USSR
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 10,904
- 26,184
Unalialia nini wacha mwaba wenu afungwe kama SabayaDah hakuna kazi ngumu kama kutoa ushahidi wa uongo, yaani unanena huku moyoni unanyanyasika kisaikolojia
USSR
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unalialia nini wacha mwaba wenu afungwe kama SabayaDah hakuna kazi ngumu kama kutoa ushahidi wa uongo, yaani unanena huku moyoni unanyanyasika kisaikolojia
Yes na kama jana kingai baada ya kubanwa sana mawakili upande wake wakaomba re examination, ndio maana leo kingai amerekebisha makosa ya jana. Mimi siko katika kada ya sheria nimeeleza kwa uelewa wangu tu.Hivi Cross-examination ni kuhakiki aliyosema shahidi?
Kwani ameajiriwa na polisi kinondoni au polisi Tanzania,ujinga na mtaji wa chademaKingai ni RPC Kinondoni lakini ana kwenda kumhoji mtuhumiwa Ilala.
Kaka ni kweli, tunaitangazia dunia kwamba hatuko serious kwenye mambo yetu, badala ya kujikita kwenye mambo ya maana kuwasaidia watanzania kunyenyua maisha yao ya umaskini, maradhi, ujinga sisi tunapotezeana muda namna hii. Dunia inatushangaa sana kwamba sisi tuna UGAIDI unaofadhiliwa kwa Tshs laki sita.Hii kesi inaitia aibu serikali. Mi nilikuwa nadhani commando ni asset, kumbe takataka kabisa, wanafukuzwa kiholelaholela, hata Mimi naweza kumuajifi awe mlinzi wa ?getini nyumbani kwangu.
Hivi Hawa wamefundishwa kwa gharama kubwa, si wanaweza chukuliwa na nchi jirani?
Mbowe sio gaidiNashauri Mkiti ashauriane na wanasheria wake wafanye "Plea bargain" na serikali kama inawezekana, hii kesi inaenda kumvua nguo, Afanye vyovyote anavyoweza kuiepuka hii fedheha.....Porojo za akina Kibatala hazitomsaidia
Matunizi mabaya ya kinga ya upinzani tunaonewaKiruswa naye aitwe kama shahidi aulizwe kama alipigiwa hizo simu na huyo dada shahidi na kuelezwa hayo maneno....kampuni husika ya simu itoe records za hizo namba hizo tarehe kama kweli kulikuwa na mawasiliano ya dada shahidi - Mbowe na huyo Mbunge Kiruswa...
Lakini pia bado naumiza Kichwa....Mbowe anawezaje kuwa jasiri kutumia simu yake kufanya mawasialiano na watu anaotaka kufanya nao issue mbaya, inawezekana Mbowe aende mwenyewe front na sio kutuma watu? BADO NATAFAKARI....tuendelee mstari kwa mstari then tujadili..
Unadhani hivyo- soma sheria ya ugaidi uone matundu yalivyomebambaKwani kusema sabaya ananisumbua ndio ugaidi? Tunataka verified documents, texts, recorded videos & messages, money transactions etc ya haya mawasiliano sio story tuu, na ugaidi lazima uwe na plan na silaha, viko wapi? na nani alikuwa victim wa huu ugaidi wa Mbowe na aliathirika vipi, lini na wapi ilitokea maana ndio kesi nzima ilipolalia
Yaani wewe na mabosi wako wote hamjawahi kumiliki akili! Sasa ulicho kinukuu hapa kina uhusiano gani na ugaidi, zaidi tu ya porojo!!Shahidi: Aliniambia (Freeman Mbowe) pole sana kwa kukuweka, yule mlinzi wake alinifungulia mlango wa gari na yeye mwenyekiti aliingia na nyuma aliingia aliyokuwa mbunge wa viti Maalum Joyce Mukya nikakaa katikati na upande wa nyuma wa Mbowe akakaa mlinzi wake- Hii kesi ni aibu kubwa kwa Mkiti, ndiyo maana walitumia nguvu kubwa sana kuhakikisha isisikilizwe
ha ha ha ha, urongo wakati mwingine tumia akili kidogo kum-convice mtu kwamba huo si urongo.Wakili wa Serikali: Nini kilitokea Baina yako wewe na yeye?
Shahidi: Akaniaga kasema atanitumia Chochote jioni
Wakili wa Serikali: Ulisema Chochote umaanisha nini?
Shahidi: Gharama zangu za Nauli
Wakili wa Serikali: Ilikuwaje baada ya hiyo ahadi
Shahidi: Hakutimiza hiyo ahadi na pia hakunitafuta baada ya pale
Wakili wa Serikali: Baada ya Makutano yenu pale Aishi Hotel wewe ukielekea wapi?
Shahidi: Nilirudi Arusha
Mimi sijasema hayo uliyosemaYaani wewe na mabosi wako wote hamjawahi kumiliki akili! Sasa ulicho kinukuu hapa kina uhusiano gani na ugaidi, zaidi tu ya porojo!!
Halafu Mbowe anapata aibu gani kwa uelewa wako mdogo! Kwa kuingia kwenye gari na huyo Mbunge wa Viti Maalum wa Chama chake Joyce Mukya!! Jipya liko wapi hapo hata kama ana mahusiano naye?
Nyinyi mbona kwenye chama chenu kumejaa wanawake waliotelekeza ndoa zao!! Au nasema uongo?
Fala wewe...huyo mpumbavu mwenzako atafungwa miaka ya shetaniKwani kusema sabaya ananisumbua ndio ugaidi? Tunataka verified documents, texts, recorded videos & messages, money transactions etc ya haya mawasiliano sio story tuu, na ugaidi lazima uwe na plan na silaha, viko wapi? na nani alikuwa victim wa huu ugaidi wa Mbowe na aliathirika vipi, lini na wapi ilitokea maana ndio kesi nzima ilipolalia
Kwani kusema sabaya ananisumbua ndio ugaidi? Tunataka verified documents, texts, recorded videos & messages, money transactions etc ya haya mawasiliano sio story tuu, na ugaidi lazima uwe na plan na silaha, viko wapi? na nani alikuwa victim wa huu ugaidi wa Mbowe na aliathirika vipi, lini na wapi ilitokea maana ndio kesi nzima ilipolalia
Kuna sababu yeyote ya kuwa na "Stunts" kama hizi mahakamani? Huyu jamaa watu wanamvimbisha kichwa sana na masifa wanayompa, ila sidhani kama kweli ana uwezo huo...Attention Seeker
![]()
Kesi imejaa porojo tu na stori za kufikirika! Yaani kama tunasikiliza/tunaangalia maigizo ya Bongo Muvi!Eti huyo Kaaya aliambiwa akae upande wa kulia wa barabara, na gari ya Mbowe ilipofika, kioo cha upande wa abiria kikashuka ndipo akamuona Mbowe. Kama gari ni tinted, kioo cha abiria kikishushwa halafu wewe upo upande wa kulia utaweza vipi kuona ndani?
Halafu eti alichukuliwa kama mpiga picha na baadaye akaishia kuwa house boy wa Sabaya! Yani alipenda kazi yake ya kupiga picha akamuhamishia nyumbani kwake kabisa.
Duh! Haya mazingaombwe matupu.
Na wewe tutakutumia chochote jioni (nauli yako uliyotumia), katoe ushahidi kama huyo chizi mwenzakoFala wewe...huyo mpumbavu mwenzako atafungwa miaka ya shetani
Hii kesi haina ukweli wowoteShahidi: Aliniambia (Freeman Mbowe) pole sana kwa kukuweka, yule mlinzi wake alinifungulia mlango wa gari na yeye mwenyekiti aliingia na nyuma aliingia aliyokuwa mbunge wa viti Maalum Joyce Mukya nikakaa katikati na upande wa nyuma wa Mbowe akakaa mlinzi wake- Hii kesi ni aibu kubwa kwa Mkiti, ndiyo maana walitumia nguvu kubwa sana kuhakikisha isisikilizwe