Yaliyojiri Mahakamani kesi ya Mbowe na wenzake. Shahidi Justine Eliya Kaaya, amtaja Ole Sabaya. Kesi imeahirishwa hadi Oktoba 28, 2021

shaidi katika watu aliowataja na yeye ni kikundi kimoja na sabaya sehemu ya group lake .

huyu si shaidi na kwa nini kufahamu group la sabaya na kudai alikuwepo akitumika kwa sabay
 

Huyu ni mmoja wa genge la vijana wa Sabaya waliokuwa wakiendesha uhalifu. Na uhalifu huu ulipata baraka zote za mamlaka za kiserikali kwenye ilek kauli mbiu ya kunyoosha nchi.
 
Uko sahihi kabisa
 
Kumpa kashfa tena? Wakati mwenyekiti amezaa na huyo Dada watoto wawili? Nyinyi akili zenu zikoje na huyo Mwenyekiti wenu?
 
alitaka kukata miti kwa kutumia bastola na risasi 3. Angelipua vituo vya mafuta kwa heroine.
 
nime log in Ili tu nikupe" like"
Kuna roho mbaya zenye faida.
Kwa mfano ujambazi ni roho mbaya,lkn faida yake ni wanapataga mali kwa njia za ujambazi.
Lakini rohobaya za kichawi ni hazina faida.
Anakuroga tu lkn hapati chochote.
Hiyo ndio roho mbaya ya huyo mtu ulie mquote hapo juu.
Umemuambia ukweli.
Mbowe akifungwa huenda utajiri wa Mbowe ukaenda kwake.
Aisee!!!
Na hiyo ndio Tabia ya ma ccm yote hata hatari.
 
Natamani huyu shahidi mkulima/mpiga picha aulizwe hayo maeneo anayodai alikuwa akiendesha kulima ni wapi? Aliyapataje? Ni nani anayemtambua huko alikokuwa akilima mfano serikali za mitaa, majirani n.k Je, mazao yake alikuwa akiyauza kwa kupewa risiti za TRA au lah na aliwauzia kina nani mfano hiyo siku aliyokamatwa (hayo malipo yalikuwa halali na yapo kwenye rekodi za kumbukumbu za TRA?)

Amejitambulisha pia kwamba alikuwa ni mpiga picha, je hizo picha hadi leo anazo katika vifaa vya kielektroniki au hana, kama zipo anaweza kuionesha mahakama na kama hazipo ni sahihi mawakili wa utetezi wakisema hakuwa mpiga picha?
 
hivi mtuhumiwa ambaye mnatuhumiwa pamoja akikiri makosa na kusema kweli mlishirikiana wewe mwenzake unachomoka ?

watalaam wa sheria hebu nisaidieni hapa ...
 
Hujawahi kuwa na akili ndio maana uliokolewa na jaji wa maadili anayelamba vunbi saa hizi ulipothibitishiwa ukilaza wako jiulize bila sita kama ungepata cheti mjinga mkubwa kalee huko vichina vyako
 
Nashauri Mkiti ashauriane na wanasheria wake wafanye "Plea bargain" na Serikali kama inawezekana, hii kesi inaenda kumvua nguo, Afanye vyovyote anavyoweza kuiepuka hii fedheha.....Porojo za akina Kibatala hazitomsaidia
Ha ha samia kaamua kuendesha ujambazi wa kisiasa wacha afurahie uraisi wake maana sasa anakula anasaza na nchi GDP imefika asilimia 10 maana gaidi yupo ndani lets go .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…