Yaliyojiri Mahakamani kesi ya Mbowe na wenzake. Shahidi Justine Eliya Kaaya, amtaja Ole Sabaya. Kesi imeahirishwa hadi Oktoba 28, 2021

Yaliyojiri Mahakamani kesi ya Mbowe na wenzake. Shahidi Justine Eliya Kaaya, amtaja Ole Sabaya. Kesi imeahirishwa hadi Oktoba 28, 2021

Hii mimi pia imenishangaza sana. Seriously a Judge apologises for what happened to the witness when testifies at the dock!? Judge hayupo serious kabisa. Ameidhalilisha mahakama kwa kweli
Ndio maana tangu mwanzo mnaambiwa hawa watu hawana nia nzuri na watuhumiwa lakini mmekuwa wagumu kuamini, huu ni uthibitisho tu kuna sheria nyingi zimekiukwa mpaka kufikia hatua hii ya kesi kwa lengo la kuwalinda jamhuri.
 
Lema ni kama mke mwenza tu.
Wivu unamsumbua.
Hapo kuna kipi cha maana kulichomkosesha usingizi?
Hebu jarib kupitipitia jukwaa la mapenz na mapishi. Huku iq yako ndogo mno. Just stupid
 
Hebu jarib kupitipitia jukwaa la mapenz na mapishi. Huku iq yako ndogo mno. Just stupid

Kwa hiyo wewe hapo ndiyo umejiona una iq kubwa? Nini cha maana umechangia kiasi cha kumdhihaki mwenzio.Punguza utoto mwingi,jikite kwenye mada,shusha nondo zako udhihirishe ukubwa wa iq yako na si kuleta maneno ya kejeli kwa wengine.
 
Magufuli ametuvurugia sana mihimili, nchi imekua ya hovyo mno , vururu vururu..
Usiwe mpumb***** Mlisema mama mtenda haki, kwa Sabaya mbona huyo Magufuli hajavuruga kama mnavosema?Mwacheni Hayati apumzike.

MAMA ANAUPIGA MWINGI
 
Nadhani Mh. jaji alikuwa anachekea tumboni wakati msomi Kibatala anachochea Moto.

Mwisho hakuweza kuvumilia akarusha nae jiwe ili utulize maumivu.
 
Mi sinaga imani na mahakama hata kidogo kwa hali ilivyo mawakili wa mboe wanapiteza tu muda inavyoonekana mboe atafungwa
 
Good for you.
Good for your family
Good for your political part CCM

-Nafikiri akifungwa matatizo yako ya kiafya na kiuchumi yatakuwa yametatuliwa
- Akifungwa ugonjwa wa kansa unao mwanandama mama yako utakuwa umeisha
-Akifungwa biashara zako zitakuwa zimekaa sawa
Usipanick , nyie ndiyo mmekuwa mkituhubiri kuwa haki huiponya taifa. Ndiyo hivyo gaidi akihukumiwa taifa tutapona dhidi ya maovu yote ya kigaidi. Biashara au afya inaweza kuteketezwa muda wowote na gaidi. Hakuna afya njema, biashara nzuri wala kazi nzuri gaidi akiingia mtaani.
 
Back
Top Bottom