Dabil
JF-Expert Member
- Sep 30, 2021
- 6,823
- 15,293
we mzee sahizi unatakiwa ukae na wajukuu maana akili zishaanza kufyatukaWazungu leo wamechelewa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
we mzee sahizi unatakiwa ukae na wajukuu maana akili zishaanza kufyatukaWazungu leo wamechelewa?
Ni jambo jema
Hekima ya Mungu na iwe juu yako ili utuletee habari kamilifu bila kuongeza wala kupunguza chochote.
Maendeleo hayana vyama!
huyu ana kila sababu ya kutamani damu ya kingai - ha ha ha
Bado hazijaanza kufyatuka. Wewe kaa hapo ukisubiri.we mzee sahizi unatakiwa ukae na wajukuu maana akili zishaanza kufyatuka
Hii kesi nimeipenda bure maana inauvua nguo utawala huu dhalim jinsi unavyotumia vyombo vya dola (Polisi na Mahakama) kukandamiza upinzani na pia imelivua jeshi la Polisi nguo hadharani Kwa ukilaza wake na uzuri wawakilishi wa nchi wahisani wanashuhudia huu utoto.All in all, Mbowe siyo Gaidi! Bora wangemshtaki kwa makosa yale yale ya kitoto na tuliyo yazoea tangu awamu ya tano ilipoingia madarakani ya kile kinachoitwa 'uchochezi'
Ila siyo ugaidi.
Hawa majaji ndio ambao kabla ya kesi huwa wanaofanya REHEARSAL ya jinsi ya kumdhuru aliyeshitakiwaKesi ya inayomkabili Freeman Mbowe na wenzake itaendelea katika Mahakama Kuu, Divisheni ya Uhujumu Uchumi na Rushwa, ambapo Ushahidi unaendelea kutolewa. Shahidi wa kwanza kwa upande wa Jamhuri ACP Kingai atamalizia Ushahidi wake.
========
Mawakili upande wa utetezi wapo katika chumba cha Mahakama
Kweli kabisa ndiyo maana yule mwasisi wa chuki hizi za kisiasa yupo motoni sasa hivi anaokwa kama ndafu.Kama Mbowe ni 'gaidi' au siyo 'gaidi' anayeujua ukweli ni MUNGU.
Kama polisi wanatenda haki au ni waonevu, anayejua pia ni MUNGU.
Mwisho wa siku kila mmoja atavuna kile anachokipanda, kila mmoja atalipwa sawa sawa na 'matendo yake'.
Hukumu ya kweli na haki inakuja kwa kila mwanadamu aliyewahi kuishi hapa duniani.
Mwenye masikio na asikie.
Huyu nasikia wamemficha sehemu na amepata vitisho vingi na amejazwa mamilioni ili aje atoe ushahidi wa kumkandamiza Mbowe.Ningependa kujua alipo Moses Lihenje...
Hebu rudia kusoma ulichoandika??Hawa majaji ambao kabla ya kesi huwa wanaofanya REHEARSAL ya jinsi ya kumdhuru aliyeshitakiwa
Halafu pia bado sijajua role ya Urio kwenye kesi hii, Jamhuri wanataka kumtumiaje?Huyu nasikia wamemficha sehemu na amepata vitisho vingi na amejazwa mamilioni ili aje atoe ushahidi wa kumkandamiza Mbowe.
Ni shahidi wa upande wa Jamhuri. Hii kesi hata watumie ubabe kumfunga Mbowe lakini inawaumbua big time.afu pia bado sijajua role ya Urio kwenye kesi hii, Jamhuri wanataka kumtumiaje ?