Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kesi ya kubambikiwa ikitokea kuwa “high profile”, inakuwa aibu tupu. Yani hata kama Samia walimlisha matango pori na yeye akayabugia tu.
Huyo Kaaya ambaye anasema alikuwa mpiga picha, na kwamba ni mkulima, kumbe si kweli. Jamaa alikuwa kada wa ccm na msaidizi wa katibu mkuu wa ccm. Nimeshangaa sana eti aende kuishi nyumbani kwa Sabaya kwasababu ni mpiga picha! Kwani Sabaya alikuwa mwigizaji wa porn?
Kaazi kweli kweli.
Uko sahihi kabisaUnaweza ukasikiliza utetezi wa pande zote mbili na bado ukashindwa kuupata ukweli halisi.
Mbowe siyo "malaika" mtakatifu, anaweza akawa gaidi au asiwe gaidi. Ukweli halisi anaujua MUNGU pekee na Mbowe mwenyewe.
Polisi nao siyo malaika, wanaweza kuwa wapo sahihi au hawapo sahihi. Hapa napo ukweli sahihi anaujua MUNGU.
Ndiyo maana nikasema haki ya kweli inapatikana kwa MUNGU tu basi, kwa wanadamu huwezi kupata haki.
Kuna watu ni wauaji, lakini kwa ufundi wa kujitetea mahakamani waliachiwa huru licha ya kwamba ni kweli waliua.
Pia kuna watu siyo wauaji lakini kwa kushindwa kujitetea mahakamani walihukumiwa kifo licha ya kwamba hawakuwa na hatia yoyote.
Mtu fulani kuhukumiwa au kuachiwa huru haimaanishi kwamba wanadamu wanaweza kutenda haki.
Tunasubiri mwisho wake, natamani haki itendeke
Tatizo majaji wanakimbia hii kesi ,hata huyu naye ataikimbia
Kumpa kashfa tena? Wakati mwenyekiti amezaa na huyo Dada watoto wawili? Nyinyi akili zenu zikoje na huyo Mwenyekiti wenu?Huu ushahidi ni wa kupanga na wameona wachombeze jina la huyo dada Joyce kwa makusudi tu ili kumpa Mbowe kashfa. Hawa polisi Hamza aliwatendea haki kabisa.
Wameichelewesha makusudi hii kesi ili wapate muda wa kuwapa "mafunzo" hao wanaojiita "mashahidi". That's all.
alitaka kukata miti kwa kutumia bastola na risasi 3. Angelipua vituo vya mafuta kwa heroine.hii kesi msingi wake eti ni kusudio la kutenda kosa, kwamba waletea mashitaka wanamshitaki Mbowe kwa kusudio la kufanya ugaidi.. sasa sijui sheria inasemeje hapo maana so far hakuna ugaidi wowote ulifanyika na mbaya zaidi hakuna vielelezo vya kuifanya mahakama iamni kwamba ugaidi ulipangwa, hakuna hata kimoja.
Sheria gani inakataza mkuu?Kingai ni RPC Kinondoni lakini ana kwenda kumhoji mtuhumiwa Ilala.
nime log in Ili tu nikupe" like"Good for you.
Good for your family
Good for your political part CCM
-Nafikiri akifungwa matatizo yako ya kiafya na kiuchumi yatakuwa yametatuliwa
- Akifungwa ugonjwa wa kansa unao mwanandama mama yako utakuwa umeisha
-Akifungwa biashara zako zitakuwa zimekaa sawa
Inawezekana waliokua mashahidi wengi wamechomoa baada ya kuona wanaoenda kukalia misumari ya akina Mtobesya, Kibatala na MalyaWameanza kudai hawana uhakika kesho Kama watapata shaidi.
TissuvccmHuyu shaidi ni aibu tu mbele ya mahakama
Hujawahi kuwa na akili ndio maana uliokolewa na jaji wa maadili anayelamba vunbi saa hizi ulipothibitishiwa ukilaza wako jiulize bila sita kama ungepata cheti mjinga mkubwa kalee huko vichina vyakoMaskini mbowe eti likapiga na simu hahaha kumbe ukilaza wa shule na mitaani vilevile
Ulivyoona Samia na siro wakijiaminisha jua hizo voice note walipewa na wakasikikiza mbowe aliacha alama za kijasusi sasa atatokea wapi , gaidi mbowe anakula mvua tu hapa
USSR
Lazima useme hivyo naana huna uhakika wa maisha yako bashite wa headUnalialia nini wacha mwaba wenu afungwe kama Sabaya
USSR
Ha ha samia kaamua kuendesha ujambazi wa kisiasa wacha afurahie uraisi wake maana sasa anakula anasaza na nchi GDP imefika asilimia 10 maana gaidi yupo ndani lets go .Nashauri Mkiti ashauriane na wanasheria wake wafanye "Plea bargain" na Serikali kama inawezekana, hii kesi inaenda kumvua nguo, Afanye vyovyote anavyoweza kuiepuka hii fedheha.....Porojo za akina Kibatala hazitomsaidia