa alikuwa hajisikii vizuri.

Kujua Kesi ilipoishia fungua kiungo hiki: Yaliyojiri Mahakamani kesi ya Mbowe na wenzake: Shahidi wa 13, Tumaini Swila aomba ahirisho kuwa
Mwamakula piga maombi baba wapigwe na uharo hadi waishiwe maji mwilini na watubu wamrudie muumba kwa toba na kutufahamisha kila kitu. Ona sasa hata watuhumiwa wa mauaji ya ajabu ajabu wanaanza kujulikana. Ninaamini kipindi cha ukweli na mapatano kimefika. Ee Mola endelea na kazi uliyoianza March 2021
 
Na ile tar 14 July wataipatia majibu?? Vipi kukosa Form ya kujaza Mali za Urio tar 13 august 2020?
Kwa hakika hayo ni mambo yatakayowekwa kwenye submissions. Sitarajii 14/07 kujibiwa japo imetajwa. Mkuu, hawa watu hawajali ukweli kwa sababu sheria zetu zikataza uongo kupitia kiapo lakini kuanzia juu kabisa mpaka chini hatufanyi sawa na viapo! They will get away with all lies!!
 
Course za kipolisi hizi hapo. We unafikiri kutakuwa na mwenye akili akafanya moral reasoning?

Hata ukikaa nao kwenye vijiwe vyaoo utagundua kuwa wengi wao kichwani hakuna kitu. Empty set
20220123_155221.jpg
 
Suala la tukishindwa Kuleta Shahidi huyu, tulete shahidi Mwingine nalo tumelichukua Suala la Shahidi Kuleta Cheti cha Hospitali ya Serikali, Shahidi Tulikuwa tunaona hapa tangu Mwanzo Kila Muda alikuwa anaomba Kwenda Msalani Huko Ndipo alipo kuwa anatibiwa kupitia Daktari Wake[emoji3064][emoji15][emoji15][emoji848][emoji2827]

Hivi mahakama hazina vyumba vya dharura na vya huduma ya kwanza mpaka mtu akatibiwe chooni na 'daktari' wake? Ni matibabu gani hayo ya kila baada ya muda mchache?
Ana ugonjwa wa ajabu sana,yaani akipush lile gogo tu anapona !!!!
 
Nafurahi sana jopo la mawakili wakiongozwa na Kibatala wapo "smart and bold".
Mtobesya amerejea.

Tuwe na subra, wapenda haki.

"upepo unazidi kuvuma kwa kasi sio muda uchi wa kuku utaonekana"
Yaani shahidi alipoona spana imebana kaenda kuchukua ED. Huu mwaka mpaka maji wayaite mma.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Dah jamaa alikuwa na nguvu kweli ama afya ilikuwa mgogoro sana..yaani anatoka kizimbani anaenda chooni anatibiwa na daktari wake kisha anarejea tena kizimbani mara kadhaa kwa kujirudiarudia
Akiwa kizimbani Huwa anaishiwa nguvu,
akienda sehemusehemu anachomwa sindano ya kuongeza nguvu,
Kisha anarudi,baada ya muda anaishiwa nguvu tena,
Kisha anaenda sehemusehemu Tena.
mwendo ndo huo.
nahisi TU lakini.
 
Back
Top Bottom