Vyamavingi
JF-Expert Member
- Oct 3, 2014
- 5,818
- 5,555
kumbe uko vizuri sana ila unajifanyaga hamnazo.Mungu wa mbinguni awabariki sana!
Huyu Freeman Mbowe aliwahi kufungwa lakini akatoka baada ya kulipa faini baadae Mahakama ya Rufaa ikaona alifungwa bila kuwa na hatia ( alionewa)
Maisha ya hii dunia ni ubatili mtupu!
Mwenzangu Chadema?Kwa Jana ilikuwa siasa Leo umerudishiwa utu wako? Wanaokuita kinyonga kumbe hawakuonei? Binafsi nilikuwa nakuheshimu sana ila kauli ya kushabikia mateso ya mwenzio ilinikwaza sana.
Hahahaaaa..... Labda umesikia unachokipenda!kumbe uko vizuri sana ila unajifanyaga hamnazo.
Vv
Watu wanashindwa kutoafautisha UTU na Imani za Vyama.Mwenzangu Chadema?
Tumia akili japo ya punje ya haradari.
Kuna tofauti kati ya Chadema na Freeman Mbowe.
Walio wengi nikiwemo mimi tuko na Freeman Mbowe siyo Chadema.
Tunamtetea Freeman Mbowe siyo Gaidi hiyo haina uhusiano na Chadema.
Hata Jiwe na Bashite walisimama madhabahuni lkn nyuma ya pazia walitenda kinyume.Kweli imeniweka huru bwashee!
Kesho kutwa nitakuwa hapo viwanja vya Mashujaa Moshi na Mwalimu Mwakasege!
Kibatala apewe ulinzi,Huyu Kibatala huyu! Tayari hapo issue ya Daktari anayemtibu jamaa ni utata mtupu!
Hivi kwa nini hii kesi haiishi??Naam,cross examination ni elimu ya Bure Kwa tusiokuwa wanasheria!
Kama Umefuatilia kesi Toka Mwanzo,na mpaka Sasa hujaongeza ufahamu kuhusu mambo ya kisheria basi utakuwa kilaza!
Na pia, tuendelee na kesi yetu! Leo, kama kawaida, kawahi siti ya mbele!Lakini Jana ulituambia tuendelee na Ugaidi wetu[emoji223]
Nimemshangaa mtu niliyekuwa namchukulia muelewa kuwa na tabia ya Kinyonga Kama hivi!!Na pia, tuendelee na kesi yetu! Leo, kama kawaida, kawahi siti ya mbele!
Ila, huwa namfurahia kitu kimoja, wakati mwingine ile ROHO ya KIMATAGA, huwa inamtoka, na kuwa MUUNGWANA, na mtu MWENYE HURUMA!
Kisha VURUGWA huyo!Kibatala: Swali ni kwamba 174,000 na 199,000 zinafanama Vipi
Shahidi: Nishasema zinafanama
Kibatala: Kwa Figure zinafanama
Shahidi: Nishasema zinafanama
Hana akili timamu huyu.Kisha VURUGWA huyo!