Yaliyojiri Mahakamani kesi ya Mbowe na wenzake 3. Shahidi wa 13, Tumaini Swila kuendelea kutoa ushahidi Februari 15, 2022

Yaliyojiri Mahakamani kesi ya Mbowe na wenzake 3. Shahidi wa 13, Tumaini Swila kuendelea kutoa ushahidi Februari 15, 2022

Mungu wa mbinguni awabariki sana!

Huyu Freeman Mbowe aliwahi kufungwa lakini akatoka baada ya kulipa faini baadae Mahakama ya Rufaa ikaona alifungwa bila kuwa na hatia ( alionewa)

Maisha ya hii dunia ni ubatili mtupu!
kumbe uko vizuri sana ila unajifanyaga hamnazo.

Vv
 
Kwa Jana ilikuwa siasa Leo umerudishiwa utu wako? Wanaokuita kinyonga kumbe hawakuonei? Binafsi nilikuwa nakuheshimu sana ila kauli ya kushabikia mateso ya mwenzio ilinikwaza sana.
Mwenzangu Chadema?

Tumia akili japo ya punje ya haradari.

Kuna tofauti kati ya Chadema na Freeman Mbowe.

Walio wengi nikiwemo mimi tuko na Freeman Mbowe siyo Chadema.

Tunamtetea Freeman Mbowe siyo Gaidi hiyo haina uhusiano na Chadema.
 
Daktari anayekutibia miaka miwili haujui jina lake la pili? Hawa polisi ni tatizo sana. Polisi anadai alikuwa anatibiwa nyumbani.
 
Mbona huyu Kifutu sijui Swila mara nyingi majibu yake mengi yanakuwa sijui au ndiyo alivyoambiwa na mawakili wa serikali wakati wa kumuandaa kuja mahakamani kutoa ushahidi wa kubumba ?.Yeye ni mpelelezi wa kesi husika lakini kila mara anajibu sijui au sifahamu.Wewe nyoka mwogope mungu, la sivyo utalaniwa wewe na kizazi chako.
 
Naam,cross examination ni elimu ya Bure Kwa tusiokuwa wanasheria!
Kama Umefuatilia kesi Toka Mwanzo,na mpaka Sasa hujaongeza ufahamu kuhusu mambo ya kisheria basi utakuwa kilaza!
Hivi kwa nini hii kesi haiishi??
 
Kibatala ameshamchanganya Swila tayari,hapo anawaza atamjibu nini kuhusu daktari,huku mawakili wa mchongo nao wameanza Objection zisizo na mashiko,

Naona wamevurugwa mapema leo.
 
Lakini Jana ulituambia tuendelee na Ugaidi wetu[emoji223]
Na pia, tuendelee na kesi yetu! Leo, kama kawaida, kawahi siti ya mbele!
Ila, huwa namfurahia kitu kimoja, wakati mwingine ile ROHO ya KIMATAGA, huwa inamtoka, na kuwa MUUNGWANA, na mtu MWENYE HURUMA!
 
Na pia, tuendelee na kesi yetu! Leo, kama kawaida, kawahi siti ya mbele!
Ila, huwa namfurahia kitu kimoja, wakati mwingine ile ROHO ya KIMATAGA, huwa inamtoka, na kuwa MUUNGWANA, na mtu MWENYE HURUMA!
Nimemshangaa mtu niliyekuwa namchukulia muelewa kuwa na tabia ya Kinyonga Kama hivi!!
 
Back
Top Bottom