Yaliyojiri Mahakamani kesi ya Mbowe na wenzake. Shahidi Justine Eliya Kaaya, amtaja Ole Sabaya. Kesi imeahirishwa hadi Oktoba 28, 2021

Yaliyojiri Mahakamani kesi ya Mbowe na wenzake. Shahidi Justine Eliya Kaaya, amtaja Ole Sabaya. Kesi imeahirishwa hadi Oktoba 28, 2021

Ni jambo jema

Hekima ya Mungu na iwe juu yako ili utuletee habari kamilifu bila kuongeza wala kupunguza chochote.
giphy.gif
 
Mawakili wa serikali vipi, mbona mnaisumbua mahakama !!
 
Kama Mbowe ni 'gaidi' au siyo 'gaidi' anayeujua ukweli ni MUNGU.

Kama polisi wanatenda haki au ni waonevu, anayejua pia ni MUNGU.

Mwisho wa siku kila mmoja atavuna kile anachokipanda, kila mmoja atalipwa sawa sawa na 'matendo yake'.

Hukumu ya kweli na haki inakuja kwa kila mwanadamu aliyewahi kuishi hapa duniani.

Mwenye masikio na asikie.
 
All in all, Mbowe siyo Gaidi! Bora wangemshtaki kwa makosa yale yale ya kitoto na tuliyo yazoea tangu awamu ya tano ilipoingia madarakani ya kile kinachoitwa 'uchochezi'

Ila siyo ugaidi.
Hii kesi nimeipenda bure maana inauvua nguo utawala huu dhalim jinsi unavyotumia vyombo vya dola (Polisi na Mahakama) kukandamiza upinzani na pia imelivua jeshi la Polisi nguo hadharani Kwa ukilaza wake na uzuri wawakilishi wa nchi wahisani wanashuhudia huu utoto.
 
Kesi ya inayomkabili Freeman Mbowe na wenzake itaendelea katika Mahakama Kuu, Divisheni ya Uhujumu Uchumi na Rushwa, ambapo Ushahidi unaendelea kutolewa. Shahidi wa kwanza kwa upande wa Jamhuri ACP Kingai atamalizia Ushahidi wake.

========

Mawakili upande wa utetezi wapo katika chumba cha Mahakama
Hawa majaji ndio ambao kabla ya kesi huwa wanaofanya REHEARSAL ya jinsi ya kumdhuru aliyeshitakiwa
 
Kama Mbowe ni 'gaidi' au siyo 'gaidi' anayeujua ukweli ni MUNGU.

Kama polisi wanatenda haki au ni waonevu, anayejua pia ni MUNGU.

Mwisho wa siku kila mmoja atavuna kile anachokipanda, kila mmoja atalipwa sawa sawa na 'matendo yake'.

Hukumu ya kweli na haki inakuja kwa kila mwanadamu aliyewahi kuishi hapa duniani.

Mwenye masikio na asikie.
Kweli kabisa ndiyo maana yule mwasisi wa chuki hizi za kisiasa yupo motoni sasa hivi anaokwa kama ndafu.
 
Afande manyota Kingai kamaliza kutoa ushahidi wake, sasa anatoka kizimbani.
 
Huyu nasikia wamemficha sehemu na amepata vitisho vingi na amejazwa mamilioni ili aje atoe ushahidi wa kumkandamiza Mbowe.
Halafu pia bado sijajua role ya Urio kwenye kesi hii, Jamhuri wanataka kumtumiaje?
 
Kuna sababu yeyote ya kuwa na "Stunts" kama hizi mahakamani? Huyu jamaa watu wanamvimbisha kichwa sana na masifa wanayompa, ila sidhani kama kweli ana uwezo huo...Attention Seeker
FCsOH6MWQAAvxX_
 
Back
Top Bottom