Yaliyojiri Mahakamani kesi ya Mbowe na wenzake 3. Shahidi wa 13, Tumaini Swila kuendelea kutoa ushahidi Februari 15, 2022

Shahidi emetoka nduki tena na leo? Kibatala, wakili mkali Afika nzima, usimwache mchawi aishi, mpige maswali mpaka leo tuuone mkojo kizimbani
 
Jana ndio nini bwashee?

Kuna maisha nje ya siasa tatizo la Ufipa mnadhani siasa ndio maisha.
Kwa Jana ilikuwa siasa Leo umerudishiwa utu wako? Wanaokuita kinyonga kumbe hawakuonei? Binafsi nilikuwa nakuheshimu sana ila kauli ya kushabikia mateso ya mwenzio ilinikwaza sana.
 
Kibatala ni zaidi ya FBI. Taarifa zote anazo.

Namuona anatengeneza Foundation🤣🤣
 
Huyu Kibatala huyu! Tayari hapo issue ya Daktari anayemtibu jamaa ni utata mtupu!
 
Moto unaendelea kuwateketeza mashahidi wa mchongo.Dr Mohamed naye anachongwa,Swila anaweza kuwa na Dr wake TMJ?
He is a lier in making,i don't know how did he became a POLICE Inspector inthe first place!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…