Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
Magufuli ametuvurugia sana mihimili, nchi imekua ya hovyo mno , vururu vururu..Tumefikia huko tena
Kweli kabisa mkuu Salary SlipMungu ana makusudi kwa kila jambo.
Uhai wa Chama dola kwanza.Mboga mbogaa wanaidhoofisha hii Nchi kwa upumbavu wao.
Ndio maana tangu mwanzo mnaambiwa hawa watu hawana nia nzuri na watuhumiwa lakini mmekuwa wagumu kuamini, huu ni uthibitisho tu kuna sheria nyingi zimekiukwa mpaka kufikia hatua hii ya kesi kwa lengo la kuwalinda jamhuri.Hii mimi pia imenishangaza sana. Seriously a Judge apologises for what happened to the witness when testifies at the dock!? Judge hayupo serious kabisa. Ameidhalilisha mahakama kwa kweli
Ni mtazamo tu!Hivi ndivyo alivyoandika .
View attachment 1989037
Huu ni ushahidi mwingine kwamba sasa Mahakama ni taasisi kamili ya ccm kama ilivyo UWT , UVCCM na Polisi .
Lema ni kama mke mwenza tu.Hivi ndivyo alivyoandika .
View attachment 1989037
Huu ni ushahidi mwingine kwamba sasa Mahakama ni taasisi kamili ya ccm kama ilivyo UWT , UVCCM na Polisi .
Naunga mkono swali lako, tukipata kifungu cha sheria kinachomzuia judge kuomba radhi itakua bora zaidi!
Hili ni shina kama mashina mengineHivi ndivyo alivyoandika .
View attachment 1989037
Huu ni ushahidi mwingine kwamba sasa Mahakama ni taasisi kamili ya ccm kama ilivyo UWT , UVCCM na Polisi .
Kingai hana loloteKingai ni afisa wa juu TISS kumzidi jaji. Anamwimba msamaha mkuuwake wa kazi.
GoodHajaingia mahakamani kwa cheo chake, ameingia kama shahidi tu.
Hebu jarib kupitipitia jukwaa la mapenz na mapishi. Huku iq yako ndogo mno. Just stupidLema ni kama mke mwenza tu.
Wivu unamsumbua.
Hapo kuna kipi cha maana kulichomkosesha usingizi?
Hebu jarib kupitipitia jukwaa la mapenz na mapishi. Huku iq yako ndogo mno. Just stupid
Usiwe mpumb***** Mlisema mama mtenda haki, kwa Sabaya mbona huyo Magufuli hajavuruga kama mnavosema?Mwacheni Hayati apumzike.Magufuli ametuvurugia sana mihimili, nchi imekua ya hovyo mno , vururu vururu..
Usipanick , nyie ndiyo mmekuwa mkituhubiri kuwa haki huiponya taifa. Ndiyo hivyo gaidi akihukumiwa taifa tutapona dhidi ya maovu yote ya kigaidi. Biashara au afya inaweza kuteketezwa muda wowote na gaidi. Hakuna afya njema, biashara nzuri wala kazi nzuri gaidi akiingia mtaani.Good for you.
Good for your family
Good for your political part CCM
-Nafikiri akifungwa matatizo yako ya kiafya na kiuchumi yatakuwa yametatuliwa
- Akifungwa ugonjwa wa kansa unao mwanandama mama yako utakuwa umeisha
-Akifungwa biashara zako zitakuwa zimekaa sawa