Yaliyojiri Mahakamani kesi ya Mbowe na wenzake 3. Shahidi wa 13, Tumaini Swila kuendelea kutoa ushahidi Februari 15, 2022

Naam,cross examination ni elimu ya Bure Kwa tusiokuwa wanasheria!
Kama Umefuatilia kesi Toka Mwanzo,na mpaka Sasa hujaongeza ufahamu kuhusu mambo ya kisheria basi utakuwa kilaza!
Sio kilaza tu utakuwa na akili za ccm kuna kada mmoja wa ccm aliniambia Ili uwe kada ulieiva wa ccm ni lazima uwe kilaza!!
 
Mungu awabariki mnaotumia muda na mali zenu kutuhabarisha.

Weekend ilikuwa ndefu sana.
 
Naam,cross examination ni elimu ya Bure Kwa tusiokuwa wanasheria!
Kama Umefuatilia kesi Toka Mwanzo,na mpaka Sasa hujaongeza ufahamu kuhusu mambo ya kisheria basi utakuwa kilaza!
Tumepata elimu kubwa na kutuongezea ujasiri zaidi.
 
Jana ndio nini bwashee?

Kuna maisha nje ya siasa tatizo la Ufipa mnadhani siasa ndio maisha.
Wengi mlisema mtaacha siasa baada ya kunyongwa na Magu. Lakini mkashindwa. Unajua kuwa siasa ndio maisha u ajifaragua tu
 
Siasa sio maisha wakati Mzee Mwinyi na familia yake wamejikita kwenye kazi ya siasa na imewatoa.
Unatakwimu ya wanasisiemu wagogo wa Dodoma walivyofanikiwa na siasa za ccm ukiacha huyo mwinyi na familia yake?!!
 
Kule kwetu kuna msemo wa kilugha unasema... jambo lisilobidi ulifanye bora ulimalize tu usingoje kesho.... wali Buy time lakini sifa ya time huwa una mwisho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…