Yaliyojiri Mahakamani kesi ya Mbowe na wenzake. Shahidi Justine Eliya Kaaya, amtaja Ole Sabaya. Kesi imeahirishwa hadi Oktoba 28, 2021

Kiruswa naye aitwe kama shahidi aulizwe kama alipigiwa hizo simu na huyo dada shahidi na kuelezwa hayo maneno....kampuni husika ya simu itoe records za hizo namba hizo tarehe kama kweli kulikuwa na mawasiliano ya dada shahidi - Mbowe na huyo Mbunge Kiruswa...

Lakini pia bado naumiza Kichwa....Mbowe anawezaje kuwa jasiri kutumia simu yake kufanya mawasialiano na watu anaotaka kufanya nao issue mbaya, inawezekana Mbowe aende mwenyewe front na sio kutuma watu? BADO NATAFAKARI....tuendelee mstari kwa mstari then tujadili..
Mkuu hayo yote Serikali imeshayafanyia uchunguzi na ushahidi umejaa. Inasumbua lakini kwa nini Mbowe aliamua kufanya yote hayo!!!
 
Shahidi: Alinipigia kwa Njia ya Mtandao wa Whatsap

Wakili wa Serikali: Kwa namba ipi

Shahidi: 0784779944
Kuna watu wataumbuka hapa kwa kudhani kwamba hakuna uwezekano wa kupata ushahidi wa whatsapp call. Kuna Mungu na Teknolojia.
 
ngoja tuone mbele huko huyu shahidi wa kike ataeleza nini lakini so far katika ushahidi wake hakuna mahala anaweza kumtia hatiani MBOWE, maana katika mazungumzi yao kama kweli hakuna mahala wameongolea kufanya ugaidi au uhalifu wowote zaidi ya Mbowe kutamka Sabaya anamsumbua sana ( ambayo inaweza kuwa na utetezi wa kisiasa)..... Kama huyu shahidi ataendelea hivi basi ushahidi wake hauna impact dhidi ya Mbowe.......

Hapo utetezi unaweza kuwa rahisi - alitafutwa kwa sababu alitakiwa aombwe kuwa kambi ya Mbowe kwenye kampeni maana tayari Sabaya yuko kambia ya mpinzani wetu wa CCM hivyo yeye kwa vile amefanya kazi na Sabaya tunaweza kumtumia majukwaani kwa sababu fulani fulani kwenye siasa za maji taka...
 
Kiruswa naye aitwe kama shahidi aulizwe kama alipigiwa hizo simu na huyo dada shahidi na kuelezwa hayo maneno....kampuni husika ya simu itoe records za hizo namba hizo tarehe kama kweli kulikuwa na mawasiliano ya dada shahidi - Mbowe na huyo Mbunge Kiruswa...

Lakini pia bado naumiza Kichwa....Mbowe anawezaje kuwa jasiri kutumia simu yake kufanya mawasialiano na watu anaotaka kufanya nao issue mbaya, inawezekana Mbowe aende mwenyewe front na sio kutuma watu? BADO NATAFAKARI....tuendelee mstari kwa mstari then tujadili..
Maskini mbowe eti likapiga na simu hahaha kumbe ukilaza wa shule na mitaani vilevile

Ulivyoona Samia na siro wakijiaminisha jua hizo voice note walipewa na wakasikikiza mbowe aliacha alama za kijasusi sasa atatokea wapi , gaidi mbowe anakula mvua tu hapa

USSR
 
"Shahidi: Akasema tumepotezana sana Chief", hili neno chief Mwamba anapenda sana kulitumia! Mbelgiji anapenda kutumia Kaka
 
"Shahidi: Akaniaga kasema atanitumia Chochote jioni

Wakili wa Serikali: Ulisema Chochote umaanisha nini?

Shahidi: Gharama zangu za Nauli

Wakili wa Serikali: Ilikuwaje baada ya hiyo ahadi

Shahidi: Hakutimiza hiyo ahadi na pia hakunitafuta baada ya pale"- MWAMBA SIJUI ATAACHA LINI USANII, ANAPENDA SANA KUWAZIMA WENZAKE MPUNGA
 
Maskini mbowe eti likapiga na simu hahaha kumbe ukilaza wa shule na mitaani vilevile

Ulivyoona Samia na siro wakijiaminisha jua hizo voice note walipewa na wakasikikiza mbowe aliacha alama za kijasusi sasa atatokea wapi , gaidi mbowe anakula mvua tu hapa

USSR
Ulimuona wakati anapiga simu? acha mihemko subiri cross examination atatoka mtu jasho kama kingai jana.
 
Kama Mbowe ni 'gaidi' au siyo 'gaidi' anayeujua ukweli ni MUNGU.

Kama polisi wanatenda haki au ni waonevu, anayejua pia ni MUNGU....
Mungu alituumba kwa mfano wake.
Ufanano huo mdogo sana sana wa Mungu kwetu ni katika ile hali ya utambuzi kwa akili aliyotupa, ila tukipungukiwa na kutoa haki.
Kama tuna akili tunapata kaukweli fulani baada ya kusikiliza pande zote.
Hatuwezi kumwachia Mungu, badala ya kutumia akili aliyotupa.
 
"Shahidi: Akaniaga kasema atanitumia Chochote jioni

Wakili wa Serikali: Ulisema Chochote umaanisha nini?

Shahidi: Gharama zangu za Nauli

Wakili wa Serikali: Ilikuwaje baada ya hiyo ahadi

Shahidi: Hakutimiza hiyo ahadi na pia hakunitafuta baada ya pale"- MWAMBA SIJUI ATAACHA LINI USANII, ANAPENDA SANA KUWAZIMA WENZAKE MPUNGA
Hahahah nimecheka aisee mbowe kwa usanii eti Chief

USSR
 
Shahidi: Aliniambia (Freeman Mbowe) pole sana kwa kukuweka, yule mlinzi wake alinifungulia mlango wa gari na yeye mwenyekiti aliingia na nyuma aliingia aliyokuwa mbunge wa viti Maalum Joyce Mukya nikakaa katikati na upande wa nyuma wa Mbowe akakaa mlinzi wake- Hii kesi ni aibu kubwa kwa Mkiti, ndiyo maana walitumia nguvu kubwa sana kuhakikisha isisikilizwe
 
Walitaka wairipoti ili serkali iaibike sasa wanaaibika wao waatamani kulia

USSR
 
"Shahidi: Akaniaga kasema atanitumia Chochote jioni

Wakili wa Serikali: Ulisema Chochote umaanisha nini?

Shahidi: Gharama zangu za Nauli

Wakili wa Serikali: Ilikuwaje baada ya hiyo ahadi

Shahidi: Hakutimiza hiyo ahadi na pia hakunitafuta baada ya pale"- MWAMBA SIJUI ATAACHA LINI USANII, ANAPENDA SANA KUWAZIMA WENZAKE MPUNGA
Mwamba ni mchumi ndo maana ruzuku yote katia kapuni,hata kiwanja tu Cha makao makuu hakuna.
 
Back
Top Bottom