Yaliyojiri Mahakamani kesi ya Mbowe na wenzake. Shahidi Justine Eliya Kaaya, amtaja Ole Sabaya. Kesi imeahirishwa hadi Oktoba 28, 2021

Dah hakuna kazi ngumu kama kutoa ushahidi wa uongo, yaani unanena huku moyoni unanyanyasika kisaikolojia
Unalialia nini wacha mwaba wenu afungwe kama Sabaya

USSR
 
Nashauri Mkiti ashauriane na wanasheria wake wafanye "Plea bargain" na Serikali kama inawezekana, hii kesi inaenda kumvua nguo, Afanye vyovyote anavyoweza kuiepuka hii fedheha.....Porojo za akina Kibatala hazitomsaidia
 
Kaka ni kweli, tunaitangazia dunia kwamba hatuko serious kwenye mambo yetu, badala ya kujikita kwenye mambo ya maana kuwasaidia watanzania kunyenyua maisha yao ya umaskini, maradhi, ujinga sisi tunapotezeana muda namna hii. Dunia inatushangaa sana kwamba sisi tuna UGAIDI unaofadhiliwa kwa Tshs laki sita.
 
Kwani kusema sabaya ananisumbua ndio ugaidi? Tunataka verified documents, texts, recorded videos & messages, money transactions etc ya haya mawasiliano sio story tuu, na ugaidi lazima uwe na plan na silaha, viko wapi? na nani alikuwa victim wa huu ugaidi wa Mbowe na aliathirika vipi, lini na wapi ilitokea maana ndio kesi nzima ilipolalia
 
Matunizi mabaya ya kinga ya upinzani tunaonewa
 
Unadhani hivyo- soma sheria ya ugaidi uone matundu yalivyomebamba
 
Yaani wewe na mabosi wako wote hamjawahi kumiliki akili! Sasa ulicho kinukuu hapa kina uhusiano gani na ugaidi, zaidi tu ya porojo!!

Halafu Mbowe anapata aibu gani kwa uelewa wako mdogo! Kwa kuingia kwenye gari na huyo Mbunge wa Viti Maalum wa Chama chake Joyce Mukya!! Jipya liko wapi hapo hata kama ana mahusiano naye?

Nyinyi mbona kwenye chama chenu kumejaa wanawake waliotelekeza ndoa zao!! Au nasema uongo?
 
ha ha ha ha, urongo wakati mwingine tumia akili kidogo kum-convice mtu kwamba huo si urongo.
 
Mimi sijasema hayo uliyosema
 
Fala wewe...huyo mpumbavu mwenzako atafungwa miaka ya shetani
 
Eti huyo Kaaya aliambiwa akae upande wa kulia wa barabara, na gari ya Mbowe ilipofika, kioo cha upande wa abiria kikashuka ndipo akamuona Mbowe. Kama gari ni tinted, kioo cha abiria kikishushwa halafu wewe upo upande wa kulia utaweza vipi kuona ndani?

Halafu eti alichukuliwa kama mpiga picha na baadaye akaishia kuwa house boy wa Sabaya! Yani alipenda kazi yake ya kupiga picha akamuhamishia nyumbani kwake kabisa.

Duh! Haya mazingaombwe matupu.
 
 
Kuna sababu yeyote ya kuwa na "Stunts" kama hizi mahakamani? Huyu jamaa watu wanamvimbisha kichwa sana na masifa wanayompa, ila sidhani kama kweli ana uwezo huo...Attention Seeker

Kule ulaya miaka ile niliyotembelea niliwahi kumsikia mtu mmoja kwenye basi akisema watu kama hao mara nyingi huwa wamebeba chupa za gongo kwenye brifcase
 
Kesi imejaa porojo tu na stori za kufikirika! Yaani kama tunasikiliza/tunaangalia maigizo ya Bongo Muvi!

Kinacho elezwa huko mahakamani hakina kabisa uhusiano wa moja kwa moja na huo ugaidi/ uhujumu uchumi tulio aminishwa hapo kabla.
 
Hii kesi haina ukweli wowote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…